Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

Nape ameonyesha upendo wa hali ya juu kwa Babu yake Dr. Slaa. Hizi ndio siasa tunazotaka. Wanasiasa pendaneni...

Nadhani huyu kijana alitakiwa aongeze juhudi kumtafuta baba yake mzazi wa ukweli hapo ndio atajua babu yake anaishi au kaishafariki siku nyingi.
 
hahaha...mwigulu nchemba anafanya siasa za urafiki kwa kuwatengenezea wengine kesi?au RC wa Arusha anachofanya ni siasa safi?dada/kaka CHAMVIGA

How sure are you kama Mwigulu amewatengenezea kesi mbona ishu ipo mahakamani au wewe ndio judge? Mkuu wa mkoa wa Arusha ndio alikuwa afike na kuzungumza habari ile sasa Lema kaenda tafuta nini? Mengine wanayataka na kuyatengeneza wenyewe dada/kaka Kdm23.
 
Last edited by a moderator:
Apige mziki wa kumsihi baba yake mzazi ajitokeze hadharani watambuane.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
How sure are you kama Mwigulu amewatengenezea kesi mbona ishu ipo mahakamani au wewe ndio judge? Mkuu wa mkoa wa Arusha ndio alikuwa afike na kuzungumza habari ile sasa Lema kaenda tafuta nini? Mengine wanayataka na kuyatengeneza wenyewe dada/kaka Kdm23.

Lema ni kiongozi aliyechaguliwa na wananchi wengi wa Arusha,ni tofauti na huyo Mkuu wa Mkoa yeye kateuliwa na kupelekwa pale kama tenga. Na muda wowote anaweza pelekwa hata Rukwa.Lakini Lema hawezi kuwa Mbunge sehemu nyingine. Hiyo ndiyo tofauti,waliomchagua ndio waliomuita Mulongo yeye ni chaguo la Magogoni.
 
tutaona na klusikia mengi kipindi hiki cha siasa zinazofuka moto................
 
kwa lipi ajie CHADEMA? Kwani mmesikia Nape muuaji?

Pole,usiwe 'too Rigid' UPINZANI siyo uadui,na kwa kuwa mwanachama wa chama chaochote cha siasa ni haki ya kikatiba ya MTANZANIA.HIvyo haikupi haki wewe kufikiri kuwa kwa kuwa mtu ni mwanachama wa Chadema basi ni muuaji.Unapo comment weka angalizo ya matamshi yako na upime matokeo yake.
 
Hivi Nape si anamiaka mingapi? Maana najua atakuwa na zaidi ya 35 kwa sasa, Dr je? Nadhani wamepishana na Kikwete si zaidi ya Miaka 2.

Je anaweza kumuita Babu Kikwete?
Je Kikwete anaweza kuwa na Mjukuu wa umri wa Nape?

Mkuu, hilo ulilosema ni tisa, kumi ni hili, kama Mzee Moses Nnauye angekua hai hadi sasa huenda Nape angemwita baba yake pia Babu cause kiumri mzee Moses Nnauye na Dr. Slaa, Nnauye Sr ni mkubwa kwa Dr Slaa!
 
Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum Chadema" ambaye alikuwepo ukumbini na kisha akapiga wimbo wa pili kwa heshima ya "babu yangu na kipenzi changu Dr. Slaa"

Akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!

Imekaaje hii wakuu?

Jahazi hilooo.......
View attachment 91876
 
@nape nauye ni munafiki.. Ila nacho shukuru siku hizi kaacha kujikoboa baada ya kusemwa sana hapa jf
 
Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum Chadema" ambaye alikuwepo ukumbini na kisha akapiga wimbo wa pili kwa heshima ya "babu yangu na kipenzi changu Dr. Slaa"

Akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!

Imekaaje hii wakuu?

Hapo kwenye red ............. AiSHIE HAPO HAPO - KUPIGA WIMBO JUKWAANI .............. NEXT TIME ISIWE KUMPELEKEA PARCEL ................. CHONDE CHONDE .............. Dr. Slaa hataki parcels za Magamba kwa sababu.....................................................[anayeweza amalizie] just thinking loud!!!!!:confused2:
 
Hivi baba yake prof. mwandosya na dr. slaa nani mkubwa kiumli?
 
Back
Top Bottom