Wamekata tamaa au wanahofu?

Wamekata tamaa au wanahofu?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
38,410
Reaction score
88,943
Hamjambo wote!

Bado natazama mambo kama yalivyo.

Je wanaharakati wamekataa tamaa?
Je watu wamekataa tamaa ya mapambano?
Au wameogopa, wanahofu kutokana na vitisho vya vyombo vya Dola.

Mitaani watu hawazungumzii haya maandamano. Lakini wanajua kuna jambo kama hilo.

Juzi nilikuwa sehemu fulani katika kijiwe fulani. Ikapita gari iliyobeba Askari kadhaa hivi. Wazee wa kijiwe hiko walijadili kwa kifupi sana. Ni wazi wanaelewa.

Wazee wa kijiwe kile wanatamani mabadiliko ya nchi. Pia walisikitishwa na hali hiyo inayoendelea huku wakiamini maandamano ni haki ilimradi tuu yasivunje amani.

Mtandaoni nikipitia, vipimo vyangu vinaonyesha grafu ya ujasiri na morali ya waandamaji imeshuka. Sijui ni kukata tamaa au hofu.

Kijana mmoja fundi TV alikuja nyumbani, wakati anaiangalia TV yangu, akaikarabati, nikamuuliza kwa nini mnashindwa kutengeneza TV kama China.

Maoni yake yalinipa mambo makuu yafuatayo;
1. Hofu
2. Kukataa tamaa.
3. Hakuna uzalendo.
4. Kupitisha muda. Kusubiri kufa.

Nilichojifunza;

1. Wema kama hautakuwa kwa wenye ujasiri hauwezi kushinda uovu hata siku moja.

2. Kuamini mtu au kundi fulani lipo kukutetea ni ugonjwa mbaya.
Yaani ukiona mtu au fundisho lolote linakuaminisha mtu au kikundi fulani lipo kwaajili yako kataa, huo ni utapeli. Unadanganywa.

3. Matatizo mengi ya jamii Chanzo chake unachoambiwa ni uongo.
Mtu yeyote anayekuambia matatizo yako Chanzo chake ni CCM, chadema, sijui wazungu au mambo ya kisiasa, huyo anakudanganya.
Mtu yeyote anayekuambia matatizo yako chanzo ni Shetani, laana, kulogwa au Mungu, huyo anakudanganya.

4. Nilijifunza kuwa hakuna mtu atakusaidia kwaajili yako kwamba yeye hapati chochote.
Mtu hukusaidia pale anapopata chochote.
Kuna anayekusaidia ili apate sifa fulani.
Kuna anayekusaidia ili baadaye akutumie au umsaidie.
Kuna anayekusaidia kwa sababu yeye anataka ajisikie vizuri. Hii wengi ni wale ambao huwezi walipa chochote.

Kwamba mimi nikipita sehemu nikamwona ombaomba, amechafuka, amekondeana, nikajisikia vibaya, huruma, nitampa msaada ili nijisikie vizuri. Kwa hiyo ninatoa msaada ili nipate amani, nijisikie vizuri. Ndio maana mtu hawezi kukusaidia Bure kama hafaidiki.

5. Mila potofu watawala huzitumia kuwatawala watu wengi. Mathalani kuamini Mungu atalipa waovu ni Mila potofu. Mungu huo muda Hana.
Hakuna karma wala hukumu. Hizo ni propaganda na Mindgames zilizochezwa na wanasiasa wa kale ambao leo hii wanapatikana kwenye vitabu vya Dini.

Wewe ukiuliwa leo hii hapa na mtu. Huna tofauti na mtu aliyeliwa na simba kule porini.

Ni Mila na dhana potofu kufikiri ukiuawa wewe leo hii huyo aliyekuua atalipwa au kuhukumiwa. Wewe na yule Kuku unayemla chips yai kuku hamna tofauti yoyote Ile. Hakuna hukumu yoyote.

Ndio maana Kuna mahakama, ndio maana lazima ujue ukweli huu ili uweze kupigania Haki zako.
Kwa sababu usipoujua ukweli hutokuja kupata haki yako.

Mila potofu ndizo zinachangia kwa kiasi kikubwa uonevu, dhulma, unyanyasaji, ukandamizaji.

Usipoujua ukweli, waovu watatumia jina uzalendo, utaifa, Imani, miungu kukutumia kudhulumu wengine au kukudhulumu.

Mimi nimemaliza

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Gentleman,
it's obvious,

clueless mapambano, rudderless mapambano, agendaless and leaderless mapambano are always completely useless mapambanoz across the world🐒
 
Serikali ya mazafakas inacheza na moto. A pressure build-up that finds no outlet is potentially lethal!
 
Chochote unachopata ndio haki yako Mkuu. Kipo ndani ya mipaka yako.

Haki inategemea na muktadha

Unachopata ndo "haki" yako ndani ya mipaka yako uliyowekewa na wao.
Hiyo "haki" wao ndo wameipangia vigezo na muktadha.. siyo wewe..

wanachokupa ni "unachotakiwa upate kwa vipimo vyao" na si "unachohitaji" wewe binafsi upate..
kwahiyo hakuna "haki "wala" uhuru" binafsi hapo zaidi ya "social contract" ambapo uhuru binafsi unakubaliana na maslahi ya wengi...

mfano si "haki" kwa waajiriwa wa serikali Mwalimu na Clinical Officer wa kiwango sawa cha utumishi na elimu wawe na tofauti kubwa ya mshahara..... au kwanini mtu mzima yeyote mwenye Kitambulisho cha NIDA asiwe "huru" kupiga KURA mpaka iwe lazima kujiandikisha tena,,,
 
🙉🙉🙉
Umeshawahi kuona kuku,,wanyama wengine, n.k
Wakiandamana!!?
Nilikuwa nawaza kwa sauti tu mkuu 🙌
Another idiot, so unataka kuku waandamane kama binadamu na wakati siyo binadamu. Kama wanatumia njia nyingine kama kuwika na zingine ambazo hatuzijui?
 
Hamjambo wote!

Bado natazama mambo kama yalivyo.

Je wanaharakati wamekataa tamaa?
Je watu wamekataa tamaa ya mapambano?
Au wameogopa, wanahofu kutokana na vitisho vya vyombo vya Dola.

Mitaani watu hawazungumzii haya maandamano. Lakini wanajua kuna jambo kama hilo.

Juzi nilikuwa sehemu fulani katika kijiwe fulani. Ikapita gari iliyobeba Askari kadhaa hivi. Wazee wa kijiwe hiko walijadili kwa kifupi sana. Ni wazi wanaelewa.

Wazee wa kijiwe kile wanatamani mabadiliko ya nchi. Pia walisikitishwa na hali hiyo inayoendelea huku wakiamini maandamano ni haki ilimradi tuu yasivunje amani.

Mtandaoni nikipitia, vipimo vyangu vinaonyesha grafu ya ujasiri na morali ya waandamaji imeshuka. Sijui ni kukata tamaa au hofu.

Kijana mmoja fundi TV alikuja nyumbani, wakati anaiangalia TV yangu, akaikarabati, nikamuuliza kwa nini mnashindwa kutengeneza TV kama China.

Maoni yake yalinipa mambo makuu yafuatayo;
1. Hofu
2. Kukataa tamaa.
3. Hakuna uzalendo.
4. Kupitisha muda. Kusubiri kufa.

Nilichojifunza;

1. Wema kama hautakuwa kwa wenye ujasiri hauwezi kushinda uovu hata siku moja.

2. Kuamini mtu au kundi fulani lipo kukutetea ni ugonjwa mbaya.
Yaani ukiona mtu au fundisho lolote linakuaminisha mtu au kikundi fulani lipo kwaajili yako kataa, huo ni utapeli. Unadanganywa.

3. Matatizo mengi ya jamii Chanzo chake unachoambiwa ni uongo.
Mtu yeyote anayekuambia matatizo yako Chanzo chake ni CCM, chadema, sijui wazungu au mambo ya kisiasa, huyo anakudanganya.
Mtu yeyote anayekuambia matatizo yako chanzo ni Shetani, laana, kulogwa au Mungu, huyo anakudanganya.

4. Nilijifunza kuwa hakuna mtu atakusaidia kwaajili yako kwamba yeye hapati chochote.
Mtu hukusaidia pale anapopata chochote.
Kuna anayekusaidia ili apate sifa fulani.
Kuna anayekusaidia ili baadaye akutumie au umsaidie.
Kuna anayekusaidia kwa sababu yeye anataka ajisikie vizuri. Hii wengi ni wale ambao huwezi walipa chochote.

Kwamba mimi nikipita sehemu nikamwona ombaomba, amechafuka, amekondeana, nikajisikia vibaya, huruma, nitampa msaada ili nijisikie vizuri. Kwa hiyo ninatoa msaada ili nipate amani, nijisikie vizuri. Ndio maana mtu hawezi kukusaidia Bure kama hafaidiki.

5. Mila potofu watawala huzitumia kuwatawala watu wengi. Mathalani kuamini Mungu atalipa waovu ni Mila potofu. Mungu huo muda Hana.
Hakuna karma wala hukumu. Hizo ni propaganda na Mindgames zilizochezwa na wanasiasa wa kale ambao leo hii wanapatikana kwenye vitabu vya Dini.

Wewe ukiuliwa leo hii hapa na mtu. Huna tofauti na mtu aliyeliwa na simba kule porini.

Ni Mila na dhana potofu kufikiri ukiuawa wewe leo hii huyo aliyekuua atalipwa au kuhukumiwa. Wewe na yule Kuku unayemla chips yai kuku hamna tofauti yoyote Ile. Hakuna hukumu yoyote.

Ndio maana Kuna mahakama, ndio maana lazima ujue ukweli huu ili uweze kupigania Haki zako.
Kwa sababu usipoujua ukweli hutokuja kupata haki yako.

Mila potofu ndizo zinachangia kwa kiasi kikubwa uonevu, dhulma, unyanyasaji, ukandamizaji.

Usipoujua ukweli, waovu watatumia jina uzalendo, utaifa, Imani, miungu kukutumia kudhulumu wengine au kukudhulumu.

Mimi nimemaliza

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Ila uchawi waweza kuukubali kwamba upo ? Na kwamba wapo wanaologwa ?!
Na vipi kuhusu ndondocha ni kweli wapo au ni hadithi za kusadikika tu ?!
🤣😁
Ngoja Tusubiri tuone kama karma ipo au haipo !
Miaka zaidi ya 2000 ya hivyo vitabu vya dini na imani zao watu wamekuwa wanaamini hivyo ambavyo umejaribu kuvikanusha kwamba havipo !

Nadhani hii inayoitwa Akili Unde au artificial intelligence inajaribu kutuchanganya akili kweli kweli japo hiyo akili Unde bado haina hata miaka 70 tangu imeanza kujitutumua 😁🤣 !

Lakini inawezekana ukawa sahihi !
Ngoja Tusubiri tuone 😳🙄 !
 
Hata jambo lingekuwa la miaka 10k kama ni uongo halibadiliki kuwa ukweli
 
Unachopata ndo "haki" yako ndani ya mipaka yako uliyowekewa na wao.
Hiyo "haki" wao ndo wameipangia vigezo na muktadha.. siyo wewe..

wanachokupa ni "unachotakiwa upate kwa vipimo vyao" na si "unachohitaji" wewe binafsi upate..
kwahiyo hakuna "haki "wala" uhuru" binafsi hapo zaidi ya "social contract" ambapo uhuru binafsi unakubaliana na maslahi ya wengi...

mfano si "haki" kwa waajiriwa wa serikali Mwalimu na Clinical Officer wa kiwango sawa cha utumishi na elimu wawe na tofauti kubwa ya mshahara..... au kwanini mtu mzima yeyote mwenye Kitambulisho cha NIDA asiwe "huru" kupiga KURA mpaka iwe lazima kujiandikisha tena,,,

😀😃😄🫣
Haki tafsiri yake inategemeana na Muktadha
 
Back
Top Bottom