Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,733
- 27,095
una mengi ya kujifunza bila shaka wewe ni mgeni kwenye biashara sioAsante nimefeli wap,,maana nilisoma hata comment za watu wakasema wamekopeshwa
una mengi ya kujifunza bila shaka wewe ni mgeni kwenye biashara sioAsante nimefeli wap,,maana nilisoma hata comment za watu wakasema wamekopeshwa
Ulikua ni mpango mbovu kwani wangepata Hela kiasi gani, mitandaoni ni wajasiliamali wadogo wadogo tuMwigulu alipokuja na mpango wa kutoza Kodi matangazo ya mtandaoni ni kukusaidia moja kwa moja mtumiaji kutoka kwa makanjanja wa mitandaoni.
Kuweka Kodi ina maaana kubwa na pana zaidi kwa sababu udhibiti unakuwepo.
Hapo ndio basi tena hakuna anayeweza kukusaidia, kubali tu yaishe.
Wakupe mkopo wako,mmalize kwa namna hiyo😂Ila ujue mjini shule 🏫,shamba darasa 🏃🏃Hapa nilipo Hali yangu sio nzuri naomba mniombee ,,katika harakati za kutafuta mtaji niliingia fb nikakuta tangazo la kukopeshwa fedha kwa liba nafuu (nikasema hii ndio fursa,nikachukue mawasiliano Yao wakanielekeza kuwa wanatoa mikopo kwanzia laki mbili Hadi Milion Kumi, kwa kuweka akiba sawasawa na akiba yako,,mie nikaweka 84000 ambayo nimekopa kwa rafiki yanguu ,,baada ya kutuma hawapokei Simu ,,Wala sms hawajibu !
Namba zao zipo ntaweka ushahidi hapa naomba mnisaidie nifanyee nn ili nipate haki yangu??View attachment 2665310
Hapo yaani matapeli hata hayajatumia akili kutekeleza majukumu Yao ila kazi Yao imefanyika 🤣🤣
Ila huyo rafiki yako atakuona kiraza🤔Msaada wetu ni Pole.
Pole sana Mkuu.
Cha msingi kwa sasa kaugulie maumivu ulipe deni la rafiki yako.
kajuaje kama katapeliwa wakati process ya mkopo inafanyika 🤣🤣🤣🤣.Usiwe na haraka bado wanachakata mkopo wako wakikamilisha mambo yatakuwa mbambamba.
unajua unachekesha sana binti.Kama hapan nilikosea wap View attachment 2665364
Dah Wale wale tenaKUTANA NAMI TATIBU CHINDO, Ni mbobevu wa tiba dua na dahwa kwa wale wenye shida mbali mbali za afya na hasa kwa walio dhurumiwa ama kuibiwa na hata kwa upotevu wa mali, ni ndani ya siku tatu(3) mali yako inakua imerudi mikononi mwako.
Karibu DM kwa maelezo zaidi.
Njoo ukiwa serious.
duh na wewe tena unataka umtie maumivu, haya ngoja aje pm.KUTANA NAMI TATIBU CHINDO, Ni mbobevu wa tiba dua na dahwa kwa wale wenye shida mbali mbali za afya na hasa kwa walio dhurumiwa ama kuibiwa na hata kwa upotevu wa mali, ni ndani ya siku tatu(3) mali yako inakua imerudi mikononi mwako.
Karibu DM kwa maelezo zaidi.
Njoo ukiwa serious.
Umewahi kufika kwenye ile michezo ya karata 3 au 3 Chafu ? Km hujawahi karibu Mjini hao wanaitwa Scammers wapo wa masuala ya kazi huko FB wamejaa hatari na hawachukuliwi hatua yoyote na wanaiba kila siku wanatapeli watu ukiona comments ni wao wenyewe wanacomment kujenga uaminifu kwa victims, hapo jipige kifua alafu sema Mimi ni mjinga nimeingizwa Mjini ukiweza nenda kawarogeKama hapan nilikosea wap View attachment 2665364
Ndio wanafanya hao wakopeshaji MATAPELI Na sasa wapo wengi SanaHapa nilipo Hali yangu sio nzuri naomba mniombee ,,katika harakati za kutafuta mtaji niliingia fb nikakuta tangazo la kukopeshwa fedha kwa liba nafuu (nikasema hii ndio fursa,nikachukue mawasiliano Yao wakanielekeza kuwa wanatoa mikopo kwanzia laki mbili Hadi Milion Kumi, kwa kuweka akiba sawasawa na akiba yako,,mie nikaweka 84000 ambayo nimekopa kwa rafiki yanguu ,,baada ya kutuma hawapokei Simu ,,Wala sms hawajibu !
Namba zao zipo ntaweka ushahidi hapa naomba mnisaidie nifanyee nn ili nipate haki yangu??View attachment 2665310
Sio kweli hao ni MATAPELIUsiwe na haraka bado wanachakata mkopo wako wakikamilisha mambo yatakuwa mbambamba.
TOA namba zaoHawapatikan,,Hali yangu ni mbayaa kwa Sasa natetemeka tu maana Hela nilipata kwa shida sana na kukopa nyingine