Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
yeye sasa anaona wenzie ndo bab kubwa...... wakiwa kwao ni TV nk, hakuna kufua, kupika, kudeki....... yeye anajiona looser, kwa hiyo hawezi kujikweza kwa wenziepia mkumbushe asijikweze na kuwaona 'walioshindwa' ni wazembe. hii ni mtego ambayo watoto ambao ni 'mfano' unawapata mara kwa mara. naambiwaga mno nyumbani na wazazi
Kila kitu kitakuwa sawa my dear, wala usihofu. pamoja na kukazana kutafuta hela za kumlipia ada ya kusoma shule nzuri kazana pia na kumwekea kwenye ulinzi wa MunguThanks FP kwa michango yako. Nimepata hazina kubwa sana kwa experiences zenu mlizoshare nami.
BADILI TABIA, namtupia neno moja moja nikipata nafasi; cha kwanza nilichojifunza from him kuwa age inayoruhusiwa hapo shuleni kwao kwa form one ni 11 mpaka 13 tu, which is a huge relief to me kwani ni almost umri sawa. Hakutakuwa na a 15yrs boy in a class.
Lkn nilipata chance wakati tunatoka church kusisitiza kuhusu sala na kuchagua marafiki vizuri.
Naenda naye mdogo mdogo. Asante mwaya kwa ushauri.
Kila kitu kitakuwa sawa my dear, wala usihofu. pamoja na kukazana kutafuta hela za kumlipia ada ya kusoma shule nzuri kazana pia na kumwekea kwenye ulinzi wa Mungu
mimi wangu walikuwa wanasema TT,pichu ni teitei!ongezea hiyo BAK
Kaunga, mbona hujasema aunt zake tukampikia visebeo? Ama watoto wa dot com hawabebi visheti?
mimi hapo kwenye RED huwa sipafagilii kabisa. unamfunza mtoto kuwa na matumizi mabaya ya hela. huwa nasisitiza sana wanangu kula vyakula vya shule sababu tunavilipia pia. kuna watoto hawali kabisa vyakula vya shule, anashindia biskuti na soda kwenye duka la shule, matokeo yake anakuwa anashinda na njaa tu maana anatumia akili nyingi kusoma.Ha ha ha
Naambiwa niongeze tu monthly allowance maana wana variety ya cookies na biscuits kwenye canteen ya shule. LOL
Nakumbuka enzi zetu, visheti na vijiandazi vigumu ilikuwa mpango mzima. I miss those days kwa kweli.
hiyo safi sana my dear Kaunga. hawa watoto wetu tunatakiwa kuwafunza matumizi ya kila kitu kwa kiasi. kuna siku nililetewa list ndeeefuu ya mahitaji ya shule na binti. nikakaa naye nikamwambia, naomba sana katika hii list vitu ambavyo kwa haki ya Mungu havina umuhimu kwa shule, i.e. ni luxury uvikate; tulibaki na robo ya list, tukaenda shopping na wala hakununa.FP l was not serious, hajasema na yuko tofauti sana na watoto wengi; anaweza kula na kuishi popote. Hiyo ya variety ya biscuit nimekuta kwenye forms za shule. Nilikuwa namtania my wifi.
Mwanangu, nikijisahau huwa hasemi mpaka mwenyewe najishtukia. Jana kanipa voucher ya voda aliyonunuliwa na bibi yake, amesema rafiki zake wengi wako shule na mimi niko naye so haoni mahitaji ya airtime.
hiyo safi sana my dear Kaunga. hawa watoto wetu tunatakiwa kuwafunza matumizi ya kila kitu kwa kiasi. kuna siku nililetewa list ndeeefuu ya mahitaji ya shule na binti. nikakaa naye nikamwambia, naomba sana katika hii list vitu ambavyo kwa haki ya Mungu havina umuhimu kwa shule, i.e. ni luxury uvikate; tulibaki na robo ya list, tukaenda shopping na wala hakununa.
Ila wifi unajua bado natafakari hili toka jana. Ina maana huyu mwenetu anamiliki simu tayari? Why? Manake ba unoko wangu ningemuwekea ttcl kabisa ili nimpigie mwenyewe. Kids dont need simu jamani.
Hata mimi sikubaliani na mambo ya simu kwa watoto wadogo. Hata Tv huwa wanaangalia kwa ratiba maalumu. Hivi vitu. ni vizuri ila pia madhara yake ni makubwa!Ila wifi unajua bado natafakari hili toka jana. Ina maana huyu mwenetu anamiliki simu tayari? Why? Manake ba unoko wangu ningemuwekea ttcl kabisa ili nimpigie mwenyewe. Kids dont need simu jamani.
Ni kweli kabisa NK... Access kwenye haya mambo inahitaji kifuatliwa with high level of PG!Hata mimi la simu nimejifikiria nikasema labda mimi ni wa zamani...Maana kuna mambo ya kwenda na wakati...wenzake wote wana simu yeye kama hana atajiona mnyonge...Kwa kweli sijuhi kama shule zote zinaruhusu mtoto kumiliki simu...na sijuhi umri gani ni proper kwa mtoto kuwa na simu...Unajua akishakuwa na simu maana yake ana access na internet...hapo ndio balaa linapoanza.
Ila wifi unajua bado natafakari hili toka jana. Ina maana huyu mwenetu anamiliki simu tayari? Why? Manake ba unoko wangu ningemuwekea ttcl kabisa ili nimpigie mwenyewe. Kids dont need simu jamani.
Hata mimi sikubaliani na mambo ya simu kwa watoto wadogo. Hata Tv huwa wanaangalia kwa ratiba maalumu. Hivi vitu. ni vizuri ila pia madhara yake ni makubwa!
mimi hapo kwenye RED huwa sipafagilii kabisa. unamfunza mtoto kuwa na matumizi mabaya ya hela. huwa nasisitiza sana wanangu kula vyakula vya shule sababu tunavilipia pia. kuna watoto hawali kabisa vyakula vya shule, anashindia biskuti na soda kwenye duka la shule, matokeo yake anakuwa anashinda na njaa tu maana anatumia akili nyingi kusoma.
Mimi nimesoma boarding ya serikali, enzi zile chakula kilikuwa kibaya sana, lakini tulikula na hatukuumwa.
kuna siku mwanangu alikuwa 5 years, yupo day ila shule kwao tunawalipia chakula. kuna siku akaniambia mwl kasema kila ijumaa wawe wanaenda na hela ya kununua burger, kweli mwanangu anapenda sana burger, lakini nikawaza kwa nini waende na hela na wakati tunalipia chakula? nikamwuliza teacher akaniambia kuna mzazi anasema mwanaye ale burger kila ijumaa kwa hiyo anampa hela, lunch time mtu anatumwa kununua, so darasani kwao watoto wengi wamewaambia wazazi wao nao wanawapa. Nikakaa na mwanangu, nikamwambia sitakupa hela ya burger shule, utakula chakula cha shule ila kila nikipata muda nitakuwa nakupeleka kukununulia burger...... akakubali na hadithi ya burger ikaishia hapo.