It is not about selfish,
It is about decision..
Mda ukifika mpango sahihi utatimia,,kuliko kukimbia kimbia huku dunia uishie kupigwa za uso..
Kibaya zaid unaweza kuamua kuwa na familia lakin unayempata akawa hajatulia,it will cost you!au either ukamkubal na madhaifu yake lakin yako akayatolea macho...
Maana one principles that guide in marriage is..
Lazima mwishi kwa kuyakubal madhaifu yenu.la mwenzako liwe lako na la kwako liwe la mwenzako,na msaidiane katika kila hali.
Unajua kwanini familia za wazee wetu zilidum?
Mama na baba zetu walipendana kwa kila khari,na kuvumiliana kwa kila jambo.unakuta mama anarudi nyumban akikutana na mzee tu anaambiwa rudi kwa mume wako, but now days,mens and womens wanavumiliana kwa mazur mengi na mabaya machache.
Siwez kueleza sana ila note that..
kuna maigizo ya kuanzisha familia,
Kila mtu mjuaji,
Haambiliki.
Kila mtu mtakatifu panapotokea tatizo..
Yaan ujinga mwingi,
........
Ni hatari zaid kwa mwanamke kutoolewa kuliko mwanaume kutooa.
Na ni hatar zaid kwa mwanamke kuvunja ndoa kuliko mwanamme..
Na ni rahisi zaid kwa mwanamke kuitetea ndoa yake hadi uzeeni kuliko mwanaume?do you know why?
Kaa utafakar
Rebeca 83
Selfish,
pole if you have never experience to love and to be loved,
but having someone and start a family,is our RESPONSIBILITY and not just a choice...
What if your parents were that selfish,not to start a family...ungekuwa wapi???...au hufurahii hata your existence in this world?