Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 2,052
- 4,341
- Thread starter
-
- #81
Kwa style hii ni ngumu sana , kwa maana hiyo mabalozi wetu wanaowakilisha nchi zetu hakuna kazi wanafanya sasaMsaada ni wao kwa wao tu ulitarajia mabalozi na maafisa ubalozi ambao kigezo chake ni kuwa kada wa CCM au mzazi wake alikuwa mtu fulani sasa mtoto hupewa kama zawadi ndio waje wakupe msaada?
Ukipata tatizo ukiwa nje ya nchi watanzania wenzako ndio watakua wa kwanza kukusaidia kuliko hao makada wa CCM ofisi za ubalozi.Kwa style hii ni ngumu sana , kwa maana hiyo mabalozi wetu wanaowakilisha nchi zetu hakuna kazi wanafanya sasa
Daah nchi ngumu hiiUkipata tatizo ukiwa nje ya nchi watanzania wenzako ndio watakua wa kwanza kukusaidia kuliko hao makada wa CCM ofisi za ubalozi.
I once heard thisHii ndiyo kazi inayomuweka mjini Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu.
3 years ago alikuwa na mgogoro mkubwa sana na issue hii ya wafanyakazi aliowapeleka
🤣I once heard this
Ungenisoma vizuri na kunielewa nilicholenga usingekuja na hili la kutafuta kuhamisha hoja..Tatzo nikuwa wanaenda nchi ya kiarabu ambayo hamuwapendi nasio kaz wala lolote
Uzi umejaa chuki bila uhalisia
Hakuna kaz ya unskilled na skilled inayolipa mshahara mzuri kuliko hiyo nchi wanayoenda kwa kaz hiyohiyo na level ya elimu hiyohiyo na kama ipo itaje
Wangeenda uingereza ungesema haya?Ungenisoma vizuri na kunielewa nilicholenga usingekuja na hili la kutafuta kuhamisha hoja..
Lakini pamoja na hilo, kwa vile unahamishia hoja huko, ukweli ni kwamba waafirika wanaokwenda kufanya kazi kwenye nchi hizo hudhalilishwa sana; hili lipo wazi.
Wewe shida yako ni nini, mshahara mzuri huku ukidhalilishwa na kutwezwa utu wako?
Nchi hii imekosa kitu gani cha kuwezesha watu kujenga maisha bora kabisa, huku wakiheshimika duniani kote.
Mtwala anashindwa hata kufanya mipango tu ya wananchi wake kunufaika na mapori chungu nzima yaliyopo hapa, anaamua kuyagawa kwa hao hao wanakopelekwa watwana hawa; badala ya kuwajengea uwezo wa kuendesha mapori yao ili yawanufaishe wao huku wakilinda heshima zao?
Huu ni uongozi wa namna gani huu?
Mtemvu alianza zamani sana akiwa mbunge kufanya hii biashara ya " human trafficking" lakini kama ilivyo kwa biashara ya madawa ya kulevya, wanatumia mwanvuli wa ccm kujikinga na kufanya biashara hizo haramu!!Hii ndiyo kazi inayomuweka mjini Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu.
3 years ago alikuwa na mgogoro mkubwa sana na issue hii ya wafanyakazi aliowapeleka
Wangeenda uingereza ungesema haya?
Hata wangeenda mbinguni na kunyanyaswa, na kudhalilishwa utu wao ningesema..Wangeenda uingereza ungesema haya?
umemaliza kila kitu..well said.Ukiangalia idadi yao wengi wao ni wanawake ambao wanakwenda huko kuwa watumwa wa kufanya kazi za ndani za uboi kwa mateso sana!! Wengine huko hudhalilishwa na hawa waarabu mpaka kuwalazimisha kuingiliwa na mbwa kwa ujira kiduchu wanaopata!!
Ni serikali mufilisi inayodhani kupeleka nguvu kazi yake Uarabuni inatatua tatizo la ajira nchini mwao!! Kuwa na uongozi wenye vision ndio suluhisho la matatizo ya ajira nchini. Kuwapeleka vijana Uarabuni ni sawa na kufanya biashara ya kuwauza binadamu kama watumwa!! No difference at all.
🤣🤣🤣Nimequote wewe au unajistukia au una ID mbili