Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,814
- 44,611
basi muache sababu nayeye anaumia sema we hujui tuAs long as sijamfanyia chochote kibaya I can go back to him! Unadhani nafurahia kutokuwa na hisia nae?
Nakuona mkuu sawa mimi nipo namshaul huyu dada anayegawa gawa papuch bila mpangoNanyupu katika ubora wake..subili nitarudi baadae kuchangia
Sizani kama upo sahihi kusema hivi
Harafu anajiona kuwa katulia, hawa ndo wanasababisha mapenzi yapoteze maanaNakuona mkuu sawa mimi nipo namshaul huyu dada anayegawa gawa papuch bila mpango
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu huyu mgawa papuch kaniudh sanaSizani kama upo sahihi kusema hivi
Mbona Leo umeshindwa kabisa kuficha ujinga wako?
Lakn hukutakiwa kuongea ivyo maana kuna watu wanaweza kuanza kukudharau sababu ya mtu mwingne asiye na maana
Huya dada ni bure kabisa mkuu ndo maana mimi nimetulizana na mbiti wanguHarafu anajiona kuwa katulia, hawa ndo wanasababisha mapenzi yapoteze maana
Kweli mkuu natengua kaulLakn hukutakiwa kuongea ivyo maana kuna watu wanaweza kuanza kukudharau sababu ya mtu mwingne asiye na maana
We kijana una hamu ya kutekwa na watu wasiojulikana? Mbiti ni wako tangu lini?Huya dada ni bure kabisa mkuu ndo maana mimi nimetulizana na mbiti wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kupunguza hasira au hujapita JKT mkuu mm Jana nimeitwa manzi mbona nimekausha tu kibingwa alfu safi tu maisha yanainda
Kweli askar balikiwa sana kiongoz wanguJifunze kupunguza hasira au hujapita JKT mkuu mm Jana nimeitwa manzi mbona nimekausha tu kibingwa alfu safi tu maisha yanainda
Hahahaaa nitatekwa na watu wasiojulikana naona una utan mkuuWe kijana una hamu ya kutekwa na watu wasiojulikana? Mbiti ni wako tangu lini?
Usisahau kunipa card ya mwaliko maana mbiti ni dada yanguHahahaaa nitatekwa na watu wasiojulikana naona una utan mkuu
Mbiti ndo baby wangu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka unipende sana kaka mimi kama unavyompenda sana kaka jose!![emoji28][emoji28][emoji28].......kaka mimi nina wivu ujue!!Yeah ndio inavyokuaga kaka Jose ujue
Sawa sawa utapata mkuu wala usijarUsisahau kunipa card ya mwaliko maana mbiti ni dada yangu
Nenda jukwaa la jf chit chat kule ndo kuna uz ambao nilipiga mistarUsisahau kunipa card ya mwaliko maana mbiti ni dada yangu