Naombeni ushauri

Hiyo ni sleep paralysis. Ni hali ambayo hutokea muda mchache kabla ya kuamka au baada ya kulala.. Sio uchawi wala nini. Ni ishu ya Coordination tu. Japo haina tiba lakini unaweza kuipunguza makali.
 
Hiyo ni sleep paralysis. Ni hali ambayo hutokea muda mchache kabla ya kuamka au baada ya kulala.. Sio uchawi wala nini. Ni ishu ya Coordination tu. Japo haina tiba lakini unaweza kuipunguza makali.
 
Samahani umeolewa
 
Nimekulewa vizuri sana
 
Huo muda ukiamka ndio muda wa kusali
Ishawahi kunitokea
Kuna sk ilikuwa saa6 hadi saa12 napambana nayo siku lala
Kuna sk shetani kama shetani alikuja sitosahau hiyo siku
Walipanga kuniua
Ila asubuhi Mungu akasema usiogope
Kuna mstar alinionyesha
Hivyo ni vita vya Rohoni

Nakushauri soma Zaburi 35,54,25,91
Itasaidia
 
Sawa kabisa
 
Sikufahamu lakini kuna haya
Babako aliwahi kumtesa mtu na hata kumpoteza uhai na hakufanya kitubio chochote hivyo ile roho ya huyo mtu ndo inakusumbua sana..kama babako yupo rudi umuulze vzr..
AU
mizimu ya nyumbani kwenu inahitaji kujifungamanisha na wewe ili uitambikie sana ifurahie..
AU
au wazazi wako walimdhulumu mtu haki yake wakati wa uja uzito wako..

cha kufanya:
funga maombi siku 21 kwa imani yako ili kuvunja vita na mpango wa ibilisi..mkumbuke daniel aliomba sana lakn hakufanikiwa hadi alipofunga mfungo mkuu wa kupenyeza maombi.
Au..Kama huwezi kuomba rudi nyumbani fanya matambiko ya toba kwa familia yako ikiwemo kuyatambikia mizimu yenu.

ijapo ushauri wa kwanza unafaa sana lakn inabidi uache makando makando yote uliyo nayo hasa kile kipenzi chako, ROHO WA MUNGU hakai kwenye maisha ya baby.
 
Hiyo ni sleep paralysis. Ni hali ambayo hutokea muda mchache kabla ya kuamka au baada ya kulala.. Sio uchawi wala nini. Ni ishu ya Coordination tu. Japo haina tiba lakini unaweza kuipunguza makali.
How
 
Zingatia muda sahihi wa kulala ,açha kutumia vinywaji vyenye caffeine
Lakn pia epuka kulala chali
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…