Napata shaka kama ana mapenzi ya dhati kwangu

Napata shaka kama ana mapenzi ya dhati kwangu

Utagegendwa hadi akili ikujie,kama unajifanya wewe ni mtulivu y uingie kwa mahusiano na usie na hisia kama sio uongo.kupenda ni kazi ya moyo wa mwanaume ila kama unatak kupenda anza kutongoza hao unaowataka
 
eti kufall ndio kosa eti tulaumu moyo,hahaha sa ushauri unataka ni upi!
 
achana nao wote, kaa mwaka mzima ukiwa single utulize akili then utaanza upya...
we mwenyewe hueleweki, ushamsaliti boyfriend wako, umekuwa so cheap mpaka sio vizuri, na ndio maana dogo yuko busy na mambo yake wala haoneshi kuwa na time na wewe...,

you need a time to restore your value
 
Napata shaka pia unawezaje mpa game mtu mmepatana tu kwa matatu few days unamwanini na kumkatia tunda...?

post using my macbook air using jamiiforums app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata me amenishangaza yan amekimbilia bustanini mapema kweli cijui kwann

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka kutukana Ila matusi uliyo pewa yanatosha
Turudi kwenye ushauri sasa...
Kwanza nadhani unajua nini maana ya "karma"
Kwakuwa ume mpotezea kaka wa watu 3 years without true love ni bora umwache naye aje kupata mtu anaye mpenda kuliko kuendelea kupoteza muda na wewe!
Pili kama ume weza ku fall in love ndani ya dk chache na mtu mpya tena kibaya ndani ya daladala....hizo ni dalili kuwa huyo ndo shetani aliye kuandikia cha msingi komaa naye mvumilie maana ni kazi ngumu sana kuamini kwa watu wengi kuamini love in a first sight ....
Hiyo ni janga lako cha msingi "pambana na hali yako"
Kijana wa watu mwache apete mtu anaye mpenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni chawote..! Kahaba mkubwa wewe kila mtu unatoa papuchi, hapa tu wamefika wa3, hivi hayo mashimo hamuyahurumii wapuuuzi nyie.
Jaman kutafuta MTU Wa kuishi naye miaka yako yoote siyo mchezo reality.....au kwakuwa mwanamke? Sijaona kosa lake
 
hongera kwa kufall in love kwa speed kama bombadier kwa sauti ya Lissu (Mungu Amponye Mapema)

Wahenga wanasema saa nyingine kitu unachotafuta siku zote kinaweza kuwa karibu yako zaidi ya unavodhani.

Huyo mwanaume wako ambaye umempotezea 3 good years akijua unampenda kumbe unawaza kudondosha moyo wako kwa kijana wa daladala siku mkiachana official akapata mwanamke mwingine mwenye mapenzi ya dhati ndo utamtamani zaidi.

Usichukulie moyo wa mwanadamu for granted aisee tena miaka mitatu saa nyingine ashakutambulisha hadi kwao.. bora toka mwanzo ungemwambia tu tuchezeane muda ukifika tuachane kuliko kumpotezea miaka 3.

Ukiachana na huyo trust me utapitwa na wanaume kama 20 kwanza ndo upate mwanaume hapo utakua na miaka 40 hata umri wa kuzaa utakua unakaribia kuisha

hapo one nightstand zitakua kama 5 hivi au zaidi ambao watapiga mara 2 au zaidi kama wa 4.. ambao utatoa miba zao kama 6 hivi.

thats the power of Karma

Regards
Mtetea haki za wanaoumizwa na mapenzi
 
ulifanya kosa sana kuingia kwenye mahusiano na mtu usie na hisia nae.
pole sana but this is probably karma.
inatokea sanyingine kuwa hivyo,maana ukiachana na mtu wako unahisi upwekwe,mtu akatokea akakujali unapata ahueni,na hapo wals huoni kama humpendi,baadae ndo inakuhit kua hauna hisia kwake bali tuu kujali kwake ukajikuta mko kwenye mahusiano (rebounds)
 
inatokea sanyingine kuwa hivyo,maana ukiachana na mtu wako unahisi upwekwe,mtu akatokea akakujali unapata ahueni,na hapo wals huoni kama humpendi,baadae ndo inakuhit kua hauna hisia kwake bali tuu kujali kwake ukajikuta mko kwenye mahusiano (rebounds)
speaking from experience huh?

nakubaliana na ulichosema tho..
 
Wewe ni mmoja kati ya wale aliowaita mkapa marofa anayekupenda humpend kisa tu unakuta hana sijui ile six pac na havai katakundu, umeenda kwa shalobalo asiwe haata na time na wewe unakuja kutuomba siye ushaur shubamitttttttti shabashiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
We boya acha kutusi watu na hizo posti zako uchwara za kila siku kulia lia kama sh**oga.

Shubameet....!! [emoji51] [emoji16] [emoji119]
 
Ni mbaya hiyo ya kuanzisha penzi jipya huku ukiwa hujaachana na wa zamani. Pia umemficha hata mpenzi mpya kuwa tayari una bf ila things have not worked out... Ushauri: Mind you, time to heal ni muhimu kabla hujaanzisha mahusiano mapya. Otherwise utaishia kulia baada kumegwa huku na huko na kuachwa. Fuata maadili, mshirikishe Mungu hajashindwa wala hajawahi kushindwa
 
Muulize ana tatizo gani. Kama hataki basi fanya utaratibu wa ku break up
 
Back
Top Bottom