Naombeni ushauri kuhusu kushea biashara na mtu

Naombeni ushauri kuhusu kushea biashara na mtu

Kuna watu huwa ni waoga wa kusimama peke yao katika biashara wqnaogopa hasara hawapendi kujilipua .. wanajicho lafursa wanafaida za kwenye makaratasi wanatamani kuingia wanatanguliza mguu mmoja kwa kuombaa kolabo ili likibuma mshee hasara ..sasa jichanganye soko liyumbe au uende tofauti na hesabu zao za makaratasi utajua haujui...mtakosana utashutumiwa mwizi
 
Fanya kile ambacho moyo wako una amani ,usilazimishwe kufanya chochote. Pili kama ukiingia nae makubaliano,hakikisheni mkataba unaandaliwa na mwanasheria,usifanye makubaliano ya mdomo. Mwanasheria aandae makubaliano na kila kitu kuhusu makubaliano hayo kitajwe kwenye mkataba,hata kimoja kisiachwe
Umempa ushauri bora sana huu, maana mh!
 
Kibiashara uyo anaitwa ni mwana hisa kwenye biashara yako au muwekezaj na mfumo huu upo zaidi kwenye makampun,mashirika binafsi ata machache ya uma
 
Acha kabisa huo upumbavu , sijui nilikua wapi sikuona huu uzi😪
 
Kinachofanywa ni kwanza lazima ww muasisi wa biashara ujue dhaman ya biashara yako kuanzia bidhaa adi mshahara wa wafanyakaz kama wapo (mf ww tayar ni mtendaj mkuu c.e.o wa iyo ofis) ukishajua thaman iyo bila kuficha kipengele ndio utamkalibisha uyo mwanahisa au muwekezaj na unamuuliza yeye anataka kuweka sh ngap au thaman gan ili wewe na yeye mgeuze izo thaman au pesa (mtaji)kua asilimia na ukisha jua mf wewe tayar ofis yako inamtaji wa 5m na uyo mt anataka kuja kuweka 4m kiufupi wewe utakua na 60% ya iyo ofis na yeye atakua na 40% so mkitoa kila garama ya uendeshaji faida itakayobaki mtagawana kama % zinavyota pia kunakuaga na bahat kwa muhasisi kua mtendaji mkuu ivyoo ukitoa faida mtakayopata bado ww utapat malupulupu au mshahara ya utendaj wako
 
Pia kwako iyo ni fulsa yakukuza mtaji ila akikisha mkataba au makubaliano na mwenendo wa ubia wenu uwe wa wazi na kisheria tena mtafute wakili muaminifu awaundie mkataba au makubaliano maalumu
 
Muuzie tu hiyo biashara yote kama ameipenda umuachie kisha katafute Goli sehemu nyingine.Hizo sio biashara za kuingia UBIA hizo.Kwanza zinaitaji usimamizi wa karibu sana labda kama huyo ni mkeo/mmeo ndo mnaweza fanya.
 
Usiogope hata apa mjin kwenye biashar nyingi kuna mitaji ya watu wengi tofauti tofauti apo zinazocheza ni % tu na ukaguz wawaz wa biashara
 
Back
Top Bottom