Nape JF sio sawa na Facebook

Nape JF sio sawa na Facebook

sasa km nape hajachaguliwa na watz nazunguka nini nchi nzima nakugawa tshirt bila kukaribishwa? mimi naamini kwakuwa ni kiongozi wa CCM na CCM ndo chama kinachotawala, basi amechaguliwa na watz maana watz ndo wamechagua CCM chama cha wavua magamba.
 
Mkuu naamini dhana nzima ya kuwa kiongozi au mwanasiasa kuna watu hawajaijua
Kuwa kiongozi ni mfano kuanzia kuongea kwako, matamshi yako, utendaji wako na the way unavyopambanua mambo kama kiongozi ambapo unatakiwa utoe dira utoe miongozo na uonyeshe mafo kama kiongozi.
dhana hiyo kwa viongozi wengi haipo ndo maan wanatoa matamko halafu wanashindwa kuyasimamia na wanashindwa kusimamia ahadi zao walizotoa
Wanashindwa kuzitekeleza kwa kuwa wamelemewa na kujitathimini kwanza wao kama wao na sio wale waliowachagua au wale waliowapa ahadi za maisha bora wanatafuta kwanza ufalme wao wanasahau kuwa kuna wengine nao wanahitajika wafike pale walipo wao wanajisafishia njia za maisha yao badala ya kusafisha njia za wananchi waliowafikisha pale walipo wanaziona raslimali za taifa kama zao na wao ndio wana dhamana ya matumizi yake wanasahau kuwa wananchi wote wana haki ya hizo rasilimali na wanatakiwa wafaidike nazo. Wanajijengea himaya ya kifalme ndani ya nchi ya utawala wa demokrasia wanasahau kuwa wamezungukwa na wananchi maskini na umma ambao siku wakichoka wanakuwa kama siafu waliochokozwa kutoka kwenye kundi lao.
Tufike mahali akina NApe waelewe kuwa wako kwenye wakati gani na ni upepo gani unapita kwa sassa na kuwa wanachi wa sasa wanasoma alama za nyakati na wanasikiliza kila unalosema na kwenye hotuba zako na maneno yako hawakosi kitu cha kuongea na kukupinga

Mkuu nadhani wanaona wasubiri mpaka moto uje uingie ndani ya nyumba wajaribu kuuzima kama wataweza!
 
sasa km nape hajachaguliwa na watz nazunguka nini nchi nzima nakugawa tshirt bila kukaribishwa? mimi naamini kwakuwa ni kiongozi wa CCM na CCM ndo chama kinachotawala, basi amechaguliwa na watz maana watz ndo wamechagua CCM chama cha wavua magamba.

Nilitegemea Malechela atasema hoja ya kisomi ili tumuelewe kumbe nayeye anaingia kwenye Magamba tu teh teh teh
 
Precisely!! yaani yule mama ni wa-wote! Nasikia huko mjengoni ni hatari tupu! Mumewe alikuwa ni ashomire fulani pale UDSM alibwaga manyanga baada ya mafumanizi ya mara kwa mara tena kwenye his matrimonial bed! Akasota sana, then siasa za Bongo zikamuokoa. Akiwa mjengoni akajitangazia ndoa na jamaa mmoja wa mkoani kwake, ambaye yupo TISS na amemtaliki pia mkewe, hawakumaliza muda jamaa naye kabwanga manyanga baada ya kupelekewa picha za ushahidi wa mamaa akibenjua amri ya sita ndani ya gari na mmoja wa memba wa Ze Commedy! sasa Nape kajikita kwa jimama huyo, mchezo ulianzia pale Nape alipokwenda mkoani Singida kuwa msimamizi wa uchaguzi na kumchakachulia matokeo na kumwibua mshindi, nafasi ambayo wanawake wa Singida waliapa kutompa tena. Nape namhurumia anahangaika na mfupa uliowashinda fisi! Afadhali akamuangukie mkewe, ambaye wana historia naye kwani zimwi likujualo halikuli likakwisha.

Jamaa anamadude ya ajabu ee?? teh teh teh ndio maana hawezi kuingia hapa!
 
- Misguided sana ndio maana nina tatizo sana na mawazo yako against Nape, Tanzania hatujamchagua Nape kutuletea maendeleo tumechagua wabunge na Rais, Madiwani on that matter, sasa iweje kumshupalia maendeleo kiongozi aliyechaguliwa na chama chake kutetea na kusimamia ilani yao?

- Ndio maana ninasema hapa kuna misguidance, ingawa pia ni haki yako kuamini unavyoamini!

William @ NYC, USA.

Kaka Willy, kumbuka kuwa kiongozi yeyote ni kioo cha jamii na ni role model hata kama ni kiongozi wa Kamati ya maandalizi ya harusi! Kiongozi awe wa chama chochote au popote maana yake ana watu/jamii anayoisimamia na kuiongoza yaani "watu" na si paka; hivyo kiongozi mbaya ni mfano mbaya kwa jamii na hafai! nape ni kiongozi wa chama kilichopo madarakani hivyo influence yake ni kubwa pia, matamko yanayoweza kuikwaza jamii na kuibua migongano na misuguano isiyo ya lazima hayatakiwi. Acha watu wampe ushauri, akiona unafaa aufanyie kazi, la haufai apuuze - thats all!
 
Unataka kumuona akifanya public politics wakati anatakiwa kutoa maelezo ya ushiriki wake
katika CCJ kwa maandishi kwenda kwa Mwenyekiti wake.

Bahati yake ni kwamba, Mwenyekiti hatayasoma labda awape wakina malisa
wamsomee na kumshauri, hapo dogo ndio atakuwa kwishne formally.
 
sasa km nape hajachaguliwa na watz nazunguka nini nchi nzima nakugawa tshirt bila kukaribishwa? mimi naamini kwakuwa ni kiongozi wa CCM na CCM ndo chama kinachotawala, basi amechaguliwa na watz maana watz ndo wamechagua CCM chama cha wavua magamba.

Anawazungukia wanachama wa chama chake na wasio wanachama ila sio kwamba kuwa kiongozi uliyeteuliwa na NEC ya chama chao then watanzania mil 40 wote wamekuchagua
 
Mkuu nadhani wanaona wasubiri mpaka moto uje uingie ndani ya nyumba wajaribu kuuzima kama wataweza!

Unapokiona kitoto cha nyoka kinazunguka kwenye nyumba yako na ukakiacha kwa kuw ani kitoto cha nyoka kuna siku kinavyozidi kula nafaka ndani ya nyumba yako kitakuwa chatu na hutoweza tena kumtoa ndani ya nyumba na atakumeza
 
Kaka Willy, kumbuka kuwa kiongozi yeyote ni kioo cha jamii na ni role model hata kama ni kiongozi wa Kamati ya maandalizi ya harusi! Kiongozi awe wa chama chochote au popote maana yake ana watu/jamii anayoisimamia na kuiongoza yaani "watu" na si paka; hivyo kiongozi mbaya ni mfano mbaya kwa jamii na hafai! nape ni kiongozi wa chama kilichopo madarakani hivyo influence yake ni kubwa pia, matamko yanayoweza kuikwaza jamii na kuibua migongano na misuguano isiyo ya lazima hayatakiwi. Acha watu wampe ushauri, akiona unafaa aufanyie kazi, la haufai apuuze - thats all!

The truth is open no one can hide! who don't know about Nape now a days? he is doing mambo ya ajabu kabisa!
 
Unapokiona kitoto cha nyoka kinazunguka kwenye nyumba yako na ukakiacha kwa kuw ani kitoto cha nyoka kuna siku kinavyozidi kula nafaka ndani ya nyumba yako kitakuwa chatu na hutoweza tena kumtoa ndani ya nyumba na atakumeza

Kitamwanzia Nape
 
The truth is open no one can hide! who don't know about Nape now a days? he is doing mambo ya ajabu kabisa!

Tunarudi pale kwenye dhana ya kuwa kiongozi na kioo kwa jamii kwa kila afanyacho. Ndo maana tuna viongozi ambao kila kukicha wanabatizwa majina mapya maana yale ya kuwa kiongozi safi yamepotea na hayana mshiko tena wamekuwa wala rushwa, mafisadi, wapiga debe yale ya wanamapinduzi, wazalendo yamekuwa msamiati uliopitwa na wakati
 
- Mhhhhhh! Mkuu mbona personal sana kuliko Taifa, I mean utawala wa Chama kimoja cha siasa katika siasa Za vyama vingi, hauwezi kuwa ishu unless kama kuna ushahidi wa kutosha na wa wazi kwamba kuna kiongozi wa chama flani anafanya matendo kinyume na Taifa kwa kutumia chama chake, I begg to respectfully differ na mtoa mada hii,

- Mh. Nape ni kiongozi wa CCM ametimiza masharti ya uongozi ndani ya CCM, ndio maana wamempa nafasi, sasa CCM ndio wanaweza kudai kwamba hafai, 1. lakini sio sisi wananchi wengine ambao sio wanachama wa CCM, mimi ni mwanchama wa CCM, ninaamini kwamba Mh. NaPE ANA mandate ya CCM na pia kuungwa mkono na Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa yote anayoyafanya kwa CCM, 2. US wanasema kwa vile W.Bush alikuwa anachukiwa na Dunia nzima, basi ni Rais anayewafaa sana Wamarekani, so labda hizi kelele nyingi sana kwenye Blogs dhidi ya Mh. Nape, ni kwamba anawafaa sana CCM, can you Imagine kiongozi wa CCM, anayeweza kuja hapa na kukubalika kwa wakati huu?

- 3.I mean tumuache MH. Nape afanye kazi ya chama chake,4. kama anaharibu ni kwenye chaguzi ndio tuwaelimishe wananchi madhara ya uongozi wa Nape, I mean it is becoming a Nape fiesta sasa hapa JF, kama ametoa hoja nje ya mstari wa Taifa sawa, lakini hoja ambazo ni samba mba na Ilani za chama chake, then it is not our business, labda tushambulie the Ilani, lakini sio the messenger, otherwise tunaangaukia kwenye ule ule mtego wa siasa za majina badala ya hoja muhimu kwa taifa, zilizotufkisha hapa tulipo hili taifa!

William @ NYC, USA.

Heshima mbele mkuu WJM,
Awali ya yote nikupongeze kwa kujitokeza na kutoa comment yako.....

Mkuu huwa nakuheshimu sana kutokana na post zako lakini kwa hili umetoa utetezi haujitoshelezi kabisa sana samahani kwa kusema hivi.
1-Umeshindwa kutofautisha kuwa CCM ni chama dola
2-Viongozi wa CCM ni kama dira ya nchi yetu ndio maana mawaziri wote ni wa CCM na inchi yetu inatekeleza ilani ya CCM

Nije sehemu nilizobold ambazo kwa upande wangu nimeona umetoa utetezi usiojitosheleza kabisa kuliko kipindi chote nilichokufamu
1-Kwa sababu Nape ni kiongozi wa CCM basi akosolewe na wanaCCM tu kwa sababu wao ndio waliomteua huu ni uongo na upotoshaji wa hali ya juu,kiongozi yoyote haijailishi yuko CDM,CUF,UDP,TLP,NCCR,sector yoyote ile lazima akosolewe kwa lolote alifanyalo kwan hawa ndio viongozi wa Taifa letu
2-Unataka kutuaminisha kua kiongozi mzuri ni yule anayechukiwa na wengi, mbona baba wa Taifa alipendwa na wengi na alikua kiongozi mzuri.Naona sababu ya kukaa Marekani unataka utupe ideology za kimarekani.Nani asiyejua kua wamarekani ni wababe wanataka kuitawala duini,nani asiyejua Bushi kuivamia Iraq ni kulipiza visasi kwa kupigwa baba yake,nani asiyejua kua kuvamia Libya kunakofanya na wamarekani wanataka mafuta usitudanganye kwa hilo.
3-Unataka kutuambia kiongozi akiharibu tumsubiri wakati wa uchaguzi ndio tuzungumze madhambi yake,Je unafurahi uongozi huu wakiimla wa kuua watu huko nyamongo,Arusha,Mbarali wote hawa tuwasubiri wakati wa uchaguzi.Vipi na hao ambao si wanasiasa wakiharibu tuwasubiri wapi?
4-Nape ni kiongozi lazima ajadiliwe hapa jamvini........we dare to speak openly
 
- Misguided sana ndio maana nina tatizo sana na mawazo yako against Nape, Tanzania hatujamchagua Nape kutuletea maendeleo tumechagua wabunge na Rais, Madiwani on that matter, sasa iweje kumshupalia maendeleo kiongozi aliyechaguliwa na chama chake kutetea na kusimamia ilani yao?

- Ndio maana ninasema hapa kuna misguidance, ingawa pia ni haki yako kuamini unavyoamini!

William @ NYC, USA.

Kiongozi umekosea hapo! Nape si kwa Tanzania bali ni Kiongozi wa Magamba Party
 
Ndugu wapenzi wa JF, miezi michache iliyopita kijana mwanasiasa machachari kwa jina la Nape Nnauye baada ya kukabidhiwa rungu, aliwapa wa-tz na hasa wanachama wa chama chake cha magamba matumaini kwamba atashinda vita ya ufisadi ndani ya chama hicho. Kwa majigambo alisema mafisadi (hasa mapacha watatu) waondoke ktk chama chake katika siku 90. Vinginevyo, watakiona cha moto. Nashindwa kuelewa kama huyu Nape bado yuko hai au ameshakufa? Nauliza hivi maana ghafla amelowa, amenywea na amefyata kama mbwa aliyemuona chatu! Nisaidieni ndugu zangu yapi yamemfika Nape? Masikini Nape, Au labda alijaribu kupima kina cha bahari kwa kutumia rula?

Yupo anafanya siasa mbadala,anacheza ngoma ya CDM.Anatangaza sera za CDM mapacha 3 ameacha kuwashambulia maana alikuwa peke yake.Mnafki JK alisema anayoyasema eti ndio waliyokubaliana,baada ya kupata mkwara toka kwa EL akalazmika kum2ma mkama akanushe kiana
 
Huyu ndio Nape bana.
Personality ya Dogo imeshuka kwa kiasi kikubwa sana.
 
Back
Top Bottom