Naombeni mawazo na jinsi ya kufanya

Naombeni mawazo na jinsi ya kufanya

Watanzania sisi ni wagumu sana kulipa utafilisika bure tu
 
Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama unaweza nisaidia naomba Kuni pm unipe ushauri Zaidi wa kuandaa izo form za online na kama nitaijika kwenda kwani Kusajiri hii biashara naomba maelekezo Asante🙏🙏🙏
Hapo kwenye Liba. Liba..
 
Anz kunkopesha ata lak 500,000/_ nijue kam unajua kudai
 
Kabla ya kukopesha hakikisha unajua mchakato na maeneo ya hatari kwa pesa yako.

Tafuta vibali na tengeneza mchakato kwa kuzingatia soko na sheria

Ni heri kubaki na pesa zako kuliko kutoa pesa halafu ukazipoteza
 
Back
Top Bottom