Yeyote anayeamini kuna Democrasia ndani ya Chama atueleze Watanzania....
Ndio maana watu wenye Akili kama Zito huwezi kumuona anahamasisha Watanzania wavunje Sheria,,,,Adhali za Kuvunja sheria ni kushughulikiwa kwa mujibu Sheria na ninawaambia mkiandamana bila kibali mwendo mdundo mnashughulikiwa..
Na ninachukua nafasi hii kuwapongeza viongozi wote Imara wanaowashughulikia wanaovunja Sheria kwa Makusudi...
Watanzania wenzangu Mbona zinapotokea vurugu Genge la kutafuta hela la Chadema na Wenzake huwa hawaonekani wanatorokaje?