Nape JF sio sawa na Facebook

Nape JF sio sawa na Facebook

NINYI CHADEMA NI WABAYA SANA!
YOU KNOW HOW TO FRUSTRATE SOMEONE!!
yaani mwadiriki kumzuiya mwenzenu kupambani nanyi kwa mbinu hii ya kudharau hoja zake!! hamumtendei haki ndugu zanguni!!

Nape wasikukatishe tamaa!! kazi buti mpaka kieleweke! CCM ina wenyewe mwaya!! walishaona wapi kupe anatoka kwenye Ng'ombe akishang'ata? endelea tu kung'ate ili ujirahisishie safari ya the Hague Mwaya!! si unajua tena huko mamtoni hapafanani na Kitai wala ngalamtoni?!!!!
 
Kwa jinsi ninavyomfahamu nape yeye huwa anaanzisha mada na kuikimbia. Hata facebook kuna picha aliweka akaanza kuijadili lakini baada ya hapo hajawahi kuonekana kujibu hoja. Picha hiyo ya wakina kambarage na malecela naona wanajadili watu wengine tu lakini yeye huyooooooooo kakimbia. Nondo hizi haziwezi huyu mccj. Wamempa kazi ngumu hawezi kujenga hoja maana na yeye si msafi............
 
basi nilifikiri kuwa hii kitu nimeiona mimi tu
 
Back
Top Bottom