Habari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekua napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed,najiona kama takataka.Najiona sina thamani,najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.
Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.
Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.
Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.
Muwe na weekend njema sana wapendwa.
ASANTE
Pole Sana .
je hayo mawazo huwa yanakuiia pale unapojitazama au unapowatazama watu?
Mfano unaweza kuwa baraka Ila ndani yako ukawa unaona ulipo sipo ambapo unahitaji kufika Kuwa.
Umedokezea muuza vitumbua na muendesha mkokoteni .
Hawa wanaweza kuwa na furaha kukuzidi Endapo tafsiri yao ya maisha ikiwa Kama hivi
"Mimi nauza vitumbua Ila napata riziki na Afya ile ya kuamka Ahsubui Nina yo"
Kupitia mtazamo huu muuza vitumbua anaweza kuimiliki furaha.
Ukija kwa upande wa mwenesha mkokoteni inaweza kuwa the same.
Ila sasa ukija kwako - wewe sio kwamba hauna ile inaitwa furaha unayo Ila ambacho hauna ni Joy.
Happiness versus Joy.
Unapopata kula ,kuvaa na kuishi maisha ya kila siku nk unaweza kuwa katika Happiness na sio Joy.
Joy -hii ndo genuine furaha Alisia ambayo haitokani na maisha uliyonayo au nini unacho , sasa ukiipata hii Mawazo ya kujiua hauwezi kuwa nayo.
Binafsi -jiingize katika kuwatazama watu walio -chini yako either kiafya Kama wagonjwa , masikini wa vipato , wafungwa n.k then ujaribu kuwasaidia kila unapojihisi kukata tamaa -hii itakusaidia kuwa sawa.
Everything it is takes time -just practice more and more.