huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..
Kitambi cha wizi,
anaangalia kiwizi,
kakaa kiwizi wizi,
hata miwani amevaa kihuni......
Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)
Ukimshtua kina nyweaa
Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
Usikute hata hayo maji kayatapeliii
That's why I like you. Una moyo wa pekee dear.Msimcheke hapa tu najaribu kumpa tag
Kwa kifupi alipelekwa kwenye yard iliyoko Morocco.... Huko ndiko alipopigwa
Ila Mpaka dakika hii jamaa a napambana na polisi na mwenye yard
Jamaa ashapewa a, b, c za kufata ili awapate Hao matapeli
Ningekuwa dar ningeinunua kesi hiyo Yaani mpaka kesho saa nane kingeshaeleweka
Ova
Msimcheke hapa tu najaribu kumpa tag
Kwa kifupi alipelekwa kwenye yard iliyoko Morocco.... Huko ndiko alipopigwa
Ila Mpaka dakika hii jamaa a napambana na polisi na mwenye yard
Jamaa ashapewa a, b, c za kufata ili awapate Hao matapeli
Ningekuwa dar ningeinunua kesi hiyo Yaani mpaka kesho saa nane kingeshaeleweka
Ova
Kwetu wanasema, Hata kichungu ule na wenzio. Yeye katapeliwa anatamani nanyi mtapeliwe ili aseme; Kifo cha wengi ni harusi. Hatakuambia alivyolizwaWw ungeeleza hapa imekuwakuwaje,
Sasa unasema tu et umetapeliwa ki vp sasa??
Katibu wa kitengo flani humu ndani okoa jahazi la jombaa aisee!! Wengine timeishia kuwaza gari hewa ni la aina gani.Msimcheke hapa tu najaribu kumpa tag
Kwa kifupi alipelekwa kwenye yard iliyoko Morocco.... Huko ndiko alipopigwa
Ila Mpaka dakika hii jamaa a napambana na polisi na mwenye yard
Jamaa ashapewa a, b, c za kufata ili awapate Hao matapeli
Ningekuwa dar ningeinunua kesi hiyo Yaani mpaka kesho saa nane kingeshaeleweka
Ova
Alipelekwa yard inavyonekana Kuna mchezo alifanyiwa pale yard...... WalimpangaKatibu wa kitengo flani humu ndani okoa jahazi la jombaa aisee!! Wengine timeishia kuwaza gari hewa ni la aina gani.
Kumbe mojawapo ni huyo uliyemtaja?
Walimtapeli marehem mama yangu.Mimi kila sikua nakutana na watu wanaouza madini...
Ngoja nijichunge sana
Tapeli fala km huyo sijui hata infikaje anakutapeliYaani ukafanya biashara na sura kama hizo🤣🤣🤣
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeli😂😂
Usirudie ujinga huo tena.
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23]