Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum Chadema" ambaye alikuwepo ukumbini na kisha akapiga wimbo wa pili kwa heshima ya "babu yangu na kipenzi changu Dr. Slaa"

Akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!

Imekaaje hii wakuu?
Kwa sisi ma-greater thinkers tunamuona Nepi kama ni mtu makini katika lile kundi la wachumia tumbo. Hapa anafagilia kibarua chake wakati wa anguko la ccm..! It gonna be sooner of later..! CCM si mama yake wala baba yake..!
 
so what???????????????????????????????????????????/
 
Kwa sisi tunaomjua Nape vizuri ni kwamba roho na nafsi yake viko Chadema ila CCM anatumikia ujira kama ilivyo kwa wengi wetu. Unaweza kufanya kazi usiyoipenda mradi tu ujira wake umenona. Ni hii ni kutokana na uhaba wa ajira nchini.
 
Nape ni mjinga...nasikitika sana napoteza muda wangu kumjadili huyu kilaza.
 
Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum Chadema" ambaye alikuwepo ukumbini na kisha akapiga wimbo wa pili kwa heshima ya "babu yangu na kipenzi changu Dr. Slaa"

Akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!

Imekaaje hii wakuu?
naanza kukosa sababu za kunifanya niingie humu... huu udaku si ungepelekwa kwa SHIGONGO???? AKHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH
 
Mbwembwe tuuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni kweli siasa sio ugomvi lakini Kejeli ni utovu wa nidhamu na ugomvi. Utamwitaje Dr Slaa babu yako kama sio kejeli? au wanataniana?
 
ndo tatizo la wanasiasa wetu mda wote ni wanasiasa bila kujua wao ni wanajamii kama wanajamii wengine...hata ukuwapa maji ya kunywa wanakunywa kisiasa....
 
Hakuna uzalendo wowote hapo bali unafiki tu, issue ni kuwa anaangalia nguvu ya upepo na upande unakoelekea na hakuna lingine.

Hahaha hahaha hahaha 😛eace:hahaha hahaha
 
Ni kweli kabisa, bila kujua kilichoimbwa huwezi kujua alimaanisha nini. leta mashairi
 
Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum Chadema" ambaye alikuwepo ukumbini na kisha akapiga wimbo wa pili kwa heshima ya "babu yangu na kipenzi changu Dr. Slaa"

Akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!

Imekaaje hii wakuu?

Mabomu ya Arusha yamewafanya kuwa "watakatifu" sana kipindi hiki cha uchunguzi.
 
naanza kukosa sababu za kunifanya niingie humu... huu udaku si ungepelekwa kwa SHIGONGO???? AKHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH

Sasa ndo uliee..!?? kisa Nape kasema anamheshimu dr. Slaa. afu usiumize kichwa bure
 
Back
Top Bottom