Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,849
- 3,756
- Thread starter
- #41
HAkuna mkuuUmeona Nchi gani wamefanya hivyo kuwachukua wadada wawaage wawapeleke kwa wahuni huko aisee daah kazi ipo..
HAkuna mkuuUmeona Nchi gani wamefanya hivyo kuwachukua wadada wawaage wawapeleke kwa wahuni huko aisee daah kazi ipo..
🤣🤣🤣🤣Baadae Oman wanawapa Jeep Wrangler kama zawadi.
Aisee
Wakifika hawatoamini , hilo ni dili la fisadi mmoja wa CCM kuexchange vijana wa watu sababu wako desperate tu.Sasa hapo kwenye picha ndio boda boda wenyewe sasa wa mama kizmkazi
Huzuni sanaWakifika hawatoamini , hilo ni dili la fisadi mmoja wa CCM kuexchange vijana wa watu sababu wako desperate tu.
Hilo dili la kazi kwanini viongozi wa CCM hakuna mtoto wao humo hata mkoja kwenye kundi hujajiuliza?
Kwa GCC , kama sio expat ambaye upo skilled au katika zile kazi zenye kipaumbele basi utateseka mfumo wao kazi haukupi flexibility ni full time hapo tofauti na EU au America, utapiga kazi zako tofauti ni wewe tu na nguvu zako hata chances za kujiendeleza kitaaluma ni kubwa kuliko huko GCC.
Ukiangalia idadi yao wengi wao ni wanawake ambao wanakwenda huko kuwa watumwa wa kufanya kazi za ndani za uboi kwa mateso sana!! Wengine huko hudhalilishwa na hawa waarabu mpaka kuwalazimisha kuingiliwa na mbwa kwa ujira kiduchu wanaopata!!
Ni serikali mufilisi inayodhani kupeleka nguvu kazi yake Uarabuni inatatua tatizo la ajira nchini mwao!! Kuwa na uongozi wenye vision ndio suluhisho la matatizo ya ajira nchini. Kuwapeleka vijana Uarabuni ni sawa na kufanya biashara ya kuwauza binadamu kama watumwa!! No difference at all.
Wengi wao, kama siyo wote kwenye meza ni wanawake.View attachment 3534824
Wakuu Samahanini kwenye hii picha nimeitoa kwenye ukurasa wa ofisi ya waziri mkuu wakisema kuwa picha hii ni vijana waliokuwa wanaagwa na kwenda kufanya kazi ya boda boda huko UAE ama falme za kiarabu .
Swali: Hawa kweli ni vijana wanaoenda kuendesha boda boda uarabuni na je ni kweli uarabuni kuna uhitaji wa bodaboda na je biashara hii inalipa sana huko?
Kwa vile wewe ni kima, nilitaka kukujibu kwa stahiki ya ki-kima. Lakini kwa heshima ya wasomaji wa jukwaa hili; ngoja tu nikufahamishe kuwa kuna kazi nzuri kabisa na zenye pato zuri hapahapa nyumbani.Acha upumbavu wakristo wa kenya na Uganda wamejazana uko uarabuni tele we endelea na taarab wenzio wakirud Wana nyumba 3 kibit wewe unaendelea na kupanga chumba singo gongo la mboto kodi 30k
Inashangaza kwa kweli.Baadae Oman wanawapa Jeep Wrangler kama zawadi.
Ndugu uliwahi kuangalia vipindi vya 'comedy show' waigizaji walikuwa Joti,Masanja,Mpoki n.k. kwenye luninga mbalimbali?View attachment 3534824
Wakuu Samahanini kwenye hii picha nimeitoa kwenye ukurasa wa ofisi ya waziri mkuu wakisema kuwa picha hii ni vijana waliokuwa wanaagwa na kwenda kufanya kazi ya boda boda huko UAE ama falme za kiarabu .
Swali: Hawa kweli ni vijana wanaoenda kuendesha boda boda uarabuni na je ni kweli uarabuni kuna uhitaji wa bodaboda na je biashara hii inalipa sana huko?
Ndiyo. Lakini siyo bodaboda unayoijua wewe, ni bodaboda iliyopo katikati ya miguu ya mwanaume.Swali: Hawa kweli ni vijana wanaoenda kuendesha boda boda uarabuni?
Nimekuelewa mkuu shukuraniWengi wao, kama siyo wote kwenye meza ni wanawake.
Unapoambiwa "kazi ya bodaboda" na ukiwa unaona uhalisia wa picha ulivyo; ichukulie hiyo "kazi ya bodaboda" kwa maana nyingine.
Sasa sijui kama utanielewa.
Kuna kazi zisizotakiwa kutamkwa, umeelewa?
🤣🤣🤣🤣 sawa mkuu nimekuelewaNdiyo. Lakini siyo bodaboda unayoijua wewe, ni bodaboda iliyopo katikati ya miguu ya mwanaume.
Duuh sawa mkuuNdugu uliwahi kuangalia vipindi vya 'comedy show' waigizaji walikuwa Joti,Masanja,Mpoki n.k. kwenye luninga mbalimbali?
Kama hukuwahi haya ni marudio yake.
Ameen🙏🤝Kwa vile wewe ni kima, nilitaka kukujibu kwa stahiki ya ki-kima. Lakini kwa heshima ya wasomaji wa jukwaa hili; ngoja tu nikufahamishe kuwa kuna kazi nzuri kabisa na zenye pato zuri hapahapa nyumbani.
Huyo anayekufuga wewe kama kima, Samia Suluhu Hassananatakiwa kujibu shutuma za kuwaweka waTanzania katika utwana wa namna hii. Huyu na Genge lake; ambao ndio wanaowafuga wanyama kama wewe, kuna siku watajibu upumbavu huu wanaowafanyia waTanzania.
Mungu saidia nchi yanguInashangaza kwa kweli.
Nimekuelewa mkuu Kalamu nadhani hizo zinazoonekana kwenye picha ndiyo bodaboda zenyewe, zinapelekwa kwa waendeshajiWengi wao, kama siyo wote kwenye meza ni wanawake.
Unapoambiwa "kazi ya bodaboda" na ukiwa unaona uhalisia wa picha ulivyo; ichukulie hiyo "kazi ya bodaboda" kwa maana nyingine.
Sasa sijui kama utanielewa.
Kuna kazi zisizotakiwa kutamkwa, umeelewa?
Tatzo nikuwa wanaenda nchi ya kiarabu ambayo hamuwapendi nasio kaz wala loloteKwa vile wewe ni kima, nilitaka kukujibu kwa stahiki ya ki-kima. Lakini kwa heshima ya wasomaji wa jukwaa hili; ngoja tu nikufahamishe kuwa kuna kazi nzuri kabisa na zenye pato zuri hapahapa nyumbani.