Nape ajibu makombora ya Marando

Nape ajibu makombora ya Marando

MWANZO NA MWISHO WA NAPE.....Itabaki story tu 'dah! He was a gud boy b4'.
 
pole sana nape kwa kumbia shule ukadandia jeneza la ccm. Unafanya kazi bure . Bisy doing nothing.

Aliyekimbia shule siyo yeye peke yake. Hata mwenyekiti wa CDM alitoka mkuku kutoka darasani.
 
- Can you imagine Mwenyekiti wa CCM angeiuzia CCM malori yake mabovu? Duh! si ingekwua kiama na maandamano ya Dunia!

FMEs!

Yangetukanwa mpaka makaburi ya wazazi wake! Jamaa wanasahau rules of equity. He who goes before the equity must have clean hands. Wameanza na ufisadi mdogo kwa sababu hapo ndipo uwezo wao ulipofikia. Ukiwapa hazina wataikausha siku mbili tu! na wale wote tuliojua wana akili wamelishwa limbwata na wametulia tuliii kama mtu aliyekamtwa ugoni!
 
- Fairplayer Nape is doing a great job, with in a month tayari the game has changed, sasa kuna balance ya pumba za pande zote mbili which is what is politics is all about, katibu mwenezi wa chama ndiye msemaji wa chama! ya elimu hayahusu maana tukianza kuulizia elimu za viongozi wetu wa pande mbili itakua aibuu, let the politics be politics! CCM taifa hawawezi kumchagua Nape kwa sababu ya baba yake bila kuwa na uwezo, ingekuwa kweli mtoto wa Warioba asingeshindwa U-mayor!

- I mean look all over sudden, JF ya Zitto sasa imekua Nape, and Nape and Nape, mti wenye matunda mazuri ndio hurushiwa mawe sana, Nape is doing a great job maana ndio kazi ya msemaji wa chama cha siasa, kama Bob alivyokuwa msemaji wa Saddam!

FMEs!

So kila upupu anaoongea Nape ni wa kuungwa mkono.....ikiwemo kuhubiri chuki dhidi ya makabila mengine???? we cant go that low....

hizi juhudi za kudivert attention ya watu dhidi ya ufisadi tu si kingine.....

CCM wajumbe wa kamati kuu juzi wamegawana magari .....nadhani CHADEMA ni kuwaonea kufikiri kuwa wanao uwezo wa kununua magari mapya.....hivi vyama ni vichanga......HATA TANU ILIKUWA INAAZIMA MAGARI KWA KINA JOHN RUPIA na Kina DOSSA Aziz....na hata walipopata uwezo walilipa baadhi ya vitu walivyoweza kwa hawa mabwana........sasa kama mwanachama au kiongozi wa chama amejitolea ..magari kuna ubaya gani ..ni mambo ya ndani ya chama husika.....

CCM wamefanya ufisadi mkubwa sana kwenye EPA pesa zikaishia kwa Rostam kwa madai kuwa amejilipa....hamtaki tuongee hayo mnataka tuongee ya chama kichanga kununua magari mtumba??? CHADEMA Wataweza lini kumudu malori ya kampeni ya Scania kama yale ya TOT....bei ya moja ni 200 m.......or more...waacheni waendelee kununua magari makuu kuu hadi Watakapoweza ...jiulizeni Elimu inayosambazwa na hayo magari makuu kuu utailinganisha na magari ya CCM yasiyo na tija hadi wameamua kugawana ..!!....mnategemea ruzuku ndogo wanayopata wapinzani inaweza kununua magari mangapi mapya?? katika hali ya kawaida ni watanzania wangapi wanamudu kununua magari mapya kabisa show room?? zaidi ya serikali na wachache ..??..magari mtumba ndio ya watanzania wengi..
 
Ahueni Zitto amepuzika kidogo
 
Ndiyo maana huwa kuna conflict of interest. Kutetea u-thugs ndo kunaiumiza nchi hii. Huyu mwenyekiti alianza na biashara ya kukodi helkopita na anajilipa mamilioni, sasa amekuja na malori.

Kumbe wakifika ikulu kwanini hiyo biashara unafikiri itakoma?
 
- Fairplayer Nape is doing a great job, with in a month tayari the game has changed, sasa kuna balance ya pumba za pande zote mbili which is what is politics is all about, katibu mwenezi wa chama ndiye msemaji wa chama! ya elimu hayahusu maana tukianza kuulizia elimu za viongozi wetu wa pande mbili itakua aibuu, let the politics be politics! CCM taifa hawawezi kumchagua Nape kwa sababu ya baba yake bila kuwa na uwezo, ingekuwa kweli mtoto wa Warioba asingeshindwa U-mayor!

- I mean look all over sudden, JF ya Zitto sasa imekua Nape, and Nape and Nape, mti wenye matunda mazuri ndio hurushiwa mawe sana, Nape is doing a great job maana ndio kazi ya msemaji wa chama cha siasa, kama Bob alivyokuwa msemaji wa Saddam!

FMEs!

LOL! Chadema go back to waberoya's thread , all thread that you thought I am against you actually was with you! the game has changed.....

There is no rules in politics you get what you deserve,, whn you say m.k.w.e.r.e Nape say wachaga..you say fisadi he will say fisadi

the game continues...

Let me remind you, I said, kukosoa serikali, kutangaza sera, kuleta suluhisho ,mbadala ndiyo siasa

in tha past six months sijaona siasa kwenye chadema bali chaos na inajibiwa kwa sma chaos

wengine kazi imepungua...TARATIBU WOTE WATABADILIKA AND THEY WILL START TO TALK SENSE!

kwa maana nyingine ccm wakiongeza nguvu kidogo tu chadema inazikwa....didn't i say that?
 
Waberoya
Wewe vipi? wakwere sio kabila. Kabila ni pale unapotaja wachaga, hiyo ndo si unit unayotakiwa kutumia.
 
Niko page one tu naona watu walivopaniki.wakimsihi anyamaze.dah,yaonekana anawapa headache watu humu,sababu kama anajiharibia yanini kumsihi anyamaze ama wanaCDM Mmepata huruma tena kama mlivobadilika na kuanza kuwahurumia wale mapacha?
Ukweli huyu NAPE anahit target..mh,goja niende page 2

tunamtaka anyawaze bcoz anatutia kichefuchefu kwa maneno yake ya ukabila na ujinga mwingine..
 
Ni kweli Ufisadi wa Mbowe na Slaa ni Mkubwa zaidi wa EPA, DOWANS, Madini kwa CCM kuwafanya hao viongozi wa Chadema kuhamia CCM? Au ni Pesa?

“In matters of style, swim with the current; in matters of principle, stand like a rock

ada_250_167.jpg

ALIYEKUWA Katibu wa Chadema Kata ya Ulugu

Saturday, 14 May 2011
Gazeti la Uhuru

* Ufisadi wa Mbowe, Slaa waivuruga

* Makatibu, makada 172 wakihama
* Nape ajibu mapigo, Chadema wazushi
* Wachakachua takwimu kujisafisha
* Kada wao aanika ufisadi wa fedha za harambee ya maandamano mikoani

NA WAANDISHI WETU

HALI ya hewa imezidi kuchafuka ndani ya Chadema kufuatia kuibuliwa kwa ufisadi wa kutisha dhidi ya viongozi hao wa ngazi ya juu. Watumishi wa ngazi ya chini na makada wa Chadema wameanza kuhoji juu ya Katibu Mkuu Dk. Slaa na Mwenyekiti Taifa, Freeman Mbowe, wanavyotafuna mamilioni za shilingi ya chama hicho.

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku mbili tu tangu Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, kuanika siri nzito za ufisadi wa fedha za ruzuku kutoka serikali unaofanywa na vigogo wa Chadema. Kutokana na kukerwa na ufisadi huo, makatibu wawili na wanachama 172 wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM mkoani hapa.

Mbali na kuihama Chadema inayodaiwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo kupeana madaraka kwa ukanda, pia wamefichua siri nzito juu ya viongozi hao kuwachangisha fedha wananchi wakati wa maandamano. Makatibu waliotangaza kukihama na kujiunga na CCM ni Leonard Peter (Kata ya Urugu), ambaye amekimbia na wanachama 150 na Joseph Peter (Kata ya Kyengege), ambaye amejiunga na CCM akiwa na wanachama 22.

Makada hao ambao ni nguzo kubwa ya chama hicho, walitangaza kujiunga na CCM juzi kwenye mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Makunda, Jimbo la Iramba Magharibi, Singida. Wanachama hao wapya walikabidhiwa kadi na Naibu Katibu Mkuu (Bara), John Chiligati kwa pamoja na Nape.

Mapema juzi, wanachama wengine 150 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chadema Kata ya Msisi, Athumani Rajabu, walitangaza kukihama na kujiunga na CCM katika mkutano uliofanyika Stendi ya zamani mjini Singida.

Akizungumza kwenye mkutano huo, Nape alimwaga hadharani ufisadi unaofanywa na Mbowe na Dk. Slaa, akidai wamekuwa wakitafuna mamilioni ya fedha ambazo wanashinikiza kulipwa na Chadema kwa njia mbalimbali.

Nape aliwaeleza wananchi kuwa Dk. Slaa ameshinikiza kulipwa mshahara wa sh. milioni 7.14 kwa mwezi, kikiwa ni kiasi kikubwa kuliko mbunge, ambapo pia amekuwa akilipwa posho mbalimbali. Pia, Mbowe anadaiwa kushinikiza na kufanikiwa kuiuzia Chadema malori matatu aina ya Fuso kwa sh. milioni 480, licha ya kuwa chakavu.

Kwa upande wake, Peter akizungumza na wananchi alisema, ameshtushwa na ufisadi wa viongozi wa Chadema na kuamua kukimbia.

Alisema awali alidhani viongozi hao ni watu safi, na kwamba wakati wa uchaguzi mkuu Chadema ilishindwa kutoa fedha hivyo kuamua kujitolea mali zake ili kukiwezesha kishinde udiwani, ambapo kilifanikiwa kupata.

Alisema alikuwa na imani na Dk. Slaa na Mbowe, ambapo aliuza ng'ombe wake 17 na mtaji wa biashara zake unaofikia sh. milioni nne ili kuisadia Chadema kufanya vizuri, lakini hakuna zuri alilolipwa na sasa amefisilisika.

“Niliwaomba fedha za kampeni, lakini wakaniambia nikope kwa wafanyabiashara wenzangu. Baada ya uchaguzi na diwani kushinda, nimekumbusha ahadi wakakataa kulipa kwa madai hawana fedha, lakini kila kukicha wanakula fedha na kufanya maandamano,” alisema Kingu.

Kingu alifichua kuwa alichobaini ndani ya Chadema ni kuwa hakuna siasa za kweli, bali ni mradi wa viongozi wachache, akiwemo Dk. Slaa na Mbowe na ndiyo, maana wanapenda maandamano ili kupata fedha za harambee.

“Kuna harambee nyingi tunashiriki kwa siri kuchangia maandamano, fedha nyingi zinapatikana, lakini ndiyo hivyo zinakwenda kwa wajanja wachache. Watu wamechoka kuchangishwa,” alipasua Kingu, huku akishangiliwa.

Wachakachua takwimu kujisafisha

Kutokana na kutotarajia kuibuliwa kwa ufisadi juu ya mshahara wa Dk. Slaa na ununuzi wa malori chakavu, uongozi wa Chadema umedaiwa kuchakachua takwimu zake ili kuzuia hasira za wanachama wake.

Habari kutoka ndani ya Chadema zimedai kuwa, takwimu za kile kilichodaiwa kumjibu Nape baada ya kuwalipua Dk. Slaa na Mbowe, ziliztolewa na Mkurugenzi wa Utawala na Fedha, Anthony Komu, zimechakachuliwa. Komu anadaiwa kuwa mshirika mkubwa wa vigogo hao na kwamba, amepewa nafasi hiyo ili kulinda maslahi ya wakubwa na kupitisha mambo mbalimbali hata kama wanachama wengine hawaafiki.

Taarifa zimesema kuwa baada ya vigogo hao kulipuliwa, tafrani kubwa ilizuka ndani ya Chadema, huku wakijaribu kumsaka mtu aliyevujisha siri hiyo nzito. Hata hivyo, wakati wakimsaka mtu huyo ‘aliyewavua nguo’, baadhi ya viongozi wake walijaribu kuchakachua takwimu hizo na kuzitoa kwa baadhi ya vyombo vya habari ili kuwarubuni wananchi.

“Hapa watu hawakulala hata kidogo, wanamsaka aliyevujisha siri kwa Nape, lakini walichojaribu kufanya ni kuchakachua takwimu hizo zilizotolewa, kwani si sahihi kabisa,” kilisema chanzo chetu.

Nape ajibu mapigo, Chadema wazushi
; Mwigulu aponda maandamano Chadema
Katibu wa NEC ya CCM, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba, ameponda maandamano ya Chadema yanayofanywa mikoa mbalimbali nchini. Amesema maandamano hayo yamekuwa sehemu ya kuchangia maisha magumu kwa Watanzania, kwa kuacha kufanya shughuli za uzalishaji mali.

Nchemba aliwaasa wananchi kutokubali kurubuniwa na kukubali kuandamana, kwani wanaonufaika ni viongozi wachache wa Chadema kwa kupata fedha za harambee.

“Wananchi wanaacha kazi wanakwenda kuandamana, wakati wenzao wana njia za kupata fedha kwa kukinyonya chama chao. Wasikubali kurubuniwa wafanye kazi kuboresha vipato.

“Kuna siku Mbowe au Slaa waliwahi kuwagawia watu fedha baada ya kuandamana, mbona wao wanagawana posho kubwa kujipongeza?” alihoji Nchemba.

Alisema, kimsingi, CCM imefanya mengi ya maendeleo, lakini Chadema na baadhi ya vyama vya siasa wamekuwa wakiyabeza hata pale maendeleo yapoonekana wazi wazi.

Nchemba aliwataka Mbowe na Slaa kuitambua miradi ya maendeleo kwa kupapasa kwa mikono kama hawawezi kuiona kwa macho.
 
Duh! magazeti mengine eti kahama na wanachama 100 kesho mimi nikitangaza kuhama na wanachama 9,000 mtakataa halafu mbona wawili tu walikuwa wanapeana chumbani nini.

ada_250_167.jpg
 
Duh! magazeti mengine eti kahama na wanachama 100 kesho mimi nikitangaza kuhama na wanachama 9,000 mtakataa halafu mbona wawili tu walikuwa wanapeana chumbani nini.

ada_250_167.jpg

Ni Gazeti la Chama Cha Mapinduzi Uhuru; Waandishi wake wamesoma TSJ na umaridadi wa Uongo
 
Mpaka tufike 2015 hata mtu akiharisha wataandika,haya hebu kazeni buti na ujinga wenu.
 
Jamani wanajf mtakubali kufumbwa macho na masikio na ubongo kwa kusoma na kuamini uchafu huu. Mali za wananchi zinaibwa na serikali ya majambazi. kodi za wananchi zinaliwa na tunakubali ulaghai wa kuvua magamba kwa kutubadilishia sura za mafisadi!!

Ni hatari.

HATUTAKUBALI KUCHAKACHULIWA AKILI KIRAHISI HIVI.

HIVI ukikamatwa wizi utadai mbona na fulani anaiba. RUDISHENI FEDHA za watanzania. FEDHA ZA EPA, KAGODA, RICHMOND, RADA ni kodi za watz. msituchezee akili rudisheni nyie majambazi.

CDM wanaambatana kuwaelimisha watanzania kuwa hizo ni kodi zao.

Mngevua magamba kama mngeturudisha pesa zetu. hatutaki ulaghai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

TUMECHOKA
 
nimeambiwa elimu ya nape ni kidato cha nne.sasa hakuna haja ya kujibizani na huyu tambwe hiza wa ccm
 
uzushi huo...CDM hamtafisha hata kwa hizo mbinu zetu.....Mbowe na Slaa ni viongozi wazalendo na si mafisadi.....Nape anawatumia watu ambao uelewa wao ni mdogo na kuwashawishi...njaa tu na wote hawatanunuliwa kwani all we want is a lasting solution na si solution na muda mfupi kama kupewa fedha...that is so cheap and embarassing
 
Ni Gazeti la Chama Cha Mapinduzi Uhuru; Waandishi wake wamesoma TSJ na umaridadi wa Uongo
Kweli chama chetu kimefulia zamani tulikuwa tunapamba gazeti letu kwa picha na kuonyesha mandhari na umati wa watu siku hizi hata picha tunapiga kimtindomtindo tumechuchumaa wasijue wangapi walishuhudia kweli siku hazilingani, na wewe mleta habari huoni unazidi kuwaaibisha wenzako.
ada_250_167.jpg
 
Kumbe Chadema mikoani imejiwekeza sana? Hili gazeti la CCM linazidi kukipa umaarufu Chadema! Yaelekea CDM ni tishio sana
 
Back
Top Bottom