Nape JF sio sawa na Facebook

Nape JF sio sawa na Facebook

juzi alikuwa Dodoma kutafuta wanachama lakini hata hajapata kabisa hivi anajiandaa kutowa amelezo ya ccj
 
Kisiasa Nape ni Maiti inasubiriwa kupelekwa mochari!
 
Jamani naona mashambulizi kwa nape yamekuwa too much as if yy ndio chama peke yake kumbukeni yy ni katibu mwenezi moja ya majukumu yake ni kukisemea chama chake lkn naona kumekuwa na chuki binafc zaidi kuliko chama chake.
kwa pamoja tunajenga.
 
maskini Nape tatizo lake yeye light weight anataka apigane na heavy weight tena wawili ktk ulingo mmoja we unafkiri kitatokea nini ka sio kutoka nduki
Pukudu @ Ilkiding'a, Arusha
 
Jamani naona mashambulizi kwa nape yamekuwa too much as if yy ndio chama peke yake kumbukeni yy ni katibu mwenezi moja ya majukumu yake ni kukisemea chama chake lkn naona kumekuwa na chuki binafc zaidi kuliko chama chake.
kwa pamoja tunajenga.

Lazima apewe vidonge vyake kwa sababu anaeneza sera za chama kingine kwa nin asiongee sera za magamba?
 
jamani naona mashambulizi kwa nape yamekuwa too much as if yy ndio chama peke yake kumbukeni yy ni katibu mwenezi moja ya majukumu yake ni kukisemea chama chake lkn naona kumekuwa na chuki binafc zaidi kuliko chama chake.
Kwa pamoja tunajenga.

chama kimeshakufa yeye pekee alitaka kuonekana mzima ktk wafu.
 
ndugu wapenzi wa jf, miezi michache iliyopita kijana mwanasiasa machachari kwa jina la nape nnauye baada ya kukabidhiwa rungu, aliwapa wa-tz na hasa wanachama wa chama chake cha magamba matumaini kwamba atashinda vita ya ufisadi ndani ya chama hicho. Kwa majigambo alisema mafisadi (hasa mapacha watatu) waondoke ktk chama chake katika siku 90. Vinginevyo, watakiona cha moto. Nashindwa kuelewa kama huyu nape bado yuko hai au ameshakufa? Nauliza hivi maana ghafla amelowa, amenywea na amefyata kama mbwa aliyemuona chatu! Nisaidieni ndugu zangu yapi yamemfika nape? Masikini nape, au labda alijaribu kupima kina cha bahari kwa kutumia rula?

tehe tehe, kiboko yake mpendazoe huyo. Wazaramo wana usemi 'ding'oka hingo dibwela hingo'. Kimya sasa. Mziki wa cdm hauwezi bado dogo sana huyu.
 
Inaonekana basi nguvu ya Nape ni kubwa sana maana kama chama kimekufa na yy anasimama pekee yake kukitetea inabidi mpe big up na sio kumbeza kiasi hicho tumkubali kwa yale anayofanya lkn si kila kitu anachofanya ni kibaya kwa chama chake ni kizuri sanaa ndo maana wamemwamini na kumpa kitengo nyeti kama hicho. Najua kila mtu ana opinion zake lkn tukubali kwamba kuteuliwa kwake kwenye nafasi hiyo kumeleta changamoto sana kwenye uwanja wa siasa nakiri kwamba sekretarieti iliyopita ya ccm haikuwa na watu wenye changamoto ktk jukwaa la siasa kama ilivyo kwa Nape ebu tumpe moyo kwa wale wanaohitakia mema nchi yetu suala sio chama gani ila amani ya watanzania ndio kitu kikubwa sana.
Kwa pamoja tunajenga!!!!
 
yaliyo msibu makubwa.tumpeni pole kwa sababu Mh.mpendazoe kamvua nguo.huwezi kuimba huku unatafuna karanga.huku ccm kule ccj juu CHADEMA.Ni noma.mia
 
Ndugu wapenzi wa JF, miezi michache iliyopita kijana mwanasiasa machachari kwa jina la Nape Nnauye baada ya kukabidhiwa rungu, aliwapa wa-tz na hasa wanachama wa chama chake cha magamba matumaini kwamba atashinda vita ya ufisadi ndani ya chama hicho. Kwa majigambo alisema mafisadi (hasa mapacha watatu) waondoke ktk chama chake katika siku 90. Vinginevyo, watakiona cha moto. Nashindwa kuelewa kama huyu Nape bado yuko hai au ameshakufa? Nauliza hivi maana ghafla amelowa, amenywea na amefyata kama mbwa aliyemuona chatu! Nisaidieni ndugu zangu yapi yamemfika Nape? Masikini Nape, Au labda alijaribu kupima kina cha bahari kwa kutumia rula?

Nape Red?
 
lkn si kila kitu anachofanya ni kibaya kwa chama chake ni kizuri sanaa ndo maana wamemwamini na kumpa kitengo nyeti kama hicho. !!!!

Hawakumjua vizuri NAPE lait wangelijua kuwa alikuwa ndani ya CCJ wasingempa hicho kiti. Kuanzanisha CCJ ni unafiki wa hali ya juu sana ndani ya chama kama CCM. Kwanza kwa taarifa tu sasa hivi wanajuta kwanini walimpa hicho cheo. Wait and see!
 
Ni kama kikundi cha MATARUMBETA kwenye harusi. Wao kazi yao ni kupiga makelele barabarani na makelele hayo huishia nje ya ukumbi. Mpiga tarumbeta hawezi jua ndani ya ukumbi sherehe inaendeleaje. Mbaya zaidi hafahamu kuwa baada ya harusi hakuna atakayekumbuka wimbo aliowapigia. INAUMA
 
Nakubalina na yote lkn chama chake kimemwaamini na kumpa majukumu makubwa kama haya yote ni katika kuweka chama imara tumpe nguvu na pale anapokosea bac tujaribu kumuweka sawa bila kuangalia itikadi zetu

kwa pamoja tunajenga
 
Inaonekana basi nguvu ya Nape ni kubwa sana maana kama chama kimekufa na yy anasimama pekee yake kukitetea inabidi mpe big up na sio kumbeza kiasi hicho tumkubali kwa yale anayofanya lkn si kila kitu anachofanya ni kibaya kwa chama chake ni kizuri sanaa ndo maana wamemwamini na kumpa kitengo nyeti kama hicho. Najua kila mtu ana opinion zake lkn tukubali kwamba kuteuliwa kwake kwenye nafasi hiyo kumeleta changamoto sana kwenye uwanja wa siasa nakiri kwamba sekretarieti iliyopita ya ccm haikuwa na watu wenye changamoto ktk jukwaa la siasa kama ilivyo kwa Nape ebu tumpe moyo kwa wale wanaohitakia mema nchi yetu suala sio chama gani ila amani ya watanzania ndio kitu kikubwa sana.
Kwa pamoja tunajenga!!!!

Kama watoto wote ulionao ni wenye mtindio wa akili, mwenye kifafa ataonekana ana nafuu, hata kutumwa na kupewa majukumu uliyonayo.
 
Back
Top Bottom