Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,862
- 7,625
Ni hali halisi kama mwenyekiti ndo yule itawezekana achague watu wanao mzidi yeye?
Kwa ****** huyu ndo bonge la msomi wa chama!
mkuu hizo **** unge edit halafu andika m.kwere
Ni hali halisi kama mwenyekiti ndo yule itawezekana achague watu wanao mzidi yeye?
Kwa ****** huyu ndo bonge la msomi wa chama!
- Mhhhhhh! Mkuu mbona personal sana kuliko Taifa, I mean utawala wa Chama kimoja cha siasa katika siasa Za vyama vingi, hauwezi kuwa ishu unless kama kuna ushahidi wa kutosha na wa wazi kwamba kuna kiongozi wa chama flani anafanya matendo kinyume na Taifa kwa kutumia chama chake, I begg to respectfully differ na mtoa mada hii,
- Mh. Nape ni kiongozi wa CCM ametimiza masharti ya uongozi ndani ya CCM, ndio maana wamempa nafasi, sasa CCM ndio wanaweza kudai kwamba hafai, lakini sio sisi wananchi wengine ambao sio wanachama wa CCM, mimi ni mwanchama wa CCM, ninaamini kwamba Mh. NaPE ANA mandate ya CCM na pia kuungwa mkono na Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa yote anayoyafanya kwa CCM, US wanasema kwa vile W.Bush alikuwa anachukiwa na Dunia nzima, basi ni Rais anayewafaa sana Wamarekani, so labda hizi kelele nyingi sana kwenye Blogs dhidi ya Mh. Nape, ni kwamba anawafaa sana CCM, can you Imagine kiongozi wa CCM, anayeweza kuja hapa na kukubalika kwa wakati huu?
- I mean tumuache MH. Nape afanye kazi ya chama chake, kama anaharibu ni kwenye chaguzi ndio tuwaelimishe wananchi madhara ya uongozi wa Nape, I mean it is becoming a Nape fiesta sasa hapa JF, kama ametoa hoja nje ya mstari wa Taifa sawa, lakini hoja ambazo ni samba mba na Ilani za chama chake, then it is not our business, labda tushambulie the Ilani, lakini sio the messenger, otherwise tunaangaukia kwenye ule ule mtego wa siasa za majina badala ya hoja muhimu kwa taifa, zilizotufkisha hapa tulipo hili taifa!
William @ NYC, USA.
mkuu hizo **** unge edit halafu andika m.kwere
Nape endeleza libeneke wakosoaj wanaumwa ugonjwa wa kupindwananape so dalili kubwa nikuharisha so nasikia wao wanamisuli na mataulo tu
hawezi jitowa facebook kwani huko kunamletea vichenchede, teh teh teh!!!!!!!!!!!!!
Si lile limama linalojifanya limeokoka? Sasa Nape ana share ule mzigo na Mwenyekiti?
mi namchukia sana nape kwa sababu anatuchukia sana sisi wachaga!
nape ole wako uje rombo, marangu au old moshi.
utajua kwa nini kunguru hakojoi!
sion tofauti yao! Mi ni mmoja ya waliochangia post ya "CHUO KIKUU CHA DODOMA", Huko nako alikimbia baada ya kujibu status moja tu. Jamaa mweupe kabisa, hoja nyepes na jazba ndivyo vimemjaa.
I dont give a shit on what happens to Nape and other Magambas..Any young Tanzania who become a leader through CCM he has made such a move for personal reasons,more obviously financial health..If not then i point out that he's not well balanced mentally...Its better to support nothing than supporting Magamba's party..CCM has been destroyed by those wazee,and I will be surprised if a talented young man of today can join and being a part of shits..I advice Nape to continue with the Magamba's style and I also advice those who abuse him to double the dose,not only to Nape and all other Young individuals of his kind.....Its time for we youth to realize all the wrong doings of CCM today will hurm us and our babies years to come...Nation first!!
Heshima Mbele mkuu!
Asante kwa mchango wako! Mimi ni mtu wa kawaida sana siwezi hata kufikia robo ya wewe vile ulivyo katika mambo ya siasa hata kimaisha! Nimesoma ulivyoandika, nilitarajia kama mtu mwenye uwezo mkubwa utalielewa lengo la barua yangu kwa Nape! Nimesikitika kwa sababu umeshindwa kuchambua mada vizuri! Lengo kubwa ni kumshauri Nape na si kushuri CCM! Mambo hayo niliyoyazungumzia yanamhusu Nape zaidi na jamii anayoishi! Kumbuka Nape ni kiongozi ambaye tunataka kujifunza kwake lakini mambo anayofanya ni ya kawaida na kitoto sana wakati mwingine! mfano ile facebook yake ina mambo ya ajabu ambapo hata facebook wall ya mdogo wangu wa darasa la nne inamambo ambayo naweza kwenda kusoma nikajifunza! Uistetee uovu wa mtu wakati huu ambao taifa linategemea ukombozi! Sisi wananchi hatuguswi zaidi na siasa za kusubiri uchaguzi tunachotaka ni maendeleo sasa na maisha bora! Ndiyo maana uvumilivu unazidi kuisha! Mheshimiwa kama Nape anazungumza hayo kwa niaba ya CCM basi wafungue account za mawasiliano kwenye mitandao zenye jina la CCM. Nadhani pia ulifurahi sana ulipooona wazee wetu wanagombania kanga za CCM Singida!
Kwa taarifa yako mkuu, sisi wanachi tunateseka sana maisha ni magumu nyinyi mko USa tena kwa pesa yetu sisi vilaza mnayoipata kutokana na makusanyo mali asili zetu na vikorombezo vingi vingi mnavyoviweka! Ieleweke leo tunateseka lakini Mungu ana haki, atahukumu kama ilivyohaki! Siku hiyo wote tutapata haki na cha msingi ni haki ya milele, ni mara kusota katika ulimwengu wa sasa kuliko kuja kusota jehanamu milele! Samahani kama nimekukosea!
Radio Producer.
- Misguided sana ndio maana nina tatizo sana na mawazo yako against Nape, Tanzania hatujamchagua Nape kutuletea maendeleo tumechagua wabunge na Rais, Madiwani on that matter, sasa iweje kumshupalia maendeleo kiongozi aliyechaguliwa na chama chake kutetea na kusimamia ilani yao?
- Ndio maana ninasema hapa kuna misguidance, ingawa pia ni haki yako kuamini unavyoamini!
William @ NYC, USA.
- Mhhhhhh! Mkuu mbona personal sana kuliko Taifa, I mean utawala wa Chama kimoja cha siasa katika siasa Za vyama vingi, hauwezi kuwa ishu unless kama kuna ushahidi wa kutosha na wa wazi kwamba kuna kiongozi wa chama flani anafanya matendo kinyume na Taifa kwa kutumia chama chake, I begg to respectfully differ na mtoa mada hii,
- Mh. Nape ni kiongozi wa CCM ametimiza masharti ya uongozi ndani ya CCM, ndio maana wamempa nafasi, sasa CCM ndio wanaweza kudai kwamba hafai, lakini sio sisi wananchi wengine ambao sio wanachama wa CCM, mimi ni mwanchama wa CCM, ninaamini kwamba Mh. NaPE ANA mandate ya CCM na pia kuungwa mkono na Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa yote anayoyafanya kwa CCM, US wanasema kwa vile W.Bush alikuwa anachukiwa na Dunia nzima, basi ni Rais anayewafaa sana Wamarekani, so labda hizi kelele nyingi sana kwenye Blogs dhidi ya Mh. Nape, ni kwamba anawafaa sana CCM, can you Imagine kiongozi wa CCM, anayeweza kuja hapa na kukubalika kwa wakati huu?
- I mean tumuache MH. Nape afanye kazi ya chama chake, kama anaharibu ni kwenye chaguzi ndio tuwaelimishe wananchi madhara ya uongozi wa Nape, I mean it is becoming a Nape fiesta sasa hapa JF, kama ametoa hoja nje ya mstari wa Taifa sawa, lakini hoja ambazo ni samba mba na Ilani za chama chake, then it is not our business, labda tushambulie the Ilani, lakini sio the messenger, otherwise tunaangaukia kwenye ule ule mtego wa siasa za majina badala ya hoja muhimu kwa taifa, zilizotufkisha hapa tulipo hili taifa!
William @ NYC, USA.
- Misguided sana ndio maana nina tatizo sana na mawazo yako against Nape, Tanzania hatujamchagua Nape kutuletea maendeleo tumechagua wabunge na Rais, Madiwani on that matter, sasa iweje kumshupalia maendeleo kiongozi aliyechaguliwa na chama chake kutetea na kusimamia ilani yao?
- Ndio maana ninasema hapa kuna misguidance, ingawa pia ni haki yako kuamini unavyoamini!
William @ NYC, USA.
Kudos Williama,
Nape ni kioo cha CCM yote anayofanya, anayoandika, anayosema ndio taswira halisi ya CCM. Yupo kwa ajili ya CCM na sio Taifa. Hivyo mambo ya ngoswe waachiene kina ngoswe.
Ijengeni CDM kwa manufaa ya Taifa. Wasidieni viongozi wa Chadema kimaendeleo, kiseera, kimkakati na kimawazo. Na hao wa CCM waacheni wafu wazike wafu wao.
Hapo peenye Red sema CCM sio watanzania maana maana watanzania hawajamchagua kuwa kiongozi wao
Ila naomba pia nipingane nawe kuwa kama kiongozi yeye ni chachu ya maendeleo yaani kuhimiza na kuhamasisha maendeleo kw akutumia rasilimali zilizopo na kama mwanasiasa ambaye anasimamia maamuzi yeye pia ni nafasi ya kuhimiza maendeleo na kusaidia juhudi za wananchi katika kujiletea maendeleo yao wenyewe na kama amechaguliwa na chama chake anapaswa kusimamia ilani ya chama chake ambacho kinatawala katika kuhakikisha kuwa kunakuwa na maendeoe yaliyoahidiwa
Sawa mkuu, naona unatetea hoja katika ukweli na msingi wa juu wa fikira za kisomi nakubaliana nawewe! Nape ni kiongozi wa CCM na si Taifa, je kwanini anajihusisha na maisha ya Watanzania walidhurumiwa? Watu wamefiwa halafu anaropoka ropoka tu huoni hiyo ni mbaya? (Ndio maana nilimshauri kiyeye na sio kichama uzuzri umeleta kwenye chama lakini bado hata huku anamatatizo) Ameenda UDOM kukagua majengo je anahusikaje na ukaguzi wa majengo kiongozi wa CCM? huyu jamaa anahusishwa na jamii moja kwa moja! KIBAYA ZAIDI KUROPOKAROPOKA KUPIGA VITA WATU WANAOTETEA MASILAHI YA WATANZANIA! MKUU IPO SIKU MTATUKOMA TU TUMECHOKA NA UVUMILIVU! MMEKULA VYA WANYONGE KWA KUTOSHA SASA SUBIRI YENU YANAKUJA! KAMA UNAONA ANAYOYAFANYA NAPE NI SAHIHI POA HAMANA SHIDA! ILA SUBIRINI YANAKUJA YATAKAYOWAPA SHIDA WOTE WALIONYUMA YA MIGONGO MICHAFU YA MAFISADI!
Si lile limama linalojifanya limeokoka? Sasa Nape ana share ule mzigo na Mwenyekiti?