sawa take careAsante kwa ushauri mkuu
KARMAHuyo kaka hakupendi kama we usivyompenda boy wako kweli wahenga hawakukosea ukimfanyia mwenzio vibaya lazima kikurudie pole sana
Nishapenda sana mkuu huyo jamaa yupo kama mimi demu ambaye sijampenda akija gheto huwa napiga mikas then namwambia amka uende leo naenda kwenye kikaoUnaujua moyo? Ushawahi kupenda? Unaweza penda chizi na watu wakakushangaa wala sijampendea hizo sifa unazoziwaza! Thanks for your advice though
Yeah ndio inavyokuaga kaka Jose ujueKARMA
May beMaharage ya mbeya maji kijiko tu yanaiva. Tatizo umejirahisisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ya nini yote hayo? Kama mtu humpendi unamtakia nini jamani? Kwanini uumize moyo wa mwingineNishapenda sana mkuu huyo jamaa yupo kama mimi demu ambaye sijampenda akija gheto huwa napiga mikas then namwambia amka uende leo naenda kwenye kikao
Sent using Jamii Forums mobile app
Malipo ni hapa hapaaa, sema dah kuna watu wanabahatiii ya kutunukiwa papuchi kizembeeeHuyo kaka hakupendi kama we usivyompenda boy wako kweli wahenga hawakukosea ukimfanyia mwenzio vibaya lazima kikurudie pole sana
Wewe hao wanaume wa kwenye daladala, huna adabu unamwita my sweet demu?? Demu wewe hapo umebakia makinikia dhahabu yote wameisha beba..!Asante! Lakin kwa kukujuza tuu nina miaka 24 My first boyfriend tuliachana 2013. Ndo nikakimbilia kwa huyo niliemuita tulizo now I have fallen for the other guy! Huo ni umalaya? Sidhani kama ht demu wako kapitia wanaume wachache ivo
Njoo na mimi nipige mzigo na ham Sana halafu nitakuoaUnaujua moyo? Ushawahi kupenda? Unaweza penda chizi na watu wakakushangaa wala sijampendea hizo sifa unazoziwaza! Thanks for your advice though
Na Mungu huwa anakulipa vilevile na unavyomfanyia mwenzio kwahiyo hapo kutunukiwa papuchi kizembe umemaanishaje mama p anakuja sasa hivi utamjibu [emoji1][emoji1][emoji1]Malipo ni hapa hapaaa, sema dah kuna watu wanabahatiii ya kutunukiwa papuchi kizembeee
You can go back to him wakati ushalalwa na mwingine..hivi angejua angelifurahia?...Mungu anamiona na malipo ni hapa hapa dunianiAs long as sijamfanyia chochote kibaya I can go back to him! Unadhani nafurahia kutokuwa na hisia nae?