Nape & Kibonde live on Clouds tv

Nape & Kibonde live on Clouds tv

Clouds cku hizi imekuwa redio CCM??
 
Mwantum anasema kuwa kwake Mkuu wa Mkoa kumemfanya awe karibu na vijana. Vijana wa Pwani balaa.....he he he he he
 
Ngoja Cameron awasikie atapanda ndege sasa hivi aje hapo studio si ndiyo walewale tu?
 
mwantumu mahiza anasema mwimbo wa 'tatizo la ajira kwa vijana ni bomu litakalolipuka' ni mwimbo mbaya tanzania.
 
Eti anasifia ongezeko la shule za kata zisizokuwa hata na chaki. Halafu anasema miundombinu imepiga hatua sana. Huyu mama chizi nini?
 
Nape anaisifia Clouds kwa kupiga muziki wenye maadili. He he he he kanga moko ndembendembe ndiyo maadili hayo?

Saa nyingine unakuwa na akili saa nyingine unakuwa kilaza.
 
Wanabodi, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!.

Kibonde alikuwa na mdomo mchafu sana siku za nyuma, lakini sasa amebadilika sana.

Tufike mahali tumpe pongezi zake. Jana nilimsikia akimzungumzia David Wakati (RIP), amezungumza vizuri sana!.
Big Up Kibonde!.
 
mwantumu mahiza anasema kwa mika 50 ya uhuru CCM imeleta maendeleo tanzania mpaka unaweza kutoka dar asubuhi na kunywa chai mlandizi coz barabara ni nzuri.
Anasema ajira sio lazima serikalini au ofisini ivyo kila mmoja azingatie fursa zinazomzunguka.
Anatoa mfano wa kijana mmoja aliyesoma degree ila akaanzisha mradi wa kufuga kuku na sasa kijana ana pick up(gari) na anajenga.
 
Wanabodi, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!.

Kibonde alikuwa na mdomo mchafu sana siku za nyuma, lakini sasa amebadilika sana.

Tufike mahali tumpe pongezi zake. Jana nilimsikia akimzungumzia David Wakati (RIP), amezungumza vizuri sana!.
Big Up Kibonde!.

Irrelevance! Sasa ulitaka amuongelee vibaya mtu aliyekufa?
 
Back
Top Bottom