Naomba ushauri nimevamiwa baa.

Naomba ushauri nimevamiwa baa.

leo lazima umekutana na midume,subiri ivue hijabu uone misuli yao..
 
Nenda chooni kisha ruka ukuta usepe kama kuna nafasi, la sivyo jiandae ku-cameruniwa!
 
Waonyeshe hii picha

work.443631.8.flat,550x550,075,f.wilbur-the-smiling-pig.jpg

Dah!!!
 
Nenda chooni kisha ruka ukuta usepe kama kuna nafasi, la sivyo jiandae ku-cameruniwa!

Nimejaribu kuwadanganya kuwa nataka kufika benki mara moja wamekataa kabisa kuniruhusu. Mmoja ameniomba funguo ili nisiondoke. Hawa vipi?
 
Nimejaribu kuwadanganya kuwa nataka kufika benki mara moja wamekataa kabisa kuniruhusu. Mmoja ameniomba funguo ili nisiondoke. Hawa vipi?
mmh! leo sherehe yao watakufauduje kijana wa kibantu!!!!
 
Umejuwaje kama ni Maarabu maana siku hizi kuna wa kwenye "nkebe":
mai%2B3.jpg


IMG_1673.jpg

4.jpg

DSCI0615.jpg

 
uko mtekenyo bar unapewa offer unauliza ufanyeje??zinywe bia kisha kamtekenye huyo
 
Nitumie namba yako nikupigie simu ya kizushi ,uzuge unatafuta network utokomeee .other wise subiri kula mizigo yote mitatu.but kuwa makini isije ikawa hizo fedha unazonunuliwa bia ni za bwana David cameroon.
 
chunga sana, hao wametumwa wakuleweshe ...
watu wa inteligensia wanasema hao ni "advance party". shtuka kimbia...
 
aseeee, mpaka sasa jamaa haja-show up kwenye thread yake, tangu 1125hrs mpaka sasa.....! something has definately happened!!.
 
jiandae kutoa tigo midume iko pembeni inakuwait.mwarabu hana cha bure.
 
Back
Top Bottom