Napata shaka kama ana mapenzi ya dhati kwangu

Napata shaka kama ana mapenzi ya dhati kwangu

Wewe hao wanaume wa kwenye daladala, huna adabu unamwita my sweet demu?? Demu wewe hapo umebakia makinikia dhahabu yote wameisha beba..!

Kiufupi wewe ni jibu tena la takoni, huwez kuwa mjinga hivyo..! Nakuombea wakutie mimba afu wakutimue km mbwa..!

Ha ha ha ha daah dada wa watu nimemuonea mpaka huruma, mmemshambulia kama swala aliyekatiza kwenye himaya ya fisi.
 
tulizana kwa boy wako huyo wa zamani huyo mpya hakufai alikuwa anataka papuchi tuu umeshamzawadia mara moja inatosha tulia na huyo usiyempenda one day upendo utakuja tuuu
 
Back
Top Bottom