Naombeni msaada, nimetapeliwa

Naombeni msaada, nimetapeliwa

Hiyo elf 83 ya rafiki ako angekupa elf 20 tu ukatafuta location yenye watoto ukiwauzia vi barafu vi kacholi nk nk siku mbili hadi tatu ungerudisha hiyo 20 ya watu unaendelea na mishe zako mdogo mdogo....

Katika akili za kawaida tu ww unaweza kumpa mtu mkopo huku online humjui, hujui anakaa wapi, unampa tu??
Wajinga ndiyo waliwao

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hapa nilipo Hali yangu sio nzuri naomba mniombee ,,katika harakati za kutafuta mtaji niliingia fb nikakuta tangazo la kukopeshwa fedha kwa liba nafuu (nikasema hii ndio fursa,nikachukue mawasiliano Yao wakanielekeza kuwa wanatoa mikopo kwanzia laki mbili Hadi Milion Kumi, kwa kuweka akiba sawasawa na akiba yako,,mie nikaweka 84000 ambayo nimekopa kwa rafiki yanguu ,,baada ya kutuma hawapokei Simu ,,Wala sms hawajibu !
Namba zao zipo ntaweka ushahidi hapa naomba mnisaidie nifanyee nn ili nipate haki yangu??View attachment 2665310
Yaani unaibiwa kirahisi hivyo?
 
Siku zote ukiuanza mteremko kaa ukijua mbele kuna mlima., ogopa matepeli.
 
Mwigulu alipokuja na mpango wa kutoza Kodi matangazo ya mtandaoni ni kukusaidia moja kwa moja mtumiaji kutoka kwa makanjanja wa mitandaoni.

Kuweka Kodi ina maaana kubwa na pana zaidi kwa sababu udhibiti unakuwepo.

Hapo ndio basi tena hakuna anayeweza kukusaidia, kubali tu yaishe.
chadema wakapinga
 
Ushapigwa
bado hamini eti,,yani hata hakutaka kujiuliza je hao watu wamesajilia au vipi,ofice zao ni zipi nk
siku zote huwa na sema biashara za mtandaoni si za kuaminika kabisa.
tena ashukuru sana hakuwa na pesa nyingi angeshika kichwa nimejiuliza sana yani kwa hiyo pesa hata angekua na timiza ya airtel na kujiwekea akiba angeweza kupata mkopo ambao anaweza kulipa kidogokidogo bila ya manyanyaso
 
nimecheka sana eti ofisi ni kwajili ya wafanyakazi tuh hairuhusiwi kuingia kwa sababu za kiusalama

na bado ukawapa pesa ivi umelogwa!bank zinakua na pesa kiasi gani na bado watu wanaingia hukujiuliza hilo,maduka mangapi ya uwakala yanapesa wa watu wanaingia.

SIKU NYINGINE FUNGUA MACHO
 
Hapa nilipo Hali yangu sio nzuri naomba mniombee ,,katika harakati za kutafuta mtaji niliingia fb nikakuta tangazo la kukopeshwa fedha kwa liba nafuu (nikasema hii ndio fursa,nikachukue mawasiliano Yao wakanielekeza kuwa wanatoa mikopo kwanzia laki mbili Hadi Milion Kumi, kwa kuweka akiba sawasawa na akiba yako,,mie nikaweka 84000 ambayo nimekopa kwa rafiki yanguu ,,baada ya kutuma hawapokei Simu ,,Wala sms hawajibu !
Namba zao zipo ntaweka ushahidi hapa naomba mnisaidie nifanyee nn ili nipate haki yangu??View attachment 2665310
Hahaha karibu mjini
 
comments zilikuwa zao
Kama hapan nilikosea wap
Screenshot_20230622-143749.jpg
 
Back
Top Bottom