Hii inaonyesha jinsi ulivyomtumwa wa fikra.Magamba yanauana yenyewe kwa sumu sembuse raia, kala bagao!!!Imefika wakati viongozi wa Chadema wawajibike kwa vifo vinavyotokea katika maandamano yao kwa sababu wao ndio wanasababisha na wanakuwa wanafahamu kuwa mtu atafariki, Kifo cha Mwangosi Iringa kabla tukio halijatokea Mwandishi Francis Godwin alimuuliza Dr Slaa kwamba kwa nini wanaenda kufanya Mkutano wakati wamezuiliwa kufanya Mkutano Dr slaa alieleza Liwalo na Liwale na yuko tayari kupoteza Maisha ya Mtanzania yeyote ili kuimarisha Chama.
Hivi kwa nn Dr Slaa asiuzulu pamoja na Mwenyeki kama kweli wana nia ya dhati na Watanzania?
Kwa maneno aliyoyatoa ilikuwa ni lazima nguvu itumike kwa Sababu CDM Wakivunja Sheria wasiposhughulikiwa wanasema Serikali ya CCM dhaifu Sasa ili isiwe dhaifu lazima kila mmoja aheshimu sheria na anayevunja achukuliwe Hatua na ninamweleza IGP Na RPC Lazima muuendelee kulinda sheria kila mmoja aheshimu anayebisha ashughulikiwe...
Halafu Dr Alikuwepo Nyololo mbona alipoanzisha fujo tu hatukujua kaelekea wapi au ni Mkakati wa Chadema kuua watanzania wameagizwa na Wafadhili wao?
Kweli nimeamin kikao cha Chadema hakina Tofauti na kikao cha ukoo...Kikao cha Ukoo kinaweza kubadilika kuwa Kikao cha Chama