Naombeni msaada nimetapeliwa

Ungeleta 'hadithi' nzima hapa ili iwe fundisho hata kwa wengine kuchukua tahadhari.

Tukio kubwa namna hiyo unaishia kuleta picha tu bila hata kueleza tukio zima lilivyokwenda, pia kueleza ni location gani huko?
Story ya uwongo hii hujastuka tuu[emoji848][emoji848]

Kuna kitu kinatafutwa hapa
 
Humu JF tunawatahadharisha kila mara, na sio watoto wa LY ni watu wazima lkn utapeli acha watu wafunguke huwezi wazuia
Wengine ndio maana tunaangalia km wewe na tupite tu tusiwadhrau wenzetu
Juzijuzi nimeambulia matusi humuhumu JF tumewakumbusha wizi wa magari uliotokea kule Mtoni kwa Aziz Ally jamaa akalipata gari lililotapeliwa na Askari wenyewe kituo cha K
Nikaeleza nilivyotaka kuibiwa Kunduchi kwa Warioba
Bado mtu anaweka Gari na zake na simu yake UNASHINDWAJE kusearch wakati ukiingia TRA, Bima, Traffic utaiona hiyo Gari cha mwisho ni namba zake za simu kwani ndio registered na NIDA sasa vinapishana kwa hiyo huyo lazima atakuwa DALALI, lkn bado watu hawaelewi
Na madalali waliomo humu JF wa Magari wanakutishia eti kuna mama alichomew nyumba kwa kuharibu biashara hakutoa ulaji.
Ndio maana katokea mrangi na baadhi ya member wameshawatambua na Mleta Mada angeendelea kutupa Feedback Matapeli wangekimbia kwani kuingia JF ni bure
 
Mbona comment zingine huzijibu?
ukisoma post 202 ya mrangi ni kwamba jamaa watapatikana na tayari POLISI wanafuatilia, hawa Matapeli wanaweza mtoroka bunazi kupitia JF kwani hata vitochi vinafungua mtandao wa JF
 
#bunazi
Hebu eleza kwa kina,issie hii ili tujue pa kuanzia sasa wengine huku ni makachero wabaya sana. hapo ni eneo gani ? ndani ya Tanzania hii.
 

mambo ya ojsijeni kaka, kama ulikimbia kemistri huez elewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ujumbe mzito sana huu kwa wanaokusudia kununua magari nchini
 
Kino ni hatari mimi nanunua zebonga mana kuna mtu namjua miaka ndio humtumia,ila napo ukiingia kizembe unapigwa tu
 
Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.


Pole sana.
Ila ningeshauri ungetupa habari hii kwa undani kidogo ilikuwaje kuwaje hadi ukatapeliwa gari ili pia kutusaidia na sisi tusije ingia mikononi mwao.

NB:
Inaelekea ulifahamu kuwa utatapeliwa ndiyo maana ukawapiga hizo picha. Ripoti polisi ukiwsilisha hizo picha na namba zao za simu unaweza pata msaada zaidi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kino ni hatari mimi nanunua zebonga mana kuna mtu namjua miaka ndio humtumia,ila napo ukiingia kizembe unapigwa tu
Zebonga smart...
Unajua mm kna wakati nlikuwa nalenga sana magari kuuza nlikutana na kila Aina ya style
Kuanzia watu wa magomeni chipolopolo, lumumba, Biafra, Catalunya etc
Yaani ukijipindua unaweza uziwa Gari la moto

Ova
 
Aisee huu mji na matapeli kazi kweli juzi nimetoka kupata info za big mama mmoja nimeishi nae mtaani zaidi ya miaka mitatu kumbe issue zake za utapeli magari tena hao ndo balaa.

Wanakodi gari kwa Car rental wakiaminiwa wanafogi kila kitu kuhusu gari kisha wanauza msala unabaki kwa alieuziwa issue yao ya mwisho wamemuuzia mjeda gari za kukodi kama nne hivi na utapeli wa mitandaoni ndo yao anatafutwa kama pesa sasa hivi sjui katokomea wapi na hawa jamaa wana connection kubwa na polisi na waganga nguli unaowajua.

Utawapata tuu ila next time kuwa makini unapotaka kununua gari yard nenda ofisini jiridhishe kwa kila kitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…