Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

Nape ameonyesha upendo wa hali ya juu kwa Babu yake Dr. Slaa. Hizi ndio siasa tunazotaka. Wanasiasa pendaneni...

huyu ndo anatumia majina ya watu kujipatia umaarufu, hivi yale magamba mawili yaliyobaki yameshavuka?
 
Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum Chadema" ambaye alikuwepo ukumbini na kisha akapiga wimbo wa pili kwa heshima ya "babu yangu na kipenzi changu Dr. Slaa"

Akasema anapiga kwa heshima yao katika kutambua mchango wao kwenye kujenga demokrasia na kuthibitisha kuwa siasa sio ugomvi bali ni hoja!

Imekaaje hii wakuu?

Mkuu!

Jamaa kanusa kwamba 2015 ni CHADEMA. Hivyo anajileta Down ili kutafuta huruma ya kisiasa. Si unaona siku za hivi karibuni hotuba zake kwenye majukwaa zimekuwa kama za kulazimishwa ili angalau apate mkate wake wa kila siku!

Hakuna cha ukomavu wa kisiasa kwa Nape zaidi ya kuhisi harufu ya anguko la MAGAMBA.
 
Anaanza sasa kuleta shobo kwa wanaume huyo Nape,aendelee na siasa zake uchwara...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mnaogombana ni nyinyi mashabiki wenyewe wamagombana majukwaani wakitoka hapo wanakuwa marafiki. huwezi amini
 
Siasa sio vita wala chuki kaka/dada usishangae kuona Nape anafanya hivyo ni tofauti na wengine wanaojaribugi kuwawekea unga wa sembe wenzao ili wageuke chakula cha wadudu bila tym yao kufika.
 
Last edited by a moderator:
Siasa sio vita wala chuki kaka/dada usishangae kuona Nape anafanya hivyo ni tofauti na wengine wanaojaribugi kuwawekea unga wa sembe wenzao ili wageuke chakula cha wadudu bila tym yao kufika.

hahaha...mwigulu nchemba anafanya siasa za urafiki kwa kuwatengenezea wengine kesi?au RC wa Arusha anachofanya ni siasa safi?dada/kaka CHAMVIGA
 
Last edited by a moderator:
Kinana huwa na socialize mbugani kwa kuwinda tembo. Je huyu jamaa anataka amwone dr nae akibembea Brazil ndo kwa akili yake aseme kwamba sasa nchi imepiga hatua! Kwa huu umasikini uliopo, kweli kwa mtu mwenye akili isiyo na virus anawezaje kupata muda wa kusocialize! Kweli tutashuhudia mengi.
Ila ushawahi kumuona Wilson Mkama kabla hajastaafu na Abdulhaman Kinana wakisocialize nje ya majukwaa si ndio?
 
Kinana huwa na socialize mbugani kwa kuwinda tembo. Je huyu jamaa anataka amwone dr nae akibembea Brazil ndo kwa akili yake aseme kwamba sasa nchi imepiga hatua! Kwa huu umasikini uliopo, kweli kwa mtu mwenye akili isiyo na virus anawezaje kupata muda wa kusocialize! Kweli tutashuhudia mengi.

kweli...huyu jamaa anasocialize mbugani
 
Back
Top Bottom