Naona bora niwe `bachelor’ kuliko mateso haya

Inshort ndug zangu, nimeoa na nina watoto wawili ila kiukweli tangia nianze kuishi na mwanamke huyu mwaka 2015 kumekuwa na ugomvi wa hapa na pale.

Mwanzo chanzo ulikuwa ni madeni ambayo mke alikopa kwenye vikoba nikajitahidi kuzilipa hzo fedha zote kama laki 6. Nikiwa na matumaini kuwa huenda kwa kufanya hivyo Basi amani itapatikana, lakini wapi.

Yani hadi mwaka huu 2020, hali bado ni tete kama vile Corona nchini Italy, no maelewano. Ukimkosoa kitu basi ananuna na hata kibuyu cha asali anagoma kunifungulia, aisee! Usiombe yakukute.

Nilichoamua ni kumtema huyu mwanamke maana kwa mateso haya ni bora nikaishi bachela nijue wazi kuwa sina mwanamke ninaelala nae kuliko mateso haya nnayopata.

Ndugu zangu kwa nionavyo mimi ndoa za mikataba zitasaidia sana kutatua migogoro ya namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuata kanuni hii na utajikuta unaepuka kuwa na mtu ambaye sio wa kariba au type yako.

PENDA WATU USIPENDE VITU.
TUMIA VITU, USITUMIE WATU.
fuata kanuni hiyo na mpenzi ulienae unaetegemea kuishi nae kwenye ndoa hakikisha anafuata hiyo kanuni utakuja kunishukuru.

Niliwahi kuwa na mahuusiano na binti mmoja yy anapenda maisha ya kufahar sana na mbaya zaidi hana kazi yyt ya kumuingizia kipato basi hayo tisa kumi hata kazi za ndani za mikono kama mwanamke hawezi kuzifanya. Kutwa kunilinganisha mimi na wanaume anao waona kwamba wana ichi mimi sina hicho wana kile mini kile sina. Aisee nilimuonba aniache kwani mimi tangia hapo nilikuuwa nimemuacha. Kwa hiyo tukaachana aniache na maisha yangu na mimi nikamuacha na maisha yangu.
 
Inshort ndug zangu, nimeoa na nina watoto wawili ila kiukweli tangia nianze kuishi na mwanamke huyu mwaka 2015 kumekuwa na ugomvi wa hapa na pale.

Mwanzo chanzo ulikuwa ni madeni ambayo mke alikopa kwenye vikoba nikajitahidi kuzilipa hzo fedha zote kama laki 6. Nikiwa na matumaini kuwa huenda kwa kufanya hivyo Basi amani itapatikana, lakini wapi.

Yani hadi mwaka huu 2020, hali bado ni tete kama vile Corona nchini Italy, no maelewano. Ukimkosoa kitu basi ananuna na hata kibuyu cha asali anagoma kunifungulia, aisee! Usiombe yakukute.

Nilichoamua ni kumtema huyu mwanamke maana kwa mateso haya ni bora nikaishi bachela nijue wazi kuwa sina mwanamke ninaelala nae kuliko mateso haya nnayopata.

Ndugu zangu kwa nionavyo mimi ndoa za mikataba zitasaidia sana kutatua migogoro ya namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
bado upo nae?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom