Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
ukali hausaidii aisee.
Siku ya kwanza ananiambia kuhusu huyo binti alianza kwa statement 'nikisema najua utanichapa'
nikamwambia kwani huwa nakuchapa? Hakuwa na hakika nitalipokea vipi, imagine alikuwa la kwanza.
Akasema 'kuna mtoto nampenda darasani' tukaongea ongea wee, akanieleza wanafanya nini, wanacheza michezo gani.
Nikagundua, ukiwa mkali tu, mtoto anakuwa msiri.

Ni vizuri mtoto kuwa na dalili za kuwa attracted na opposite sex, na ukali hautasaidia zaidi ya kumfanya ajifiche kwa kupenda wanaume wenzie. Lol.