Naombeni msaada, nimetapeliwa

Naombeni msaada, nimetapeliwa

Elfu 84 au milioni 84?. Maana usije ukakuta unalia ni elfu 84 tu?. Kama ni elfu 84 watakuja oooh...! Viwango vya uwezo vimetofautiana. Mwingine hiyo ni kubwa sana. Kama ni elfu 84 shukuru MUNGU na jipige kifua umejinasua. Umefundishwa kwa kiwango kidogo,maana ulikuwa unatafutwa 10m hapo utupie. Hiyo imekwisha ifanye umenywea bia tu na wana. Wala usiumize hata kichwa. Panga mengine
 
Hapa nilipo Hali yangu sio nzuri naomba mniombee ,,katika harakati za kutafuta mtaji niliingia fb nikakuta tangazo la kukopeshwa fedha kwa liba nafuu (nikasema hii ndio fursa,nikachukue mawasiliano Yao wakanielekeza kuwa wanatoa mikopo kwanzia laki mbili Hadi Milion Kumi, kwa kuweka akiba sawasawa na akiba yako,,mie nikaweka 84000 ambayo nimekopa kwa rafiki yanguu ,,baada ya kutuma hawapokei Simu ,,Wala sms hawajibu !
Namba zao zipo ntaweka ushahidi hapa naomba mnisaidie nifanyee nn ili nipate haki yangu??View attachment 2665310
Pole sana mkuu. Peleka tatizo lako polisi watawasaka hao wezi hasi wapatikane na kukurudishia fedha zako.
 
Hapa nilipo Hali yangu sio nzuri naomba mniombee ,,katika harakati za kutafuta mtaji niliingia fb nikakuta tangazo la kukopeshwa fedha kwa liba nafuu (nikasema hii ndio fursa,nikachukue mawasiliano Yao wakanielekeza kuwa wanatoa mikopo kwanzia laki mbili Hadi Milion Kumi, kwa kuweka akiba sawasawa na akiba yako,,mie nikaweka 84000 ambayo nimekopa kwa rafiki yanguu ,,baada ya kutuma hawapokei Simu ,,Wala sms hawajibu !
Ukowapi nikurudishie hiyo pesa? Usije ukajinyonga mtoto wa watu. Pole sana pia.
 
Utapigwa Tu,Nami Nasema Upigwe Tu
Maana Tumechoka
By Pinda
 
Hapa nilipo Hali yangu sio nzuri naomba mniombee ,,katika harakati za kutafuta mtaji niliingia fb nikakuta tangazo la kukopeshwa fedha kwa liba nafuu (nikasema hii ndio fursa,nikachukue mawasiliano Yao wakanielekeza kuwa wanatoa mikopo kwanzia laki mbili Hadi Milion Kumi, kwa kuweka akiba sawasawa na akiba yako,,mie nikaweka 84000 ambayo nimekopa kwa rafiki yanguu ,,baada ya kutuma hawapokei Simu ,,Wala sms hawajibu !
Namba zao zipo ntaweka ushahidi hapa naomba mnisaidie nifanyee nn ili nipate haki yangu??View attachment 2665310
😃 Kuna wakati huwa ninatamani kuhamia Afghanstan ili nikawe Mtaliban!

Ila nikiwakumbuka watu kama nyinyi, naona bora niendelee tu kubaki Bongo. Maana mnaniongezea siku zangu za kuishi.
 
Back
Top Bottom