man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,356
LahashaaaKwahiyo una maana aliyemla huyu dada ni mmoja wa watu wasiojulikana?
LahashaaaKwahiyo una maana aliyemla huyu dada ni mmoja wa watu wasiojulikana?
Nitafuata ushauri wako! Asante sana mkuuplz kuwa na huyo wa zaman.
na tatizo cjui kwnn wanawake wanakuaga ivo kwmb unakua na m2 muda wote huo at ujamkubal , plz get cool and accept the one yu had before
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana. anza juhudi za kujinasua kwenye hiyo hali kabla haijawa janga. tulia na ikiwezekana jifunze kumpenda huyo wa mwanzo ikishindikana achana nae upumzike kidogo usirukie uhusiano mwingine la sivyo utajuta zaidi ya sasa
Umepotea apo na pole sana
Anaelewa alivyoteseka kwa ajili ya hii papuchi.Na Mungu huwa anakulipa vilevile na unavyomfanyia mwenzio kwahiyo hapo kutunukiwa papuchi kizembe umemaanishaje mama p anakuja sasa hivi utamjibu [emoji1][emoji1][emoji1]
Anaelewa alivyoteseka kwa ajili ya hii papuchi.
Hata sasa siku nyingine nikiamua namuuzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hongera kwa kufanikiwa kubadili user name....from Nanyupu 2 Beira baby boy..Wewe ni mmoja kati ya wale aliowaita mkapa marofa anayekupenda humpend kisa tu unakuta hana sijui ile six pac na havai katakundu, umeenda kwa shalobalo asiwe haata na time na wewe unakuja kutuomba siye ushaur shubamitttttttti shabashiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaelewa alivyoteseka kwa ajili ya hii papuchi.
Hata sasa siku nyingine nikiamua namuuzia
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukraniUkifatilia utagundua hajajali kama ulikula,ulifikaje apo...pia kitendo cha kukuita uje kwake afu dk 10 baada ya tendo anaondoka inaonyesha ni jinsi gani hakua serious na alipanga kukudharau na kukudhalilisha... Ila dada swank nawe ulikurupuka.. Btw jamaa ulenae jaribu kumpenda ht kdg. Wenda ndo riziki yako. Kumbuka wanaume tupo wachache komaa na riziki yako.