Nape: CHADEMA iwajibike matukio ya mauaji

Nape: CHADEMA iwajibike matukio ya mauaji

Wakuwajibika ni policcm walioshoot watu au cdm I think there is something wrong ndani ya kichwa cha Nape hivi hajasoma hata matamko ya wengine kabla ya kupost lake
 
Siku nyingi nilishasema kuwa "MBWA KABLA YA KUFA MARA NYINGI LAZIMA AREFUKE" Nina maana kuwa mbwa ukiona anaanza kudokoa kwenye majalala bila kujua anakula chakula cha aina gani ujue mbwa huyo anakaribia kufa kwakuwa atakula sumu hata bila ya yeye kujua au pengine anajua lakini asiamini kuwa sumu hiyo inaweza kumuua. Hili ndo linafanyawa na viongozi wengi wa CHAMA TAWALA NA SERIKALI. Mtu kama Tendwa na kauli zake dhidi ya CHADEMA na mwenzake NAPE, wala sishangai kwani wanakula sumu wenyewe hali wakijua sumu hiyo itawaua siku si nyingi.....


 
Kwa kusema Dr. Slaa awajinike kwa vifo vya Mor na Iringa ni kukosa busara na hekima. Mwema,Kamuhanda na Mkuu wa mkoa ndo wanapaswa kuwalinda raia na si Dr. Slaa!! Unajua mtu kuchoka akili ni bora kuchoka mwili unaweza kupata mtu wa kukubeba..Viongozi wetu wengi kwa woga wa kulipa haki zetu nyingi walizotudhulumu mbele za Mungu,,,kuwaza sana kumesababisha wachoke sana akili na kuanza kutoa matamko yasiyokuwa na mashiko mbele za watanzania. Nyie MAFISADI NI WAKATI WENU SASA KUTUBU BADALA YA KUONGEZA DHAMBI...Mnanisikia au mnaziba masikio????
 
Bwana Jimmy nakuamini na kukuheshimu lakini kwa hili naanza kupoteza imani kwa busara zako unapoaanza kuthubutu kushinikiza Dr. Slaa awajibike huku ukijua kuwa wapo wengi waliohukumiwa kisheria kwa mauaji ya Albino na mengine mengi lakini mpaka leo pamoja na kuwa katiba yetu inaruhusu kifo kwa wahalifu kama hao LAKINI WAKUU WA NCHI HATA SAHIHI WAMEOGOPA KUWEKA. Matokeo yake wanaua watu wasio na hatia kama MWANGOSI NA YULE WA MOR.? Sasa jiulize, Dr. Slaa ndiye aliyeruhusu kulipuliwa kwa mwandishi au kupigwa risasi kwa yule wa Mor au kupigwa risasi kwa wale wa Arusha!!!!? Hata hivyo yale hayakuwa maandamano bali mikutano ya ndani juu ya uimarishaji wa chama.. Plz usidandie gari kwa mbele. Jitahidi kuungana na Watanzania wengi kudai haki na kutetea haki zao. Hiyo itakuwa sehemu ya ibada yako. Asante kwa kunielewa..
 
Ushabiki ni kitu cha hatari sana, kwa bahati mbaya watu ambao wanachezesha michezo Tanzania (polisi, mahakimu,wakuu wa wilaya na mikoa,msajiri wa vyama vya siasa,waandishi wa habari, n.k) nao pia ni washabiki na matokeo yake ni haya mauaji ya raia wasio na hatia ili mradi kujaribu kujenga taswira kuwa wenye mkutano ndio wamesababisha vifo na bila aibu watu kama Nnape wanasimama kusema kama vipofu, na bahati mbaya kabisa vyombo vya habari navyo vimeshindwa kuujulisha umma ukweli wa mambo.
Nilitegemea pia kusoma maelezo ya mwandishi wa makala hii kuhusu nama ambavyo watu hawa anaowasema Nnape waliuwawa katika mazingira yapi, je Chadema waliwanyonga au ilikuwaje mpaka wakaupoteza uhai?
 
Ushabiki ni kitu cha hatari sana, kwa bahati mbaya watu ambao wanachezesha michezo Tanzania (polisi, mahakimu,wakuu wa wilaya na mikoa,msajiri wa vyama vya siasa,waandishi wa habari, n.k) nao pia ni washabiki na matokeo yake ni haya mauaji ya raia wasio na hatia ili mradi kujaribu kujenga taswira kuwa wenye mkutano ndio wamesababisha vifo na bila aibu watu kama Nnape wanasimama kusema kama vipofu, na bahati mbaya kabisa vyombo vya habari navyo vimeshindwa kuujulisha umma ukweli wa mambo.
Nilitegemea pia kusoma maelezo ya mwandishi wa makala hii kuhusu nama ambavyo watu hawa anaowasema Nnape waliuwawa katika mazingira yapi, je Chadema waliwanyonga au ilikuwaje mpaka wakaupoteza uhai?

Kama vipi tumsubiri aongee kwanza tusije kumshutua. Si unajua kamati bado ipo kazini? Ssasa mwacheni ajichanganye kwanza kuzungumzia mambo yaliyopo kwenye kamati. Au anataka kutoa hukumu? Hana washauri?
 
There can be no solution to any dispute when reality is distorted beyond recognition of its true nature. Nape you are using your lower self to come up with such statements and I can not blame you but the way I understand it is type of CCM leaders we have.
 
mambo yao ni yaleyale tu,nepi hana jipya.hivi katibu mkuu wa magamba yuko wapi siku hizi?kimya kabisa au kamezwa na nepi na chemba.
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nauye, leo atazungumzia mauaji ya Mwangosi katika Star tv.

Ninatafakari, atakuwa na jipya gani? Kama tuliilaani serikali ya makaburu kwa mauaji ya Sharpville na yale ya Soweto(hatukulaani polisi wa Afrika kusini) ambayo yote yalifanywa na polisi wa Afrika kusini, vipi mauaji ya Mwangosi(Iringa), Morogoro na Arusha, tusiilaani Serikali ya CCM?

Polisi ni agents tu. CCM ndo wakulaaniwa na kubebesha mzigo.

Angalia: mazuri yote yanayofanywa na serikali, wanasema ni ya kwao. Vipi wajitenge na mabaya yanayofanywa na serikali?


yani hili lijamaa sijui limetoka wap...kuropoka tuuuuuu!!! kwan kaua nani?? police au chadema??? nahisi bado mtoto akikua ataacha!!
 
Back
Top Bottom