sam green
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 193
- 299
Habari, wakuu, naomba ushauri kwa jambo langu, hapa ambalo naona linaenda kutokea hivi karibuni,
Nimeajiliwa sehemu flan nafanya kazi, nimeajiriwa, toka mwaka 2016, had leo hii
Maisha yako safi tu, sasa nimefanya kazi kwa, muda 2016-2022 kwa malipo ya mshahara,
Tukaingia 2023 tukaweka makubaliano, kuwa nifanye kaz, alafu, baad ya hapo nifunguliwe ofisi kama nayofanya kazi, tukaenda kufika mwaka 2024mwez wa 8 nikaona kama nakaaa tu, mda unaenda nikataka nifungue mimi mwenyewe,
Maana nikawan naona dalili kama tajiri anataka kuzingua ilipo fika mwez wa wa pili mwaka 2025, kwa bahati mbaya ofisi iliibiwa baadhi ya vitu, vikubwa ofisini,
Hapo tukanunua vitu upyaa ili kujipanga upyaa, hapo wazo la kufungua ofisi kwa fedha zangu nikalituliza maana ningefungua, ingeonekana kama mimi najua kitu kama unavyojua maboss maana aliniulza sana kama naweza kuwa najua chochote lakin bhna wezi ni hatar sana, sasa tumeenda mwaka mpka sasa ni mwaka na miez kadhaa imeeenda, nikamkazia kwenye kufungua ofisi maanaa alikuwa ana tegea tegea kama hataki na mimi uku nafanya kazi,
Tunakubaliana mwez wa 11 ofisi inakuwa sasa katika maandaliz week ijayo ndio tunaaanza kuandaa vitendea kazi kwenda kununua vyombo,
Sasa mimi nilikuwa nataka akinifungulia ofisi, nikae hata weeek mbili, au tatu nikaendelea kusimamia ofisi yangu, maana nishafanya snaa kaz hapa nshachoka, sahz nataka nifanye mambo yangu,
Naomba ushauri, maana nahisi hata nikienda kusimamia yangu huko, kukaa week mbili au tatu ofsn kwake, nikaondoka, sio poa. Maana yeye anachojua tunafungua ofisi natafta mtu na muajiri alaf niendelee kufanya kaz kwake, kitu ambacho mimi kwangu kitakuwa kigumu.