Maisha na afya
Senior Member
- Feb 6, 2025
- 168
- 274
Niko katika Hali mbaya naombeni ushauri wenu.
Mm ni mwanachuo mwaka wa pili Bachelor of science in nursing.
Chuo kikuu kilichopo Dodoma (private), ambapo nalipa Ada 3M. +compulsory charges(350k). Jumla Kwa mwaka ni kama 3.4M. Hapo ni Ada na compulsory charges.
Bado hela ya Kula mwenyewe kuandaa Kazi,na Kodi(almost huwa najibana natumia 500k Kwa mwaka).
HESLB(bodi ya mikopo) imenipa boom pekee yaani MA, ambayo ni Sawa na laki7 baada ya miezi miwili total 2.8M.
Ukizingatia uchumi wa nyumbani mbaya mama pekee ndo anapambana kulima hapa na pale na kuna wadogo zangu pia wanasoma kile kinachopatikana ndo tunagawana ivoivo...
Imefikia wakati mimi nawaza hadi nashindwa kufanya KAZI(ukizingatia nipo field saivi).
Hela ya chakula hamna, huko nilikopanga na kwenyewe ananidai Kodi, Nguo toka mwaka Jana likizo ya mwezi wa 10 sijawahi nunua hata ya kubadilisha, boom lote sijawahi gusa hata Mia lote nalipaga Ada ya chuo.
Kwaninni nimekuja kwenu JF?
1. Toka juzi nawaza nisubirie boom ya Kwanza na ya pili itoke ambapo ni Sawa na 1.4M. Niachane na chuo nianze biashara ambayo inaweza kunipa faida ata ya elfu 30 Kwa siku ambapo Kwa mwezi NI kama laki 9.
Hiyo pesa ni zaidi ya mshahara wa NO aliye na leseni.
Kwasababu siwezi kujigharamia mwaka ujao ambao ni wa 3 na wa 4 kwangu otherwise nitafail nakuishia kucarry vibaya.
2. Kama kunauwezekano wa kupata sponsor ambaye anaweza ni-sponsor 1m Kwa mwaka nikamalizia nita-pay nikimaliza nipo tayari kwa dodoso na kusikiliza zaidi; nahitaji Msaada.
Naombeni mawazo na ushauri wenu najua kuna watu huenda wamepitia Hali kama hii ...au unaweza kunisaidia kuvuka hapa.
Siko Sawa Kwa kweli kukimbia chuo kuko karibu Sana.
Karibuni kwa mawazo yenu; nitafurahi sana endapo nitapata solution kupitia hili jukwaa.