Nape: CHADEMA iwajibike matukio ya mauaji

Nina wasiwasi mkubwa na chadema hawa jamaa inaelekea wameweka tamaa ya madaraka mbele na ni watu wachochezi sana.ni kama kagenge fulani hivi ka wahuni

MMMhhhh!!! Zimo kweli ndugu yangu? Shirikisha akili yako japo kidogo tu. Think out of the box.
 
Nawewe uwajibike kwa kutotumia kichwa chako vizuri kufikiri!
 
Huyo Francis Godwin naye mnafiki tu hana ishu,aache kutafuta umaarufu wa kijinga na hakuna aliyemlazimisha akawe mwandishi wa habari,RIP Mwangosi ila huyo Godwin anajifanya kila kitu anakijua yy c aende kwenye tume anabwabwaja nn na Chadema haikumlazimisha kwenda Nyololo,huyo naye niaje
 
Ama kweli watu tunatofautiana ufaham, polisi aue, dr slaa awajibike..!!??
 
Codom,..Dr Slaa alizungumza hakuna mtu aliyetegemea kama kifo kingetokea ila inaonyesha ni Agenda ya Chadema kuua watanzania ili Chama kiendelee kupewa Misaada na baadhi ya Mataifa ya nje,,
Na hakuna mtu asiyejua mkoani Iringa kuwa Mwangosi alikuwa Chadema na mda mwingine alikuwa anavaa na Magwanda ndio maana Mchangiaji mmoja alisema inawezekana Chadema walimpa Bomu akajilipue kwa Police akakosea Masharti
 
Imefika wakati viongozi wa Chadema wawajibike kwa vifo vinavyotokea katika maandamano yao kwa sababu wao ndio wanasababisha na wanakuwa wanafahamu kuwa mtu atafariki, Kifo cha Mwangosi Iringa kabla tukio halijatokea Mwandishi Francis Godwin alimuuliza Dr Slaa kwamba kwa nini wanaenda kufanya Mkutano wakati wamezuiliwa kufanya Mkutano Dr slaa alieleza Liwalo na Liwale na yuko tayari kupoteza Maisha ya Mtanzania yeyote ili kuimarisha Chama.
Hivi kwa nn Dr Slaa asiuzulu pamoja na Mwenyeki kama kweli wana nia ya dhati na Watanzania?
Kwa maneno aliyoyatoa ilikuwa ni lazima nguvu itumike kwa Sababu CDM Wakivunja Sheria wasiposhughulikiwa wanasema Serikali ya CCM dhaifu Sasa ili isiwe dhaifu lazima kila mmoja aheshimu sheria na anayevunja achukuliwe Hatua na ninamweleza IGP Na RPC Lazima muuendelee kulinda sheria kila mmoja aheshimu anayebisha ashughulikiwe...

Halafu Dr Alikuwepo Nyololo mbona alipoanzisha fujo tu hatukujua kaelekea wapi au ni Mkakati wa Chadema kuua watanzania wameagizwa na Wafadhili wao?

Kweli nimeamin kikao cha Chadema hakina Tofauti na kikao cha ukoo...Kikao cha Ukoo kinaweza kubadilika kuwa Kikao cha Chama

wewe nawe unajiita great thinkers? Watu kama wewe ni janga la taifa.
 
Masanilo,Jimy P kwa kauli yangu nawaambia ya kwmb jaribu kwingine wajinga watumwa wakubwa nyie!

SHWAIIIN SANA MAJINGA WATUMWA WAKUBWA,na LIWALO na LIWE
 
Tatizo la watu wa CDM ni uhodari wa kutusi wengine wanapokuja na hoja wasizozipenda. Shame on u

kwenye hili hoja ipo wapi? Polis wameingilia mkutano wa kufungua tawi wamemfyatulia bomu lamachozi tumbon na kumua picha zinaonyesha. Cdm inahusikaje? Wakati huo huo bububu mkutano wa siasa umefanyika polic hawakuenda na hakuna aliyeuawa ukishirikisha akili yako japo kidogo hoja ya cdm kuua ipo wapi? Just be reasonable na mkeli kwa nafsi yako.
 
Ama kweli watu tunatofautiana ufaham, polisi aue, dr slaa awajibike..!!??
Ni lazima Dr slaa awajibike kwa sababu alisema kauli ambayo baadaye Mwandishi alikufa tena Mwanachama wao...
CCM Hatupendi kuona Chadema wana agenda ya siri kujipatia umaarufu kupitia Vifo vya watanzania..
na ninawajulisha Watanzania atakayevunja sheria atashughulikiwa Tu hakuna mjadala...hapo ndio mtajua CCM Imara au dhaifu
Ukienda kwenye Maandamano uliza yana kibali au hakuna la sivyo Itabaki historia
 
Mhh nahisi akili zako umeazimwa wewe au umetumwa na magamaba wenzako watu kama nyinyi mkifa mtsemaje mbele za Mungu kumbukeni kuna Mungu hivyo visent mnavyopewa na hao Magamba hadi mnakubali kuuza utu wenu.
 
Aliye anzisha thread hii, Namuuliza JE KAMA Dr SLAA ANAVUNJA SHERIA,NDIO POLISI ARUHUSIWA KUUA RAIA ??
 
CCM ni Chama imara sana ndio maana Chadema wanaiga kila kitu mpaka mfumo wa Uongozi,,,Hivi CCM Ngazi ya Chini ni Balozi nao chadema wanaanzisha Balozi hivi wanashindwa hata kutunga Jina Jingine kuonyesha utofauti,,,,,
CDM ni kijiwe cha kutafutia Hela,, Wenzenu wameishi Iringa wanatengeneza nite kila siku nyie mnashabakia mnafahamu wametumia kiasi gani kulipana Posho tu?
 
Polis waliomwua Kombe wapo uraiani! Unajua jibu la serikali kwa wananchi wake? Kombe aliside na mrema enzi za nccr-mageuzi kwa sasa raia wanaside na cdm yanayowapata ndio haya tunayoyaona.
 
Imefika wakati viongozi wa Chadema wawajibike kwa vifo vinavyotokea katika maandamano yao kwa sababu wao ndio wanasababisha na wanakuwa wanafahamu kuwa mtu atafariki, Kifo cha Mwangosi Iringa kabla tukio halijatokea Mwandishi Francis Godwin alimuuliza Dr Slaa kwamba kwa nini wanaenda kufanya Mkutano wakati wamezuiliwa kufanya Mkutano Dr slaa alieleza Liwalo na Liwale na yuko tayari kupoteza Maisha ya Mtanzania yeyote ili kuimarisha Chama.
Hivi kwa nn Dr Slaa asiuzulu pamoja na Mwenyeki kama kweli wana nia ya dhati na Watanzania?
Kwa maneno aliyoyatoa ilikuwa ni lazima nguvu itumike kwa Sababu CDM Wakivunja Sheria wasiposhughulikiwa wanasema Serikali ya CCM dhaifu Sasa ili isiwe dhaifu lazima kila mmoja aheshimu sheria na anayevunja achukuliwe Hatua na ninamweleza IGP Na RPC Lazima muuendelee kulinda sheria kila mmoja aheshimu anayebisha ashughulikiwe...

Halafu Dr Alikuwepo Nyololo mbona alipoanzisha fujo tu hatukujua kaelekea wapi au ni Mkakati wa Chadema kuua watanzania wameagizwa na Wafadhili wao?

Kweli nimeamin kikao cha Chadema hakina Tofauti na kikao cha ukoo...Kikao cha Ukoo kinaweza kubadilika kuwa Kikao cha Chama

Wanaccm wote mnamawazo ya kishetani,tutazidi kuwakemea kwa uweza wa Mungu na majibu yapatikane hapahapa duniani,kwani katika hili mliwatuma police waue ili mseme CHADEMA,bahati sala na toba za watanzania Mungu amesikia na sasa ameweka mkono wake moja kwa moja,wote wenye unafiki na kutisha watu kwa muda mrefu sasa si wakati wake,kuna waliokata tamaa kwa kupoteza ndugu wengi kutoka kwa vyombo dhalimu.UONGO NA VISINGIZIO VYA SHETANI HATUVITAKI.I HATE,I HATE,I HATE CCM LIKE SHETANI.
 
Yeyote anayeamini kuna Democrasia ndani ya Chama atueleze Watanzania....
Ndio maana watu wenye Akili kama Zito huwezi kumuona anahamasisha Watanzania wavunje Sheria,,,,Adhali za Kuvunja sheria ni kushughulikiwa kwa mujibu Sheria na ninawaambia mkiandamana bila kibali mwendo mdundo mnashughulikiwa..
Na ninachukua nafasi hii kuwapongeza viongozi wote Imara wanaowashughulikia wanaovunja Sheria kwa Makusudi...
Watanzania wenzangu Mbona zinapotokea vurugu Genge la kutafuta hela la Chadema na Wenzake huwa hawaonekani wanatorokaje?
 
Wenye imani za kichawi utawajua tuu

Mtu kuwa na uwezo wa kutambua co lazima awe mchawi. Hebu kanusha ni kwa .nn Padri hawaongozi washabiki wake kutii sheria biila shuruti? Ni kwa Dr aliwaelekeza watu wake kuchota mchanga wenye damu wa maiti za Iringa na Moro. Kalaga baho. Ucdhani kuwa hatijui.
 
Back
Top Bottom