Naona bora niwe `bachelor’ kuliko mateso haya

Naona bora niwe `bachelor’ kuliko mateso haya

mfate42

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
4,061
Reaction score
4,848
Inshort ndug zangu, nimeoa na nina watoto wawili ila kiukweli tangia nianze kuishi na mwanamke huyu mwaka 2015 kumekuwa na ugomvi wa hapa na pale.

Mwanzo chanzo ulikuwa ni madeni ambayo mke alikopa kwenye vikoba nikajitahidi kuzilipa hzo fedha zote kama laki 6. Nikiwa na matumaini kuwa huenda kwa kufanya hivyo Basi amani itapatikana, lakini wapi.

Yani hadi mwaka huu 2020, hali bado ni tete kama vile Corona nchini Italy, no maelewano. Ukimkosoa kitu basi ananuna na hata kibuyu cha asali anagoma kunifungulia, aisee! Usiombe yakukute.

Nilichoamua ni kumtema huyu mwanamke maana kwa mateso haya ni bora nikaishi bachela nijue wazi kuwa sina mwanamke ninaelala nae kuliko mateso haya nnayopata.

Ndugu zangu kwa nionavyo mimi ndoa za mikataba zitasaidia sana kutatua migogoro ya namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A friend of mine sent me this quote today bahada ya kuona posts zangu hapa za kufirisiwa na muwanamke wa mutandaoni
images%20(1).jpeg

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Inshort ndug zangu,.nimeoa na nna watoto wawili..ila kiukweli tangia nianze kuishi na mwanamke huyu mwaka 2015..kumekuwa na ugomvi wa hapa na pale,.mwanzo chanzo ulikuwa Ni madeni ambayo mke alikopa kweny vikoba..nikajitahidi kuzilipa hzo fedha zote Kama laki 6.
Nikiwa na matumaini kuwa huenda kwa kufanya hivyo Basi amani itapatikana.lakini wapi..
Yani hadi mwaka huu 2020,.Hali Bado Ni tete Kama vile corona nchini Italy,..no maelewano..ukimkosoa kitu Basi ananuna na hata kibuyu Cha asali anagoma kunifungulia..aisee usiombe yakukute..nlichoamua Ni kumtema huyu mwanamke..Mana kwa mateso haya Ni Bora nikaishi bachela..nijue wazi kuwa Sina mwanamke nnaelala nae..kuliko mateso haya nnayopata..
Ndugu zangu kwa nionavyo Mimi ndoa za mikataba zitasaidia Sana..kutatua migogoro ya namna hii..

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaa chief.

Wakati wa mahusiano yenu kabla ya ndoa hizo tabia alikuwa nazo?? Tuanzie hapo kwanza.
 
Bado anakopakopa na kutengeneza madeni yasiyokuwa na mtwe na mkia?

Kwa maelezo yako inaonekana ni ndoa ya kikristo! Mnatakiwa kurudi kwenye mafundisho ya ndoa!

Option ya kuachana kwa bahati nzuri haipo. Tafuta chanzo: cheki 'campany' yake! Tatua hilo tatizo 'dont be quiter'!
 
Kijana wewe ni mjinga sana. Hivi unataka kupata mtu asie na madhaifu? Basi msubiri Hivii? Unajua maana ya uvumilivu na maisha ya ndoa kweli?

Umewahi uliza wazazi wako au watu waliodum wamekutana na mangapi hadi hapo walipo?

Ningekushauri vizuri kama ningeona unajitahidi kumbadili mkeo ili aendane na hali na wewe ulivyo au maisha yenu, ila nimeona ni mtu wa lawama tu. Hufai kua na mke wewe.Hata huyo kakuonea huruma.
 
What a beautiful life to be single man i have experienced!
Look what im doing

1.Engaging in prayer and giving out what i have to poor people and orphan's.

2.Investing my money i earn to my personal development.

3. Doing jogging and other sports activities.

No more stress..i have created a world of my own..
rather than to meet a wrong person that will destroy your emotional,kills your personal development and waste your time.

Only strong mens and women will remain single and be happy..

apply my techniques.

Selfish,

pole if you have never experience to love and to be loved,

but having someone and start a family,is our RESPONSIBILITY and not just a choice...

What if your parents were that selfish,not to start a family...ungekuwa wapi???...au hufurahii hata your existence in this world?
 
Alafu hii suala la if parents wako wasingekuzaa mbona halina mashiko... Kila mtu ana haki ya kuchagua. Kutokuzaa sio being selfish na wala sio kosa... Ni sawa tuu na mtu kuamua kuzaa watoto 6 na mwengine 1. Mtu ana uhuru wakuchagua.
 
Bro achatuwe marafiki life style yako ndio naishi now

being selfish ni wewe kupewa life halafu wewe ufe bila kumpa mtu life...ofcourse yes kila mtu ni choice yake..kuwa mwizi ama sio mwizi ni choice,hivyo hivyo kuwa selfish ama not ni choice..point yako hai invalidate nilichosema...
 
Siku Zote usitumie Matako kufanya uamuzi wa kuachana na Mke wako au Mume wako? Wala Usitumie Dress table mirror kufanay hayo maamuzi.. Jua shida ya huyo Mwanamke hakikisha unatatua mzizi siyo kutatua tawi.

Kama utahitaji msaada njoo pm.

Ila narudia usitumie matako kufanya maamuzi yoyote uwe Mwanamke au Mwanaume.. matako hayana shukrani kumbuka.
 
being selfish ni wewe kupewa life halafu wewe ufe bila kumpa mtu life...ofcourse yes kila mtu ni choice yake..kuwa mwizi ama sio mwizi ni choice,hivyo hivyo kuwa selfish ama not ni choice..point yako hai invalidate nilichosema...
Kuamaua kutokuzaa is not being selfish.
Sasa huna uwezo wakutunza mke na watoto utazaa tuu?
 
selfish

kuna watu kibao wa kipato cha chini na wana familia
Na kuna watu hao kibao wanaishia kuwatesa watoto zao kisa wao wafurahishe mioyo yao tuu kwa kuwa na watoto.
Watoto wanateseka mpaka unawaonea huruma. Just coz they cant tell it to ur face wewe mzazi usidhani haiwaumi kuishi kwenye mazingira magumu.
 
Selfish,

pole if you have never experience to love and to be loved,

but having someone and start a family,is our RESPONSIBILITY and not just a choice...

What if your parents were that selfish,not to start a family...ungekuwa wapi???...au hufurahii hata your existence in this world?

Rebecca hi?

Please, can we startup a family?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom