Oscar M Lungu
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 479
- 743
Baada ya kusoma simulizi yako kiukweli imenigusa sana. Kwa kifupi wewe umefall in love na mtu asiyejulikana na kama ujuavyo kwa sasa watu wasiojulikana wanatupa shida sana sisi raia wema(wewe mwenye mapenzi ya dhati) hivyo nakushauri uvunje mkataba na huyo mtu asiefahamika(new boyfriend) na uangalie jinsi ya kurekebisha mikataba yako na huyo ambae unahisi haumpendi (in Acacia voice) ili uweze kuangalia unawezaje kumfanya kuwa wa faida kwa kutunza na kuheshimu mapenzi yake ili ufaidi maisha ya mahusiano! Kumbuka kupendwa ni raha sana kuliko kupenda.... One more thing ** wewe ni gradient sana(in coordinate geometry voice)**
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app