Napata shaka kama ana mapenzi ya dhati kwangu

Napata shaka kama ana mapenzi ya dhati kwangu

Habarini wana MMU,

Naombeni mnipe ushauri kwa hii changamoto ninayoipitia sasa!

Mimi ni binti niliyekuwa kwenye uhusiano kwa muda wa miaka mitatu lakini huyo boyfriend wangu sikuwahi hisia nae sana ila niliingia kwenye mahusiano naye ili tu kujipooza nafsi mara baada ya kuachana na boy mwingne!

Ninekua kwake muaminifu siku zote na haijawahi tokea tugombane, labda kwa mambo madogo madogo tuu!
(Kumbuka moyo wangu haujamkubali sema nashindwa kutoka)

To cut the story Short, nilikutana na kijana fulani kwenye dala dala! Honestly, Moyo wangu ukaangukia hapo! Yule kijana akanipa contacts zake ukawa mwanzo wa kuwasiliana nae!

Huyu kijana (mpya) amekuwa na kawaida ya kunitafuta usiku tuu, yaani nashindwa kuelewa shida nini but may be he is kinda busy so I can't complain!

So, last week aliniita niende home kwake! Nikaenda na nikalala hapo! Lakini kinachoniumiza ni kuwa hakuwa na time na mm kabisa! Nimefika tu akataka game nivompa ht dkk10 hazijafika akaaga anaenda kuprint document akaja kurudi saa6 usiku hapo kumbuka mm ni mgeni na sikula kitu chochote toka nafika!

Pia hana story na mm kabisa, yaani yupo busy busy na anachokifanya ht hakieleweki!

Wana MMU, naombeni mnishauri ni kweli ananipenda huyu mtu? Maana naumia sana si mnajua mtu ukipenda tena!
Dooh!!

Hapa nipo kwenye dillema, nibaki na huyu boyfriend wangu au nimgande huyu kipenzi changu kipya

NB: Kejeli na matusi hayatosaidia, hili ni janga na kila mtu humpata!
Kwahiyo una date nao wote? Mwee mtenda hutendwa, huyo ambaye humpendi ye anakupenda na ambaye unampenda hakupendi dada kesha pata alichokitaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ungemuuliza huyo uliyekaa naye kwenye mahusiano kwa miaka 3 ndiyo atakuwa na majibu mazuri juu ya huyu wa kwenye daladala.
 
Ulitakiwa uombe ushaur kabla hujaliwa...saiz hata tukikwambia ukweli tutakua tunatwanga maji kwenye kinu

rap beast
 
As long as sijamfanyia chochote kibaya I can go back to him! Unadhani nafurahia kutokuwa na hisia nae?
Umefanya mgumu moyo wako kujiachia kwa ulie nae..kupenda ni tabia na ulishindwa kujizuia kwa huyo uliekutana nae ungekaa hata wiki ili ujue ni kweli ulimpenda au ni bas tuu mvuto ulikufanya uvutiwe nae,hapo ungekua na jibu sahihi...

rap beast
 
Kwa sababu unataka upende na pia upendwe basi baki nao wote then hata kama Hamna feedback loop komaa ivoivo
 
Mdogo wangu hasa kwa nyie wanawake, sehemu unayopendwa ndiyo salama sana. Mwanaume akikupenda mheshimu, mtiii na utulie.
Utaruka ruka mwishowe uje useme wanaume wabaya sana.
Huyo boyfriend wako unayetaka kumuacha na uende kwa huyo mpya nafikiri umejionea. Huyo ni cha mtoto, utakutana na wenye roho mbaya watakujaza mimba na kukuacha na utaanza kuwalaumu wanaume.
Huo ni mfano tu mdogo wangu, sasa subiri ukutane na wanaume vichaaa.
Pole sana
 
ulifanya kosa sana kuingia kwenye mahusiano na mtu usie na hisia nae.
pole sana but this is probably karma.
 
Back
Top Bottom