Naombeni msaada kwenye picha hii

Sasa hapo kwenye picha ndio boda boda wenyewe sasa wa mama kizmkazi
Wakifika hawatoamini , hilo ni dili la fisadi mmoja wa CCM kuexchange vijana wa watu sababu wako desperate tu.

Hilo dili la kazi kwanini viongozi wa CCM hakuna mtoto wao humo hata mkoja kwenye kundi hujajiuliza?

Kwa GCC , kama sio expat ambaye upo skilled au katika zile kazi zenye kipaumbele basi utateseka mfumo wao kazi haukupi flexibility ni full time hapo tofauti na EU au America, utapiga kazi zako tofauti ni wewe tu na nguvu zako hata chances za kujiendeleza kitaaluma ni kubwa kuliko huko GCC.
 
Huzuni sana
 

History ignored,now it is repeating itself 😓😓
 
Wengi wao, kama siyo wote kwenye meza ni wanawake.

Unapoambiwa "kazi ya bodaboda" na ukiwa unaona uhalisia wa picha ulivyo; ichukulie hiyo "kazi ya bodaboda" kwa maana nyingine.

Sasa sijui kama utanielewa.

Kuna kazi zisizotakiwa kutamkwa, umeelewa?
 
Acha upumbavu wakristo wa kenya na Uganda wamejazana uko uarabuni tele we endelea na taarab wenzio wakirud Wana nyumba 3 kibit wewe unaendelea na kupanga chumba singo gongo la mboto kodi 30k
Kwa vile wewe ni kima, nilitaka kukujibu kwa stahiki ya ki-kima. Lakini kwa heshima ya wasomaji wa jukwaa hili; ngoja tu nikufahamishe kuwa kuna kazi nzuri kabisa na zenye pato zuri hapahapa nyumbani.

Huyo anayekufuga wewe kama kima, Samia Suluhu Hassananatakiwa kujibu shutuma za kuwaweka waTanzania katika utwana wa namna hii. Huyu na Genge lake; ambao ndio wanaowafuga wanyama kama wewe, kuna siku watajibu upumbavu huu wanaowafanyia waTanzania.
 
Ndugu uliwahi kuangalia vipindi vya 'comedy show' waigizaji walikuwa Joti,Masanja,Mpoki n.k. kwenye luninga mbalimbali?

Kama hukuwahi haya ni marudio yake.
 
Nimekuelewa mkuu shukurani
 
Ameen🙏🤝
 
Nimekuelewa mkuu Kalamu nadhani hizo zinazoonekana kwenye picha ndiyo bodaboda zenyewe, zinapelekwa kwa waendeshaji
 
Tatzo nikuwa wanaenda nchi ya kiarabu ambayo hamuwapendi nasio kaz wala lolote

Uzi umejaa chuki bila uhalisia

Hakuna kaz ya unskilled na skilled inayolipa mshahara mzuri kuliko hiyo nchi wanayoenda kwa kaz hiyohiyo na level ya elimu hiyohiyo na kama ipo itaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…