Naona bora niwe `bachelor’ kuliko mateso haya

Naona bora niwe `bachelor’ kuliko mateso haya

Asante kwa ushaur ndg yangu..
mfate42

Mkeo hana tatizo, mpe hela aache kukopakopa hovyo. Mshauri awe anakuomba hela. Na wewe tafuta mcheps, ukitegemea kupewa na mkeo kila cku mbona stress zitakuua?

Kwa sababu imagine unalala na utamu pembeni hadi asubuhi na hupewi. Ungekuwa umetanua mchepukoni kidogo unakoroma zako wala huna habari kuna utamu pembeni hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la kuoa wanawake washamba. Sijui wabongo haraka ya kuoa hua mnatoa wapi. Rafiki zangu zote wameoa na wote wanalalamika, mi bachelor sina hata presha nakomaa na biashara zangu maisha yanaenda vizuri kabisa.

Isijekua tatizo liko kwako pia, inabidi ujaribu kua romantic kidogo, ndoa ndiyo mnazoeana ila inatakiwa unafanya visurprise mara moja moja kuleta msisimko, na mara moja mbili unamtoa mke out mnafunga safari hata mbugani au mnaruka dubai, maldives, new york, mnakula bata hata ya wiki mkirudi home ni kama mmeanza kupendana upya heshima inakuwepo
 
Inshort ndug zangu, nimeoa na nina watoto wawili ila kiukweli tangia nianze kuishi na mwanamke huyu mwaka 2015 kumekuwa na ugomvi wa hapa na pale.

Mwanzo chanzo ulikuwa ni madeni ambayo mke alikopa kwenye vikoba nikajitahidi kuzilipa hzo fedha zote kama laki 6. Nikiwa na matumaini kuwa huenda kwa kufanya hivyo Basi amani itapatikana, lakini wapi.

Yani hadi mwaka huu 2020, hali bado ni tete kama vile Corona nchini Italy, no maelewano. Ukimkosoa kitu basi ananuna na hata kibuyu cha asali anagoma kunifungulia, aisee! Usiombe yakukute.

Nilichoamua ni kumtema huyu mwanamke maana kwa mateso haya ni bora nikaishi bachela nijue wazi kuwa sina mwanamke ninaelala nae kuliko mateso haya nnayopata.

Ndugu zangu kwa nionavyo mimi ndoa za mikataba zitasaidia sana kutatua migogoro ya namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app

You must be broke
 
Hili neno la uvumilivu mnalitumia vibaya sana. Yaani mtu aishi kama Darfur, life liwe ovyo et useme madhaifu?? Kiukweli mkuu, kuna madhaif, makusudi, kero, na upumbavu. Wengine huvijaza hivi vyote ktk kundi moja la madhaifu.

Kama mke angekuwa upendo bado anao, ishu zisingefika hatu hiii.

Mara nyingi ukiona mwanaume anajiongelesha hivi, jua yamekuwa mengi sana. Ingawa hatuja sikia upande wa pili.
Nimependa sana ulivyosema atujasikia upande wa Pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aidha ni tabia yake ya asili, ama la ameona anakuweza(kwa mwanamke mpumbavu kitendo cha kumuonesha mapenzi kidogo tu, kwake ishakuwa noongwa, anaona we booya! Kakuweeza yaani)

piga chini.
 
Tatizo tunaishi kwa mazoea sana sisi Waafrica, unaweza kuzaliwa, ukaishi na kufa. Sasa mtu unapambana na maisha na kupata pesa at 45 years, unaoa mke anakuja kukutesa. Why ulizaliwa sasa? Tujifunze kuishi na sio kuyaishi maisha ya mtu mwingine.
Note: Ulishawahi kuona kikojozi Amekosa kopo la kukojolea mtaani kwenu? Tafuta kopo, kojolea na amka asubuhi kamwage mkojo na sio lazima ukojoe kitandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana wewe ni mjinga sana. Hivi unataka kupata mtu asie na madhaifu? Basi msubiri Hivii? Unajua maana ya uvumilivu na maisha ya ndoa kweli?

Umewahi uliza wazazi wako au watu waliodum wamekutana na mangapi hadi hapo walipo?

Ningekushauri vizuri kama ningeona unajitahidi kumbadili mkeo ili aendane na hali na wewe ulivyo au maisha yenu, ila nimeona ni mtu wa lawama tu. Hufai kua na mke wewe.Hata huyo kakuonea huruma.
Jamani jamani jamani, tusiwe wepesi kuhitimisha hukumu! Kunguni wa kitanda usichokilalia huwezi jua madhira yake! Changamoto ktk ndoa hazifanani! Na uvumilivu nao pia! Tumpe ushauri wa kumtia moyo pasi kumdidimiza na kudhalau maumivu ya hisia aliyonayo!
Pamoja mambo mengine, amshirikishe mwanzilishi wa ndoa mwenyewe Mwenyezi Mungu!
 
Tatizo tunaishi kwa mazoea sana sisi Waafrica, unaweza kuzaliwa, ukaishi na kufa. Sasa mtu unapambana na maisha na kupata pesa at 45 years, unaoa mke anakuja kukutesa. Why ulizaliwa sasa? Tujifunze kuishi na sio kuyaishi maisha ya mtu mwingine.
Note: Ulishawahi kuona kikojozi Amekosa kopo la kukojolea mtaani kwenu? Tafuta kopo, kojolea na amka asubuhi kamwage mkojo na sio lazima ukojoe kitandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na maoni mazuri uliyotoa, umekosea sana ulipohusisha tatizo la ndoa na waafrica! Sijui umeteleza kidole na akili kwa kuwa kila baya umezoea kulihusisha na ngozi yetu ya yenye rutuba? Tatizo la ndoa ni kubwa sanai kwa wazungu kuliko unavyoweza dhania! Nikupe onyo la kutoendelea kuihusisha ngozi yetu nzuri yenye rangi ya rutuba na kila jambo baya!
 
Kuamaua kutokuzaa is not being selfish.
Sasa huna uwezo wakutunza mke na watoto utazaa tuu?
Haupo 'serious'! Labda kama ni akili ya kitoto ndio inakuongoza! Ukikua utaelewa! Lengo kuu la ndoa ya mke na mumu ni kuzaa! Itokee bahati mbaya kuwa hamna uwezo wa kuzaa lakini kama miili yenu ipo fit kuzaa halina mjadara! Vinginevyo ishi mwenyewe!
 
Haupo 'serious'! Labda kama ni akili ya kitoto ndio inakuongoza! Ukikua utaelewa! Lengo kuu la ndoa ya mke na mumu ni kuzaa! Itokee bahati mbaya kuwa hamna uwezo wa kuzaa lakini kama miili yenu ipo fit kuzaa halina mjadara! Vinginevyo ishi mwenyewe!
Ah wapi lengo kuu la ndoa ni kugegedana sio kizaa.

Bwana wee kuzaa uwe na uwezo wa kuhudumia. Watu wanaleta watoto hapa duniani wanateseka tuu. Mie hiyo ndio naona its being selfish unafikiria furaha yako ya kuwa na watoto but yet watoto wwnyewe wanakuja taabika tuu hapa duniani
 
....mke wa ndoa anakunyima tendo la ndoa,apo hakuna ndoa...

Dini yetu ya kiislamu inatufundsha ya kuwa "analaaniwa mwanamke ambaye atakayemnyima mmewe tendo la ndoa kuanzia usiku wake adi asubuh take"
 
Pole sana kwa unayopitia...

Kukimbia tatizo siyo kutatua tatizo, pambana mpaka mambo yakae sawa...



Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom