Naona bora niwe `bachelor’ kuliko mateso haya

Naona bora niwe `bachelor’ kuliko mateso haya

Kijana wewe ni mjinga sana. Hivi unataka kupata mtu asie na madhaifu? Basi msubiri Hivii? Unajua maana ya uvumilivu na maisha ya ndoa kweli?

Umewahi uliza wazazi wako au watu waliodum wamekutana na mangapi hadi hapo walipo?

Ningekushauri vizuri kama ningeona unajitahidi kumbadili mkeo ili aendane na hali na wewe ulivyo au maisha yenu, ila nimeona ni mtu wa lawama tu. Hufai kua na mke wewe.Hata huyo kakuonea huruma.
Hili neno la uvumilivu mnalitumia vibaya sana. Yaani mtu aishi kama Darfur, life liwe ovyo et useme madhaifu?? Kiukweli mkuu, kuna madhaif, makusudi, kero, na upumbavu. Wengine huvijaza hivi vyote ktk kundi moja la madhaifu.

Kama mke angekuwa upendo bado anao, ishu zisingefika hatu hiii.

Mara nyingi ukiona mwanaume anajiongelesha hivi, jua yamekuwa mengi sana. Ingawa hatuja sikia upande wa pili.
 
Nionacho hapa unajifunza kuandika nyuzi jukwaa hili!Chai hii
 
Write your reply...mkiambiwa muwe na michepuko muikubali asili yenu ya kiuanaume mnakataa mnajifanya mko tofauti embu ona sasa

ungekuwa na michepuko usingelalamika hivi
 
Matatizo ya wanawake yanaanzia hapa!!
 

Attachments

  • FB_IMG_1585115588433.jpg
    FB_IMG_1585115588433.jpg
    30.2 KB · Views: 6
Hapana usimuache huyo mwanamke, kwan anakusaliti? Mimi dhambi ya Usaliti ndo huwa nakazia sana.

Huwezi mkosoa mkeo kwa lugha Kali , ukategemea Akupende .noooo.


Na kama hampo sawa , automatically hawezi kukupanulia mapaja.


Fanya ivi

Anza mambo ya hivi...

Wife Jana ulinishauri vzuri mno, mambo yameenda


Wife MSOSI wa Leo mtamu Ila wajana ulikua mtamu sanaa rudia kama jana


Wife kiukweli mapenzi unayo nipa yannifanya nijisikie kidume mwenyewe, kama kuna siku ile umenikatia kiuno yaan mmhh wee kiboko..


Wife Leo nmekubebea zawadi ( Chupichupi ,,Braa Tight zao ) n.m



Embu....Mke wako ana kiwango gan cha Elimu ? Na kabila lake. Umri ???.
 
Tafuta wazazi wa pande zote mbili ikibidi viongozi wenu wa imani ili mmalize tofauti zenu, kuamua kuishi mwenyewe siyo jibu tosha kumbuka mna watoto wanaowategemea watapata shida.
 
Yaani kunyimwa kibuyu ndio umwache?ebu jiongeze bhana kuna mechi za nje kibao yeye mwachie akibanie tuu oiga nje kimya kinya ishi nae kwa akili kama vitabu vinavyokuambia
Inshort ndug zangu, nimeoa na nina watoto wawili ila kiukweli tangia nianze kuishi na mwanamke huyu mwaka 2015 kumekuwa na ugomvi wa hapa na pale.

Mwanzo chanzo ulikuwa ni madeni ambayo mke alikopa kwenye vikoba nikajitahidi kuzilipa hzo fedha zote kama laki 6. Nikiwa na matumaini kuwa huenda kwa kufanya hivyo Basi amani itapatikana, lakini wapi.

Yani hadi mwaka huu 2020, hali bado ni tete kama vile Corona nchini Italy, no maelewano. Ukimkosoa kitu basi ananuna na hata kibuyu cha asali anagoma kunifungulia, aisee! Usiombe yakukute.

Nilichoamua ni kumtema huyu mwanamke maana kwa mateso haya ni bora nikaishi bachela nijue wazi kuwa sina mwanamke ninaelala nae kuliko mateso haya nnayopata.

Ndugu zangu kwa nionavyo mimi ndoa za mikataba zitasaidia sana kutatua migogoro ya namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni dereva na umeutangazia umma kwamba wewe ni dereva mahiri, ukipewa gari uliendeshe huwezi kusema naliacha kwasababu linasumbua, huwezi kusema siliwezi au limenishinda, unapaswa ufanye ufanyavyo, ulidhibiti, lifuate unavyotaka wewe, na sio linavyotaka gari, unapaswa ujifunze UBONYEZE wapi ili gari liende au lisimame, lipinde kushoto au kulia, yote hayo yatawezekana kwa kujijengea uwezo binafsi wa kulidhitibiti na kuliendesha, SI KWA KULIACHA GARI, ikibidi hata uombe msaada kwa madereva wazoefu, wakuelekeze nini cha kufanya ili gari liende unavyotaka wewe, mbona wengi wengine wanaendesha magari kila siku bila shida yoyote? wewe kinakushinda nini? Sijawahili kusikia dereva anaamua kuliacha gari barabarani kisa linasumbua, huyo atakuwa si dereva, labda utingo!

Tatizo si mwanamke, tatizo ni wewe, huna uwezo wa kummudu mwanamke, hujui mwanamke anataka nini na umpe nini ili akusikilize wewe. Mwanamke sio robot, unaiambia unavyotaka wewe na ifanye unavyotaka, mwanamke ni binadamu ana hisia zake, ana mahitaji yake, ukimsikiliza na ukiyajua mahitaji na matarajio yake na ukamtimizia hicho 'kibuyu cha asali' unacholilia kitafunguliwa na utapewa asali hadi utachoka mwenyewe. Acha kulalamika

If you press the right buttons you can move the car to any directions and speed you want - Do you know the right buttons?
 
Huwezi kumbadili tabia mwanamke aliyezoea kufanya kukopa. Mwanamke mjinga tu anaye jivunia kumnyima papuchi mmewe na kununa. Mpeleke kwao kisiri asijue umwache huko miaka miwili aone thamani yako. Chukua watoto wako lea akiwakatalia nenda ustawi wa jamii toa matumizi huko.
Kijana wewe ni mjinga sana. Hivi unataka kupata mtu asie na madhaifu? Basi msubiri Hivii? Unajua maana ya uvumilivu na maisha ya ndoa kweli?

Umewahi uliza wazazi wako au watu waliodum wamekutana na mangapi hadi hapo walipo?

Ningekushauri vizuri kama ningeona unajitahidi kumbadili mkeo ili aendane na hali na wewe ulivyo au maisha yenu, ila nimeona ni mtu wa lawama tu. Hufai kua na mke wewe.Hata huyo kakuonea huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom