Nape achezea udongo kwenye mazishi ya Membe

Nape achezea udongo kwenye mazishi ya Membe

Aliyefariki ni Ben Membe, hizi threads mnazozijaza hapa JF sio uungwana. Ben Membe alikuwa mtu mwema, ameacha famili na marafiki. Hizi dhihaka kuhusu msiba wake sio za kuziendekeza.

BTW, kufurahia kifo cha Magufuli pia haikuwa sawa kwa mtu yeyote. Kila mtu atakufa eventually.

Leo unaweza kuwa unaandika ujinga hapa alafu kesho msiba utahamia nyumbani kwako. Tujifunze utu na uungwana.
[emoji106]
 
Usichokijua ni kwamba wema haulingani na uovu! Wamekufa viongozi wengi sana ulishawahi sikia au kuona watu wakishangilia? Kwann yeye? Wazazi wa
Anzory
Ben sanane
Mawazo
Na wale waliokotwa kwenye viroba ilikuwa lazima washangilie maana muovu aliondoka! Sasa unajifariji kwa kifo cha membe? Membe alikuwa nani hapa nchini? Alimuua nani? Alimteka nani? Alipora pesa zq nani? Alibambikiza kesi kina nani?
Ujinga wa kihalaiki unawasumbua nyie
Kwani wazuri wanakufa? Wazuri hawafi Bana
 
Yaani Afe Membe halafu iwe Mungu kamjibu Nape?🤣🤣🤣 Na hawa wengine wanaokufa kila siku Mungu humjibu Nani? Ni Mungu yupi huyo anayejibu Kwa vifo?

Na kifo cha bwana Yule Mungu alikuwa anamjibu Nani🤣🤣🤣? Wafuasi wa bwana Yule mnachekesha sana
 
Mimi naandika tu. Wewe unatisha watu ndo una kazi . Mm sijawahi kuitwa mnyonge nikaitika nyie mlioitwa wqnyonge ndo mnalaani hata kazi za mungu kwa viumbe wake?

Ujinga wa kihalaiki unakusumbua sana wewe na kundi lenu. Wazazi wako wanakunywa mqji ya tope kwa umasikini uliotopea huko vijijini unamlilia bilinear? Wewe ulienda shule kweli? Ukiishia kidato cha ngapi? Ulifaulu au uliiba mitihqni ili ushinde? Huyo JPM alikusaidia nn cha mno na kukutoa hatua moja kwenda nyingine kimaisha?
Haikuhusu we kama uko wazuri hawafi shida yako nini sasa Acha somjo hizo propaganda za zamani za kibeberu
 
Mimi naandika tu. Wewe unatisha watu ndo una kazi . Mm sijawahi kuitwa mnyonge nikaitika nyie mlioitwa wqnyonge ndo mnalaani hata kazi za mungu kwa viumbe wake?

Ujinga wa kihalaiki unakusumbua sana wewe na kundi lenu. Wazazi wako wanakunywa mqji ya tope kwa umasikini uliotopea huko vijijini unamlilia bilinear? Wewe ulienda shule kweli? Ukiishia kidato cha ngapi? Ulifaulu au uliiba mitihqni ili ushinde? Huyo JPM alikusaidia nn cha mno na kukutoa hatua moja kwenda nyingine kimaisha?
Umenena ukweli sana, wameacha kulilia ndugu zao na jamaa zao waliowapigania wakiwa wakijinyea na kujikojolea, wakawalea mpaka wakajuwa mbivu na mbichi kwa upumbavu wanamlilia mtu ambae pengine hajawai hata kununulia shati wazazi wao .Huu ni ujinga wa kiwango cha juu sana.
 
Sasa wewe nitakujibu nn hata jina unajiita la mtu. Umejawa na mahaba yaliyochanganyika na ukabila, udini, ukanda na ujinga wa kihalaiki? Mkuu unashangilia kifo cha membe? Membe alikuwa nani kwenye hii nchi mzee? Huyu si alikuwa wazir mstaafu tu? Alishawahi kumkosea nani? Sasa. Kafiwa nape au familia ya membe?
Elimu, elimu, elimu
Sasa inatofauti gani na mwanamke kushangilia bwana wake akipigwa na vibaka tu kwa sababu huwa anampiga na yete?
Nchi imepatwa na nn hii????
Wewe naye akili zako unazijua mwenyewe kwahiyo wee huoni tatizo hili lilianzia wapi ?
 
Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.

Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.

Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.

Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.

Kweli Mungu fundi.

View attachment 2624587
Mliohuzunishwa na kufa cha yule mwehu katili ni sukuma gang tu
 
Wewe naye akili zako unazijua mwenyewe kwahiyo wee huoni tatizo hili lilianzia wapi ?
Kwa hiyo jirani yako akikukosea akipatwa na tatizo wewe unashangilia kwa sababu alikukosea? Your too low brother. Kama kina nyerere wangeeneza chuki kama alivyoeneza magufuli nchi hii watu wangeshauana kitambo wala yeye asingekuwa raisi
 
Kwani JPM hakuwa binadamu?
Mungu kumchukua ilikuwa makosa kwahiyo?
Bwana ametoa na bwana ametwaa haijaeleweka?
Ujinga wa kihalaiki utawaisha lini nyie watu? Unalingqnishaje kifo cha membe na magufuli?
Kwamba kila aliyechukiwa na magufuli baasi ni mbaya kwa wote hii ni aina nyingine ya ujinga mpya mjini
Mwambie nape amuone zitto ampe ushauri wa nini cha kufanya
 
Usichokijua ni kwamba wema haulingani na uovu! Wamekufa viongozi wengi sana ulishawahi sikia au kuona watu wakishangilia? Kwann yeye? Wazazi wa
Anzory
Ben sanane
Mawazo
Na wale waliokotwa kwenye viroba ilikuwa lazima washangilie maana muovu aliondoka! Sasa unajifariji kwa kifo cha membe? Membe alikuwa nani hapa nchini? Alimuua nani? Alimteka nani? Alipora pesa zq nani? Alibambikiza kesi kina nani?
Ujinga wa kihalaiki unawasumbua nyie
Vipi Mwangosi?

Vipi dr mvungi?
Vipi dr ulimboka?

Vipi wale waliouawa na bomu kwenye mkutano wa machadema?

Wema hawafi
Bahari imetulia
Mungu ameamua ugomvi
Kazikwe pembeni yake
 
Aliyefariki ni Ben Membe, hizi threads mnazozijaza hapa JF sio uungwana. Ben Membe alikuwa mtu mwema, ameacha famili na marafiki. Hizi dhihaka kuhusu msiba wake sio za kuziendekeza.

BTW, kufurahia kifo cha Magufuli pia haikuwa sawa kwa mtu yeyote. Kila mtu atakufa eventually.

Leo unaweza kuwa unaandika ujinga hapa alafu kesho msiba utahamia nyumbani kwako. Tujifunze utu na uungwana.
Asingekufa angekuwa mwema kaka
Fukieni haraka
 
Kwani wazuri wanakufa? Wazuri hawafi Bana
Sasa aliyekwambia membe alikuwa mzuri ni nani? Unasumbuliwa na sonon tu huna lolote ujualo wewe. Wamekufa mitume na maisha Ynaendelea wewe unasononeka na kufiwa na wachunga NG'ombe.
Badala ya Magufuli ulitaka mungu amchukue nani ili uone ingekuwa sawa?
 
Kwani JPM hakuwa binadamu?
Mungu kumchukua ilikuwa makosa kwahiyo?
Bwana ametoa na bwana ametwaa haijaeleweka?
Ujinga wa kihalaiki utawaisha lini nyie watu? Unalingqnishaje kifo cha membe na magufuli?
Kwamba kila aliyechukiwa na magufuli baasi ni mbaya kwa wote hii ni aina nyingine ya ujinga mpya mjini
#WatuWazuriwamefiwa#
 
Back
Top Bottom