Nimemblock baada ya kuona vitu havieleweki kutoka kwake

mr mkwawa

Senior Member
Jul 29, 2018
141
283
Habari zenu wanajamii forum.

Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.

Kuna hyu binti nmekuwa naye na mahusiano ni mwaka sasa na miezi kadhaa. Mwanzo katika mahusiano yetu tulikuwa tunawasiliana sana , kiufupi ilikuwa kila siku lazima tuwasiliane ,japo kwa upande wangu mimi ni mvivu sana wa kuanza maongezi kwahyo yeye ndiye alikuwa anaanza . Mimi nikaona niwe na utaratibu wa kumpa vocha kwa kila mwezi 15k.

Kiukweli mahusiano yetu yaliimarika sana mwanzo hasa mwaka uliopita.juhudi zake binti kwangu zilinifanya na mimi kujaribu kujitoa zaid katka kumsaidia mambo yake madogo madogo ya kipesa kama ilivyo kwa mwanaume yeyote anayejua uwajibu wake katika mahusiano.

Ila miezi ya hivi karibuni ameanza kubadilika , saiv nampa vocha kama kawaida ila siku inapita apigiki simu.akiniomba pesa kwa ajili ya matumizi yake asemi asante tena kama mwanzoni.na amekuwa ananiomba pesa ili anunue kitu fulani ila afanyi kama alivyosema.kiufupi amekuwa anabadilika kwa kasi na ndani ya mda mfupi.

Tulikuwa na utaratibu wa yeye kuja kulala kwangu . Na mm siku nyingine kulala kwake.lakn toka amehama mahali ambapo alikuwa anaishi mwanzo amekuwa ananikwepa nisiende kwake ila yeye anataka awe anakuja kwangu. Nikimuuliza kwanini ataki nipafaham makazi yake mapya story zikuwa nyingi ambazo azieleweki.

Mabadiliko haya ya hyu binti yamekuwa yananipa wasiwasi sana na mahusuano yetu. Sasa juzi ilikuwa birthday yake , na ilikuwa ni sku za kazi pia , kwahyo nikamuomba kuwa sababu ni sku ya kazi lakn ni birthday yako naomba tutoke dinner jion. Alinipa jibu kuwa ataniambia ratiba yake kama itawezekana. Kiukweli jibu alilonipa hyu binti lilinishangaza kidgo.sikuona kama ni sahihi na kwasababu hyu binti amemaliza chuo na ana kazi yeyote ya kufanya akose ratiba ya kutoka dinner na mimi.

Basi ikabidi nikubali tu na mtazamo wake. Ilipo fika saa 10 jion hyo siku ya birthday yake. Alinipigia simu na kusema aitawezekana kukutana dinner. Kiukweli sikushangaa sana maana haya mabadiliko yalikuwa yameanza onekana mapema. Ila aliniambia kuwa nimtumie pesa ya zawadi. Mimi nikasema sawa nitakutumia basi akakata simu.

Mida ya saa 2 usiku niliamua niende kwa wakala . Nimtumie hyo pesa ya zawadi kwa njia ya wakala . Pesa ya kumtumia huyu binti ilikuwa kama 56k hvi . Kabla ya kumtumia nilimpigia smu kumtarifu kuwa namtumia wakala fulani akuingizie pesa ,basi tukawa tumekubaliana na huyu binti. Nikawa nmefanikiwa kutumia hyo pesa.

Baada ya kutuma pesa nilitegemea angesema asante au tuongee na yeye ata kidgo. Maajabu ilipita kama dk 45 hvi kimya. Nikaona isiwe tabu nikampigia simu yeye.nampigia simu hyu binti ila simu yake ilikuwa inatumika. Basi nikasema amna shida nitampigia saa 3.

Bado simu yake ilikuwa inatumika . Nikapiga saa 4 habari ikawe ile ile smu yake iko busy. Nikapiga saa 5 simu iko busy bado.

Ilipofika saa 6 usku nampigia ndio anapokea sasa . Nikamuuliza vp mbona nakupigia simu yako iko busy ulikuwa unaongea na nani. Jibu alilonipa nilishangaa sana, binti alisema kuwa alikuwa anaongea na watu walikuwa wanampa hongera ya birthday yake.

Kwakweli niliumia sana na jibu lake . Ila nikasema kwahyo simu zangu ukuziona na hta kusema asante nimekutumia pesa ya zawad yako ulishindwa. Binti alinijibu simple sana , nikaona isiwe tabu.

Baada ya kukataa simu ya binti niliwazaa nikaona hapa sina changu tena na kwa harakati hzi za hyu binti ipo siku nitapigwa tukio kubwa zaid ya hili , na wakati dalili zote nmeanza kuziona.na nimejaribu kumwambia kuwa umebadilika siku hizi ila nikama vile asikii.

Basi kijana sikuongea kitu nikachukua simu yangu nikablock kwanzia whatsup adi normal call , futa msg zake zote. Japo ilikuwa inaniuma sana kufanya hivyo sababu bado nampenda. Ila nmeona ipo siku nitapata shida zaid kama nikiendelea na mahusiano haya.

Nilichogundua ukimpenda mwanamke sana . Lazima akusumbue kwahyo nmemtema mapema kabla ya yeye kunipiga tukio kubwa zaid.
 
Yaani unashindwa kumkabili na kumwambia kinagaubaga kwamba it's over? Aendelee na mambo yake asikutafute?..mpka unahangaika kumblok huko mitandaoni?....ulistahili kuto-mbewa.
Sasa kila mtu ana namna yake ya kumaliza mambo yake
Alaf kuongea na yy nmeongea naye sana ila akutaka kubadilika
Kwahyo nikumtoa kwa line mambo mengine yaendlee
 
Ulipigwa block vizuri tu alafu saa sita usiku akaku-unblock
 
Back
Top Bottom