Naombeni msaada kwenye picha hii

Naombeni msaada kwenye picha hii

Hao wanaenda kufanya kazi za ndani huko sema Serikali inatoa kibali hicho cha boda boda maana bila kibali hata wakiwa na tiketi hawatoki Julius Nyerere terminal 3 hao sema sijapenda Serikali kuwatupa watu wake kwa waarabu na watu wenyewe sio poa kabisa aisee..
 
Ndio nchi yetu hii mkuu
 
Acha upumbavu wakristo wa kenya na Uganda wamejazana uko uarabuni tele we endelea na taarab wenzio wakirud Wana nyumba 3 kibit wewe unaendelea na kupanga chumba singo gongo la mboto kodi 30k
Wakenya na Waganda wanaokwenda huko wamesoma na hawafanyi kazi za kiboi!! Ndio maana ukisafiri na kupitia sehemu kama DOHA International Airport utawakuta wanafanya kazi ya security pale airport!!! These are educated people sio hawa wanaodanganywa kuwa wanakwenda kuendesha Bajaj na waziri mkuu nae anakubali!!
 
KWahyo wazir mkuu muongo iLa wewe ndo unasema kweli?
 
Ndio boda boda hao
Nchi zote za GCC nimewahi kutembew kwa muda fulani , hao mnaoita boda boda kama kubeba abiria kule hawafanyi kama usafiri bali ni kufanya delivery ya huduma na bidhaa , kuna kampuni kama Talabat , Careem n.k

Halafu sikuona mwanamke hata mmojs kama dereva .
 
Sasa hapo kwenye picha ndio boda boda wenyewe sasa wa mama kizmkazi
 
Back
Top Bottom