MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,086
- 15,021
I think conflict of interest matters more when someone tries to use his position to get some advantage, but if it's a win win situation, I see nothing wrong.Hakuna conflict of interest hapo kweli?Aliyepanga bei ya hayo malori chakavu ya Mbowe kwa Chadema ni nani?
- I know kama Mwenyekiti kukiuzia chama chake cha siasa vipaza sauti vilivtoyumika kwa Shillingi Millioni 222, kwa kweli Nape yuko very illogical ku-raise hizi ishus!
FMEs!
ali disco
Je ni mabovu?Bei yake ilikuwa ni fair?Utaratibu ulifuatwa?Je ni kinyume cha taratibu za chama?Je kulikuwepo na alternative lakini wakalazimishia Malori ya mwenyekiti?Hizo ndo data ninazozisubiria.Inawezekana mwenyekiti wa cdm na uongozi kwa ujumla umefanya kosa.Siwezi kujudge hadi hapo mtakapoweka more facts.EPA,RICHMOND nk, facts ziliwekwa hapa.I would expect the same in this matter.
upuuzi wako usimuweke humo marehemu chacha wangwe wewe unataka amuuzie nani? au unataka ayatoe bure? tuambie wewe umewahi kuchangia nini kwenye cdm sio kuropoka tu na kunukuu watu uongo haya magari yamekuja yakiwa mapya yametumika kwenye shughuli za chama mpaka hapo yalipo sasa wewe unataka yaende wapi? haya majungu peleka kwenye chama chenu cha magamba.Wakuu heshima mbele:-
- Ni takribani mwezi mmoja tu sasa toka Nape ashike nafasi ya mzungumzaji wa CCM, na kuanza kucheza ngoma ya siku nyingi sana ya DR.Slaa, ya mashambulizi bila ushahidi lakini CCM walipouliza akawaambia waende kwenye sheria atautoa huko, ghafla Wa-Tanzania tunajionea maajabu ya Musa, je ina maana Zitto na Marehemu Wangwe walikuwa wananyamazishwa wasiseme ukweli unaojitokeza sasa mchana kweupee?
- I mean Mwenyekiti kukiuzia chama cha siasa anachokiongoza, malori machakavu it is a serious political charge, can you imagine Obama leo awauzie Democrast malori machakavu, au DR. Kikwete awauzie CCM malori yake machakavu, hivi hili taifa tumelogwa na nani hasa?
FMEs! - Ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
FMES,since wengine hatuna vyama humu,basi ni vyema ukatuwekea data hapa ili tuweze kujadili accordingly.Siwezi kukubaliana na upande wowote bila facts kwasababu siongozwi na hisia zinazotokana na ushabiki,mapenzi ama uwanachama wa chama cha kisiasa pale inapokuja kwenye issue kama hizi.
I think conflict of interest matters more when someone tries to use his position to get some advantage, but if it's a win win situation, I see nothing wrong.
Sijui nani anapanga bei lakini bei za vitu zinafahamika kwa sababu naamini aliviingiza kihalali so ni rahisi ku-calculate the appropriate price. Once again, kama kuna mtu ana info nyingine aje tujadili.
upuuzi wako usimuweke humo marehemu chacha wangwe wewe unataka amuuzie nani? au unataka ayatoe bure? tuambie wewe umewahi kuchangia nini kwenye cdm sio kuropoka tu na kunukuu watu uongo haya magari yamekuja yakiwa mapya yametumika kwenye shughuli za chama mpaka hapo yalipo sasa wewe unataka yaende wapi? haya majungu peleka kwenye chama chenu cha magamba.
Kuna mwanaJF alisema inawezekana leo mtu ameingilia username yako au umemwachia mtoto atumie account yako sasa naanza kuamini maana si yule FMEs tunayemjua kwa kuwa topic unazozileta leo hazina tofauti na kina MS, nevertheless hapo mwanzo ulisema ya Nape na CCM hayatuhusu kwanza taifa nafikiri hata ya malori hayakuhusu au haya malori mawili kwako ndiyo maana ya taifa kwanza, ninawasiwasi unaana kupoteza direction.Wakuu heshima mbele:-
- Ni takribani mwezi mmoja tu sasa toka Nape ashike nafasi ya mzungumzaji wa CCM, na kuanza kucheza ngoma ya siku nyingi sana ya DR.Slaa, ya mashambulizi bila ushahidi lakini CCM walipouliza akawaambia waende kwenye sheria atautoa huko, ghafla Wa-Tanzania tunajionea maajabu ya Musa, je ina maana Zitto na Marehemu Wangwe walikuwa wananyamazishwa wasiseme ukweli unaojitokeza sasa mchana kweupee?
- I mean Mwenyekiti kukiuzia chama cha siasa anachokiongoza, malori machakavu it is a serious political charge, can you imagine Obama leo awauzie Democrast malori machakavu, au DR. Kikwete awauzie CCM malori yake machakavu, hivi hili taifa tumelogwa na nani hasa?
FMEs! - Ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
unasema kweli lakini?kwahiyo Mbowe elimu yake ni ipi hasa?
Mkuu jmushi, FMES alikuwa anajulikana hapa JF kama mzee wa dataz, jamaa alikuwa na access ya information nyingi sana hasa kutoka ndani ya CCM kabla ya mwanzo mwa mwaka 2010, tatizo ni kuwa alikuwa na nia ya kugombea na kuamua kujianika na watu waka-connect dots kama ilivyofanyika kwa tarishi wa OBL na mwisho wa siku wakagundua kuwa yupo Abbottabad. Tokea hapo amekuwa hana kitu cha maana tena zaidi ya kutetea watu wake wa karibu wanapokuwa attacked. Kwa kuanzisha thread kama hii ni wazi kuwa he's nothing kwa upande wa dataz za" wazee wa sauti za umeme" na usitarajie kitu chochote chenye maana kwa upande wa dataz ni Blah blah blah. Sikuwahi kuwaza kuwaza hata siku moja kuwa FMES anaweza anzisha thread iliyo hewani na ya ki-malaria sugu namna hii.
Nafikiri tunahitaji kuongelea mambo yenye manufaa kwa Taifa badala ya hizi blah blah blah za Ki-Tambwe Hiza. Kawaida unatuhumu mtu, anakupatia facts then unaangalia kama ni za kweli unakubaliana nazo kama hukubaliani nazo peleka mahakamani. Wahasibu kuna kitu wanaita support document kama hizi zipo, basi tungelee hali ngumu ya maisha, uchumi mmbovu, wizi wa mali za umma unaofanywa na waliokabidhiwa kuzitunza, CCM (waliomadarakani).
Parliament of Tanzania <--- gonga hapo
Hajaweka kitu, nafikiri alipomaliza form four baba mkwe wake Edwin Mtei alipokuwa gavana wa bot alimwezesha kufanya kazi bot.
Na baada ya Mkwe kuanzisha CHADEMA alimwachia pia kuwa mwenyekiti.Hata hivyo alijaribu kusoma uk aka disco.
Angalia link ya bunge hapo juu kuna cv yake ya kimaajabu majabu
ali disco
Kuna mwanaJF alisema inawezekana leo mtu ameingilia username yako au umemwachia mtoto atumie account yako sasa naanza kuamini maana si yule FMEs tunayemjua kwa kuwa topic unazozileta leo hazina tofauti na kina MS, nevertheless hapo mwanzo ulisema ya Nape na CCM hayatuhusu kwanza taifa nafikiri hata ya malori hayakuhusu au haya malori mawili kwako ndiyo maana ya taifa kwanza, ninawasiwasi unaana kupoteza direction.
FMES i respect you and i am expecting the same from you.Tfadhali usiniite chadema na kudai eti "Mnayofanya huko chadema"It is crap!Sina chama.Kama wewe unapriveledge ya kuwa ccm,basi si kila mtu mwenye hiyo priveledge.Issue ya conflict of interest nimeigusia mimi.Simtetei mtu wala chama.Niliomba facts.- Baba vipi Conflict of interest au Chadema haiwagusi inamgusa Mwakyembe tu na Umeme, unakumbuka ile ishu, kamati za Chadema zilizoamua kununua hayo malori ziko chini ya Uenyekiti wa nani baba? Yaani bado tu mnajaribu kutuuzia mbuzi kwenye gunia kama mnavyofanya huko Chadema? Data zipi tena unazotaka hebu ongea conflict of interest nini maana yake na hii ishu halafu ndio tutaongelea ufisadi wake!
- Wa-Tanzania sio mabwege tena, tumeukataa ufisadi wa CCM na pia wa Chadema hatuutaki, wote ni ufisadi period ingawa unazidiana kwa kiasi tu, lakini nia ni ile ile wizi wa kodi za wananchi wanyonge kwa kutumia kalamu, power, influence na urafiki in the high places!
FMEs!