Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
ni kafara za cdm.
Nakusaidia kumalizia sentensi yako kama ifuatavyo:-
' ni kafara za cdm, kwenye mauaji yaliyotokea Pemba January 26 na 27, mwaka 2001'
ni kafara za cdm.
Hivi unajua sifa za wahuniChadema ni Genge la Wahuni wasioitakia mema Tanzania na CCM haitakuja kukabithi nchi kwa wanaharakati, hawajui kuongoza nchi.... Hivi Dr ameshazeeka vile mnafikiria kumkabithi nchi hivi hakuna mtu mwingine ndani ya Chama au lazima mtu atoke Kaskazini kama kawaida yenu.. kwa sababu Mbowe hana Sifa Elimu yake ndogo sana hata Chuo kikuu hajafika,
Kwa maoni yako Dr. Slaa akivunja sheria, mwananchi achukuliwe hatua. Hatua ni kuuwawa ili serikali ionekane si dhaifu. Umadhubuti wa serikali unapimwa kwa kuua wananchi.
Nawauliza wanaJF. haya ndiyo mawazo ya mwanachama wa GREAT THINKERS?
Hii kwangu mpya, '' Liwalo na LIWALE''???? huh!
Kibogo, mimi siishambulii Chadema ila nimeleta Hoja Tupime kwa pamoja na tuache Ushabiki tuzungumze Ukeli.. Na kama hamtakubali kukosolewa hamna sifa za kuongoza nchi...CCM ni chama kinachokubali kukosolewa ndio maana Mhe Jk katoa uhuru wa kuzungumza mpaka nahisi Amepitiliza
Timbilimu, Hebu niambie uhuru wa kuzungumza 1995-2005,,,,
2005- 2010 ni sawa?
Halfu ulishawah kusikia Marekani wanazungumzia madhaifu ya Nchi yao kama Tz?
kweli kuna watu wana akili kama ya panzi,ccm wao wafanye mikutano kule bububu na shuguli zingne za kichama wasibughudhiwe na policcm lakini mikutano tu ya chadema ndo yazuiwa kisa sensa,sasa huyu mwenye kuandika hoja hi katumia akili kweli,rais wa 2015 awajibike kwa lipi?wananch mnazulumiwa na mafisadi walioko madarakani fanyeni mabadiliko,