Naombeni msaada kuhusu huu utata ulipo kwenye dini

ngoja namim niulize;-
  • lile sanduku lilikua na nin ndani?
  • kwa sasa lile sanduku lile lipo wapi? na linatumikaje?
Mpaka hivi sasa hakuna ajuaye lile sanduku lipo wapi wapo wanaosema lilifukiwa(kufichwa) wengine wanasema liliibiwa na kuharibiwa inshort limekuwa kama kuondoka kwa musa

Na pia wapo wanaosema sanduku la agano halikutakiwa kukutana na yesu nayo inabebwa na ile dhana ya siku yesu anakata roho pazia la hekalu lilipasuka na sehem takatifu ikaonekana
 
Jibu swali wacha mbwembwe.
Kama hadi idadi ya watakao ingia kwenye hyo milango inajulikana unashindwaje kunijibu swali jepesi hili?

Umezungumza kabla ya hayo makabila 12...jibu lake ni ndio watakuwepo ila haijulikani kama watapitia hukumu gani kwa maana enzi zao walikua wanaokolewa kwa kufata sheria ila kizazi cha baada ya yesu hakipo chini ya zile sheria

Biblia inasema zamani zile za ujinga mungu alijifanya haoni dhambi zenu lakini sasa tubuni
Idadi inajulikana wapi unajua kuwa watoto wadogo wote wafao wanaingia peponi tena kote duniani mtoto hata wa muislamu akifa labda ana miaka miwili au mitatu au chini ya hapo wote ni peponi moja kwa moja sasa hiyo idadi yako umeitoa wapi ufunuo ni fumbo ...mingu anaweza kutaja moja akamaaanisha elfu moja na akasema elfu moja akamaanisha moja
 
Mh kwakweli hapo siwezi kutia neno dhambi nyingne zinaepukika
Mkuu kwa kukupa tu faida ndogo kina paulo waliingiza upagani kwenye dini ya masihi mwana wa Maryam na ndio haya unayoyaona leo, huko kale wakristo walikuwa wanaswali na kusujudu na walimuabudu muumba mmoja na si watatu kwa vigawanyo vya dhulma, maana mwana na roho mtakatifu wamechukua credit zote na ukiwahoji zaidi wanakwambia huyu mwana ndo yuleyule baba amekuja tu kwa umbile la binadamu.

Kiukweli itikadi ya wakristo wa leo ni ya kuhurumiwa sana.
 
Idadi inajulikana wapi unajua kuwa watoto wadogo wote wafao wanaingia peponi tena kote duniani mtoto hata wa muislamu akifa labda ana miaka miwili au mitatu au chini ya hapo wote ni peponi moja kwa moja sasa hiyo idadi yako umeitoa wapi ufunuo ni fumbo ...mingu anaweza kutaja moja akamaaanisha elfu moja na akasema elfu moja akamaanisha moja
Kumbe kama ni fumbo basi nadhani hatuwezi kujadiliana hapa kwasababu hakuna ishara yakwamba wewe ndo umepatia kulifumbua hilo fumbo......

Soma vizuri biblia kijana hiyo hoja ya watoto wachanga wao watarudi enzi za mpinga kristo nao watajaribiwa
Yesu atakaporudi kabla ya hukumu wale waliotenda mema watafufuka na pia yesu atatawala duniani kwa miaka 1000 yenye amani baada ya hapo joka atafunguliwa kuwajaribu binadam na ndio ukaja msemo wa kwamba laiti kama zile siku zisingepuzwa basi hakuna hata mmoja ambaye angeokoka
 
Kumbe kama ni fumbo basi nadhani hatuwezi kujadiliana hapa kwasababu hakuna ishara yakwamba wewe ndo umepatia kulifumbua hilo fumbo......

Soma vizuri biblia kijana hiyo hoja ya watoto wachanga wao watarudi enzi za mpinga kristo nao watajaribiwa
Logic nduyo kipimo ...jibu sahihi lina fitti na kuleta unjmyoofu wa maandiko ...kama vp uliza maswali yakiyo njrme ya ufunuo ...ila mimi ufunuo naujua
 
ngoja namim niulize;-
  • lile sanduku lilikua na nin ndani?
  • kwa sasa lile sanduku lile lipo wapi? na linatumikaje?
Torati ya musa na injili ya masihi hivi vitabu havina kinga ya kutokubadilishwa, hivyo watu wameingiza sana mikono yao, na wametoa na kubadili na kuficha mengi na wakati wake umeshapita, na vitabu hivyo havikuteremshwa kwaajili ya wamwera wa ndandawala.
 
Logic nduyo kipimo ...jibu sahihi lina fitti na kuleta unjmyoofu wa maandiko ...kama vp uliza maswali yakiyo njrme ya ufunuo ...ila mimi ufunuo naujua
Hayo ya ufunuo utakua unanisumbua tu maana kila kitu unakimbilia ni fumbo na mm nimeshakwambia sitaki tujadiliane mambo ya mafumbo kwasababu hakuna ishara inayoonesha nani yupo sahihi
 
Kwa kuwa ni dini za watu ni lazima kuwe na utata. Mungu wa kweli yupo mahali anawasanifu tu, hakuna dini ya Mungu hata moja. Mf. Uislam ni utamaduni wa kiarabu na ukristu ni utamaduni wa kizungu. Niwashauri wenzangu Waafrika, mtafute Mungu wa kweli kwa kutumia mababu wetu. Tulidangamywa mababu zetu ni mizimu mibaya nasi tukaitikia kama mazuzu. Tuondoe uzuzu!!!
 
Hayo ya ufunuo utakua unanisumbua tu maana kila kitu unakimbilia ni fumbo na mm nimeshakwambia sitaki tujadiliane mambo ya mafumbo kwasababu hakuna ishara inayoonesha nani yupo sahihi
Kama siyo fumbo au hakuna mafumbo basi niambie yesu aliposema ni lazima wamle mwili wake na damu yake alimaanisha mwili na damu halisi au la?
 
Mkuu kwa kukupa tu faida ndogo kina paulo waliingiza upagani kwenye dini ya masihi mwana wa Maryam na ndio haya unayoyaona leo, huko kale wakristo walikuwa wanaswali na kusujudu na walimuabudu muumba mmoja na si watatu kwa vigawanyo vya dhulma, maana mwana na roho mtakatifu wamechukua credit zote na ukiwahoji zaidi wanakwambia huyu mwana ndo yuleyule baba amekuja tu kwa umbile la binadamu.

Kiukweli itikadi ya wakristo wa leo ni ya kuhurumiwa sana.
Mkuu ukisema hivyo hata quran tunaweza kusema imetiwa mikono

Kwasababu mtume Muhammad mpaka anafariki hakuacha msaafu bali alikuwa ametawanya ufunuo aliokuwa ameshushiwa kwenda kwa maswahaba.

Msahafu uliandikwa chini ya khalifa wakwanza ambaye alikua abubakar na mwishoni ukaandikwa nakala nyigi chini ya khalifa watatu na ndio ikawa mwanzo wa kuenea msahafu.....hivyo hatujui kama walioandika walitia mikono kwa kuongeza ama kupunguza

Ni sawa na kwa yesu yeye hakuacha nakala yoyote bali alitawanya mafundisho yake kwa watu wengi

Ukisoma kitabu cha luka ule ulikua ni uchambuzi ambao theofilo alitaka kujua kuhusu habari za yesu hivyo luka akaingia kazini kuutafuta ukweli na alivyoupata ndio akamwandikia hiyo barua ambayo kwa sasa tunaita kitabu cha luka
 
Kama siyo fumbo au hakuna mafumbo basi niambie yesu aliposema ni lazima wamle mwili wake na damu yake alimaanisha mwili na damu halisi au la?
Kumbuka alisema FANYENI HIVI KWA KUNIKUMBUKA MIMI....inamaana wakiwa wanakula mkate na divai tafsiri yake watakuwa wamekula mwili wake na kuinywa damu yake
 
Ni fumbo au siyo fumbo ?
Pia umechanganya kula mkate na divai skumeingizi mtu peponi wanaofanya ufanya kwa kumbukumbu tu ila kula meili wa kristo na damuyake ni zaidi ya dovai na mkate maana yesu kasema ndiyo wataokoka watakao kula meili wake na damu yake ...sasa nitakupa maana ya ilo fumbo ...mwili ya yesu ni matendo mema aliyo fundisha yesu na damu yake ni kuwa na moyo safi wa Kristo yaani kumpokea kristo moyoni na kutenda matendo sawa na kristo...hiyo divai na mkate ni kumbukumbu tu
 
Hyo tafsiri yako umeitolea wapi ndugu sio kila kitu ni fumbo yesu alikuwa akiwa na wanafunzi wake akitoa fumbo lazima afafanu sasa hiyo kula mwili wake ilikua sikukuu ya mikate(kwa wakat huo) kwahiyo alivyokuwa anawaaga akawa anawaachia dondoo za mwisho mwisho

Sio kila kitu ni fumbo ndo mana kuna sehem yengine zimemika mpaka lugha ngumu
(Wafiraji hawataingia peponi) kwenye bible imeandikwa straight
 
Mkuu ukisema hivyo hata quran tunaweza kusema imetiwa mikono

Kwasababu mtume Muhammad mapaka anafariki hakuacha msaafu bali alikuwa ametawanya ufunuo aliokuwa ameshushiwa kwenda kwa maswahaba.

Msahafu uliandikwa chini ya khalifa wakwanza ambaye alikua abubakar na mwishoni ukaandikwa nakala nyigi chini ya khalifa watatu na ndio ikawa mwanzo wa kuenea msahafu.....hivyo hatujui kama walioandika walitia mikono kwa kuongeza ama kupunguza

Ni sawa na kwa yesu yeye hakuacha nakala yoyote bali alitawanya mafundisho yake kwa watu wengi

Ukisoma kitabu cha luka ule ulikua ni uchambuzi ambao theofilo alitaka kujua kuhusu habari za yesu hivyo luka akaingia kazini kuutafuta ukweli na alivyoupata ndio akamwandikia hiyo barua ambayo kwa sasa tuika kitabu cha luka
Qu'ran haina nukta ya neno la mwanadamu na imehifadhiwa kwa kinga ya hali ya juu hakuna kiumbe kinachoweza kubadili chochote mle na imebaki ilivyo kwa karne zaidi ya 14 sasa, ama kuhusu uandishi wa Qu'ran hiyo imeandikwa chini ya waandishi wa mtume swala na amani ziwe juu yake.

Usichokijua Qu'ran imeshuka kwa herufi saba tofauti za kiarabu, na ndio maana wanawachuoni wameandika vitabu kuhusu viraa saba, ama ukusanyaji umefanywa na maswahaba waongofu na makhalifa wake yeye mtume muhammad aliotushuhudia yeye mwenyewe uaminifu wao.

Walichokifanya wao ni kuchukua authentic notes kutoka kwa wale waandishi na kukusanya pamoja maana zama hizo aina ya uhifadhi iliyokuwa inategemewa ni kuweka kifuani na si kwenye maandishi, sasa ilipokuwa wengi waliohifadhi wanakufa vitani ndio rai hiyo ya kukusanya msahafu kutoka kwao na waandishi waaminifu ikapita.

Na haya yote yalifanywa chini ya uangalifu mkubwa, na wasomaji wa Qu'ran walikuwa wangali wengi sana katika maswahaba na Qu'ran yenyewe imetoa challenge kama kuna mtu anaweza kuleta mfano hata wa aya moja na si mtu tu hata watu wote wakusanyike hawatoweza.

Na ukitaka kuamini hilo kwenye Qur'an hakuna kosa hata moja la uandishi la kilugha wala la kujigonga, na ni muhali kwa maandishi ya wanaadamu kukosekana na makosa, tangu hapo zamani Qu'ran imetunzwa na ukibadili hata herufi moja kwenye kuisoma wenye Qu'ran yao wanakukosoa na kitabu hiki kinahifadhiwa kifuani chote kwa sura zake 114 na juzuu zake zote 30 na waislamu wengi tu, na wanarithishana kizazi na kizazi.

Ni makosa makubwa na utovu mkubwa wa adabu na uchache wa kufanya tafiti kusema Qu'ran ina neno la mtu, hata nukta kama ipo ya ushahidi leta mimi niko hapa kujadili mada hii.

"Sema: lau wangelikusanyika watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'an basi hawatoleta
mfano wake, ijapokuwa wakisaidiana wao kwa wao."

Qu'ran 17:88

"Au wanasema ameizua? sema: Basi ninyi leteni sura moja tu mfano wake na muwaite (kukupeni msaada) mnaowaweza isipokuwa Allah, ikiwa nyinyi mnasema kweli."

Qu'ran 10:38

Zimepita karne kumi na nne na ziada na wamepita wabobezi wa kila namna katika dunia smartest intellectuals na hawajaweza kuleta hata mstari mmoja wachilia mbali sura nzima, bali unachopaswa kujua torati, injili, zaburi na vingine tusivyopewa habari zake vyote pamoja na hii Qur'an vyote vimetoka kwenye single source na maneno haya kwa uhakika ni:-

".......uteremsho kutoka kwa mwenye hekima, mwenye kusifiwa!."

Qu'ran 41:42
 
Mkuu hongera kwakuwa hiyo ni dini yako siwezi tia neno kwasabu ulichofundishwa na kujifunza siwezi kukibalisha mpaka aje yule aliyekufundisha aseme neno ndio utamuelewa
 
Kasome yesu alipo waambia kuwa
Hyo tafsiri yako umeitolea wapi ndugu sio kila kitu ni fumbo yesu alikuwa akiwa na wanafunzi wake akitoa fumbo lazima afafanu sasa hiyo kula mwili wake ilikua sikukuu ya mikate(kwa wakat huo) kwahiyo alivyokuwa anawaaga akawa anawaachia dondoo za mwisho mwisho

Sio kila kitu ni fumbo ndo mana kuna sehem yengine zimemika mpaka lugha ngumu
(Wafiraji hawataingia peponi) kwenye bible imeandikwa straight
Kasome yesu aliwaambia wasipo kula mwili wake na kuinywa damu yake awawezi kuokoka siyo hiyo ya kukumbuka ...k7na mambo mawili unachanganya kula mwili na damu ya yesu kwa ajili ya WOKOVU na kula mkate (mwili) na kunya divai (damu) kwa ajili ya KUMBUKUMBU
 
Mpaka hivi sasa hakuna ajuaye lile sanduku lipo wapi wapo wanaosema lilifukiwa(kufichwa) wengine wanasema liliibiwa na kuharibiwa inshort limekuwa kama kuondoka kwa musa

Na pia wapo wanaosema sanduku la agano halikutakiwa kukutana na yesu nayo inabebwa na ile dhana ya siku yesu anakata roho pazia la hekalu lilipasuka na sehem takatifu ikaonekana
nina shaka na hawa viongoz wakubwa wa dini, huenda wanafaham
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom