Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
- Thread starter
- #41
Mwantumu mahiza anamnukuu sheikh abdul jibril kuhusiana na maadili ya vijana.
Nape anaisifia Clouds kwa kupiga muziki wenye maadili. He he he he kanga moko ndembendembe ndiyo maadili hayo?
kibonde anasema kayanda anaumia roho sana coz hauzi sura kama yeye anavyouza sasa clouds tv
Kibonde ndo anajisifia kuwa anauza sura clouds tv. nadhani hajazoea mambo ya kideo huyu.Mkuu hapa sijakuelewa kidogo,hapa anaezungumziwa kuuza sura ni nani?
Mkuu hapa sijakuelewa kidogo,hapa anaezungumziwa kuuza sura ni nani?
Kuna jamaa alikua anasoma habari za michezo itv sasa ndo anasoma habari.anafuata john mnyika
leo Kayanda hayupo kwahiyo Kibonde anasema amempiga bao kwa kuuza sura kwenye TV
Kibonde ndo anajisifia kuwa anauza sura clouds tv. nadhani hajazoea mambo ya kideo huyu.
wameingia team ya wahariri wa kitengo cha habariakimaliza hy,mkuu
Sasa hivi anaongea Joyce Shebe. Anasema eti kusaka nyoka. Hivi kusaka nyoka ndiyo nini wakuu.